UMAR Ibn Al-Khattab na Paul (SAUL wa Tarso): Mashujaa wa imani mbili Kinzani...

kwanini uislam na ukiristo tu wakati kuna dini nyingi? kwani ni umar na paul wakati kuna wapambanaji wengi tu wa dini zao? mfano Sidharta gautma ambae ndie alikekua muanzilishi wa dini yenye wumini wengi sana huko asia ya kibudha, vipi kuhusu akina krishna na akina mithra? kwanini tujifungie tu ndani ya box la uislam na ukiristo?
Inashangaza
 
Watu wamekosa points na hoja za kupinga haya niliyoyasema hapa kwenye link hii kuhusu utume wa Paulo na utata wake. Wanatoa sababu ambazo hazina mashiko. Kama ningezungumza wapendavyo wangesifia sana na kunipongeza kwa kila aina ya salamu nzuri,lakin kwa kuwa nimezu.gumza kinyume na wapendavyo basi hawakosi kasoro..

PAULO SI MTUME KABISAAA ILA MNAFIKI ALIYEWADANGANYA WATU WENGI KUPITIA NENO KRISTO, MATAIFA, ULIMWENGU NA IMANI YA UWEPO WA MUNGU KTK NAFSI TATU

Embu soma nilichokiandika hapa👇🏾

https://www.jamiiforums.com/threads/utata-wa-mtume-paulo.1738738/
 
Back
Top Bottom