johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,963
- 141,963
Spika wa bunge mh Ndugai amesema kwa kutumia mamlaka aliyonayo amemsimamisha mbunge Masele kuliwakilisha bunge la JMT katika bunge la Afrika.
Ndugai amesema Masele amekuwa mtovu wa nidhamu na mwenye tabia za hovyo hovyo.
Barua kwa Masele:
Kauli ya Masele:
Mh. Masele amgomea Spika Ndugai. Tazama video chini
Kadhalika Ndugai amesema bunge kwa kutumia kanuni zake ilimteua kampuni ya ukaguzi ya Mangesho kumkagua CAG na tayari kampuni hiyo imemaliza kazi na ripoti zimewasilishwa bungeni.
Ripoti hiyo itawasilishwa kwenye kamati ya hesabu kwa utendaji zaidi.
Spika amesema miaka yote CAG amekuwa akikagua wengine lakini yeye hakaguliwi lakini safari hii mambo ni tofauti kabisa kwani hakuna taasisi isiyopaswa kukaguliwa.
Maendeleo hayana vyama!