Tatizo kubwa la Tanzania ni kuongozwa na watu wengi wasio na haya za uso

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,793
12,238
Hivi huyu Bashite anayeachiwa kuropoka mbele ya umma wa Watanzania kama alivyofanya leo msibani kwa Mengi bila kukaripiwa tafsiri yake ni nini! Wapo wengi tu nchini wasio na aibu kwa vitendo na kauli zao kama Gambo, Jerry Muro nk wana tija gani nchi hii!!

Ajabu kubwa kuna watu wenye mamlaka ya kuwakemea nao wamekaa kimya, tuwaeleweje hawa! Wanawatuma?

Sasa ukabila nchi hii ni dhahiri bin shahiri! Taifa linapelekwa wapi?

Ninyi viongozi tuliowapa dhamana ya nchi hii jitafakarini tena!!:
 
Back
Top Bottom