Recent content by MASIKITIKO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ishu ya Stephen Masele

    NI WIVU TU WA NDUNGAY
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Tanzania ni kuongozwa na watu wengi wasio na haya za uso

    NGOSHA VS BWASHEEE
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Mchaga kusaidia walemavu na yatima ni jambo gumu sana

    WACHAGA OYEE
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

    POROJO TUPU, HAKUNA CHA MASHTAKA WALA NINI. HUO NI UGOMVI BAINA YA MAFISADI NA MLINDA HELA ZA SERIKALI BAINA YA CHUKI BINAFSI ZA NGUNGAY VS ASSAD
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai: Matatizo yetu na Prof. Mussa Assad ni kutuita dhaifu, alitakiwa ajiuzulu. Hatuna tatizo na ripoti yake, tutaifanyia kazi

    KAMA PROF. ASSAD HATAKI KUJIUZURU, BASI NDUNGAI JIUZURU. PROF. ASSAD NIMUHIMU SANA KULIKO HUO UDHAIFU, TENA NI LULU YA TAIFA MKWELI NA MUWAZI.TAALUMA NA SIASA VITU VIWILI TOFAUTI.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?

    HAPA SASA BUNGE LINAMKOMOA NANI..! WAPIGAJI HICHI NDIO KIPINDI CHA KUPIGA BUNGE LINAKIMBIA KUFANYA KAZI YAKE ...!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

    TBA, TEMESA DUGU MOJA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atishia kuteua Mkuu wa Magereza kutoka JWTZ

    MAGEREZA NAO, HIVI KUNA HAJA GANI YA KULALISHA WAFUNGWA SAA KUMI WAKATI WANAWEZA KUWAPANGIA SHIFT WAKAPIGA MZIGO MASAA 24,WASINGEKUA WANALIA MAMBO YA MAJENGO WALA CHAKULA!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais, NSSF wamegoma kutoa fao la kujitoa wanadaia mpaka uwape waraka

    JENISTA KAWAZUIA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    WANAMBEEP RAISI,WATU WENGI HAWAJIONGEZI HADI WATUMBULIWE! RAISI AKISEMA NI AMRI ,MKURUGENZI WA NSSF ANAPASWA KUTEKELEZA MARA MOJA SIO KUKAIDI.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    "KATIKA HILI KAULI ALIYOITOA RAISI ,MIFUKO HAIWEZI KUIPINGA TUNARUDI KWENYE UTARATIBU WA ZAMANI HADI 2023" BY MH,RAISI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni sheria ipi ilifuta fao la kujitoa?

    KUTOKANA NA KAULI YA RAISI NI KWELI AUTOMATICALLY FAO LA KUJITOA LIMERUDI LABDA NSSF WAMBISHIE RAISI!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni sheria ipi ilifuta fao la kujitoa?

    MH.RAISI KESHASEMA TUNARUDI KWENYE UTARATIBU WA ZAMANI HADI 2023. HAJASEMA WAFANYAKAZI WASIPEWE FAO LA KUJITOA. WATU WAPEWE HELA ZAO KAMA ZAMANI PAMOJA NA VIKOKOTOZI VYA ZAMANI ANAYEPINGA ATAKUWA ANAPINGANA NA MANENO YA RAISI.
Back
Top Bottom