Sitoisahau paper ya advanced mathematics 2013

Kumbe tumemaliza mwaka mmoja mkuu! Umenikumbusha mbali sana, hii pepa ilikua kiboko!
 
Kitu mojawapo kilichonipatia historia katika safari yangu ya masomo sekondari ni Somo la Advanced Physics.
Nilitumia hela nyingi kulisoma kuliko Chemia na Biology, mwisho wa siku nililifaulu na likanipatia ufaulu mzuri wa kusonga mbele kwenda Chuoni.
Hongera kwa mliokuwa na hela za kusomea hata tuition, wengine hazikuwepo, tunakomaa msuli yatima na nika Chand, UP, Nelkon na vitini vya kina Muddy na Mgote, swali likunichomoa natafuta mshkaji ananipa ABC, ila kuna baadhi walikuwa wanajiona sana, wanajifanya wako busy, sijui saizi wanaendeleaje.
I hate physics from the bottom of my heart, though sikulifeli ila cha moto nilikipata.
Ni muda mrefu umepita tangu nimalize shule ila juzi juzi tu nimeota niko kwenye pepa ya physics.
 
Mkuu sikuwa na pesa ila kidogo nilichopata nilijibana na matumizi nikayaelekeza kusomea Physics.

Topic nilizowahi kulipia Tuition ni Waves na Morden Physics(Electronic) pekee kwa Mgote.

Zilizobaki niliishia kuibia mapindi hasa kwa Mood Physics maana banda lake lilikuwa open sio kama kwa Mgote kule juu.

Mechanics sikuwahi kulipia Tuition hata kidogo, niliisoma kwa kuibia mapindi na kufundishwa na rafiki yangu. Sio kwamba nilikuwa napenda kuibia mapindi ila ilinibidi maana mpunga ulikuwa hautoshi.

Nilitafuta notes karibia zote za Mgote, nikawa nazisoma hadi nukta mwisho wa siku nikawa vizuri, Pia Chand niliisoma sana hadi nukta.

Baada ya hapo nguvu nikailekeza kupiga series kwa Mtiga, nakumbuka series ya kwanza nilipata 40% ila niliingia Top ten kwenye hayo matokeo. Sikufa moyo ndio nilipata hamasa na nilipiga series nyingi hadi nikaimprove nikafikia kupata A.

Hela ya matumizi niliielekeza kule, nikawa natumia kwa matumizi muhimu tu nikiwa shuleni. Menu ya boarding kama tunavyojua huwa haiko vyema ila sikuona tabu nilikula tu bila wasi wasi tofauti na watu wengine lazima anunue mboga mbadala kuepuka maharage.

Kujinyima kule matunda yake ndio nayaona sasa.
 
You hate physics from bottom of your what

Why ?
 
Kweli uliitafuta elimu.
 
2013 kwa PCM chemistry pekee ndo ilikuwa chaka la wana ingawaje haikupewa muda wa kutosha kupigiwa msuli.
 
Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013, ninacho kumbuka mara baada ya mtihani kuna wenzangu walikua wanalia wakuu, kuna hesabu moja ya calculating device skujua nianzie wapi niishie wapi. Matokeo yalivyo toka ilinibidi nichungulie na shule zingine wamefaurije nilikuta kumbe paper lilikua gumu shule zote, kama huamini chungulia nawewe, huwez amini fedha walipata one 23, huwezi amini Kibaha walikua na div 4, na div one zisizo zidi 25, huwezi amini mzumbe nao hola hivyo hivyo. Sasa ndio naamini kweli elimu ya advance iliishia mwaka 2013,

View attachment 1155103View attachment 1155104d mathematics 2013,View attachment 1155106
Mkuu nikusahihishe fedha hawakupata one 23 ila walipata one 6 tuuu!
 
Nmesha jazia mkuu, nahisi ndio paper ya kwanza

Ndio hivyo mkuu, TO alikua na C ya physics
Huyo TO nilisoma naye O-level Bwiru Boys Technical School. Alikuwa mbele yangu kwa vidato viwili, form 4 yake 2010 alipata div I of 10 points na alikuwa na A ya Engineering Science, Chemistry, Mathematics na Electrical Engineering Science, B ya Biology, Electronics, Radio repair & TV Servicing, Kiswahili, English na Civics, C ya Electrical Draughting.

Uzuri wa matokeo yake ya Engineering Science, Electrical Engineering Science na Electronics, Radio Repair & TV Servicing na ile hamu yake kutaka kupiga Additional Mathematics baada ya kukataliwa na shule tulijua wazi huko Ilboru anaenda kupata 3 points na kuwa TO kama alivyojitabiri mwenyewe. Ndoto ya kuwa TO ni kweli 2013 ilitimia ila ndoto ya kupata 3 points haikutimia.

Erasmi Inyanse (TO) mara ya mwisho nilionana naye CoET-UDSM alikuwa anachukua Bachelor of Science in Petroleum Engineering. Alimaliza akatuacha hapo, sijui yupo wapi now
 
Nikiangalia hizi maneno utadhani sijawahi kuziona toka nizaliwe kumbe niliokota ka C changu swaaafi miaka zaidi ya kumi iliyopita
 
Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013, ninacho kumbuka mara baada ya mtihani kuna wenzangu walikua wanalia wakuu, kuna hesabu moja ya calculating device skujua nianzie wapi niishie wapi. Matokeo yalivyo toka ilinibidi nichungulie na shule zingine wamefaurije nilikuta kumbe paper lilikua gumu shule zote, kama huamini chungulia nawewe, huwez amini fedha walipata one 23, huwezi amini Kibaha walikua na div 4, na div one zisizo zidi 25, huwezi amini mzumbe nao hola hivyo hivyo. Sasa ndio naamini kweli elimu ya advance iliishia mwaka 2013,

View attachment 1155103View attachment 1155104d mathematics 2013,View attachment 1155106
Unalosema ni ukweli mtupu.. elimu ya A level iliishia 2013

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom