Huwezi kupata mtandaoni complete soft copy ya Principles of Physics published by S. Chand.
Tafuta New Simplified Physics ni kizuri sana kuliko hata hiyo Chand. Electronics ongezea na kitabu cha Advanced Physics by Tom Duncan
Mechanics tafuta kitabu cha Understanding Mechanics by DC Pandey
Huyo TO nilisoma naye O-level Bwiru Boys Technical School. Alikuwa mbele yangu kwa vidato viwili, form 4 yake 2010 alipata div I of 10 points na alikuwa na A ya Engineering Science, Chemistry, Mathematics na Electrical Engineering Science, B ya Biology, Electronics, Radio repair & TV Servicing...
Hijabu sio vazi la kiislamu wala la dini yoyote, na wala hakuna dini inayomruhusu mwanamke kujiachia si uislamu wala ukristo. Dini zote hizi zinamtaka mwanamke ajisitiri kuanzia kichwan, yan asikiache kichwa chake wazi. Tofauti kati ya dini hizi ni kuwa uislamu umesisitiza na umetilia mkazo zaid...
Watu wamekosa points na hoja za kupinga haya niliyoyasema hapa kwenye link hii kuhusu utume wa Paulo na utata wake. Wanatoa sababu ambazo hazina mashiko. Kama ningezungumza wapendavyo wangesifia sana na kunipongeza kwa kila aina ya salamu nzuri,lakin kwa kuwa nimezu.gumza kinyume na wapendavyo...
Tunapataje usiku na mchana?
Jua lilipatikanaje? Au nano aliye litengeneza? Embu itazame dunia unayoishi, nan aliyeiumba? Vitazame viumbe kutofautiana kwa rangi, kuna nyoka wazuri sana kwa rangi zao, nani aliumba kwa namna hiyo? Utazame mwezi ambao umejaaliwa kuwa nuru ya usiku, mwanga wake hauna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.