Recent content by Mashirum

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya herufi "k"

    Kaka kuona mama koku bia kilimanjaro
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Kenyata 57 odinga 29 hadi sasa kama kura 7ml zimehesabiwa sorce-citizen live
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chizi kapelekwa hospitali,...!!!

    Duu! Sio libolo vs simba?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    Kibolo?, libolo&?, liboro? au kiboro? tafadhali
  5. M

    JamiiForums Tanzania RFA: Kipindi chenu Kizuri Kuweni lakn Makini na Maneno Yenu Kwenye Kipindi cha "Je Huu ni Uungwana?"

    Mkuu pole sana,maana nimekisikilza kipindi vizuri, mada ilikuwa:- mambo binafsi kuyaongelea kwa sauti ktk public, mfano mapenzi je uko na mama mzazi au mtoto utajisikiaje kuwa na mtu kwenye hiace anabwabwaja kwa sauti ya juu kuhusu mapenzi,au kaachia kamchina kake volume hadi mwisho,je huu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo kenya shule zenye majina ya viongozi zafanya vizuri

    Ndugu mbona haraka?nilitegemea tujadili hapa kwetu na majuzi tu tumepata matokeo yetu je kujifunza kwa jirani ni kosa?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo kenya shule zenye majina ya viongozi zafanya vizuri

    Ninaangalia citizen tv wanatoa matokeo ya kenya na shule ya kwanza kitaifa ni moi high school, je majina yanapotumika ktk shule kunajitihada za muhusika kuendelea kuona jina lake halitumiwi kwa udhaifu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Test ur IQ- part 3

    May i go out p!se?
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sizaliwi tena kwa mwaka huu

    Habarini wakuu kama kawaida yangu huajindalia kasherehe ka birthday tarehe 29 feb sasa kwa mwaka huu hakuna tarehe29, ninabakia na umri wangu uleule au?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Panya wananisumbua

    Njia ni rahisi sana nilishawahi kumfundisha mwanajf alifanikiwa karanga zilizokaangwa zisage ziwe laini changanya na cement kidogo pembeni wawekee maji kazi imeisha hawatapata choo utakuwa umetengenezea tofali tumboni mwao hadi kifo chao
  11. M

    JamiiForums Tanzania Digitek

    Nimetoka kukinunua nina viwili sasa mwanangu akaniuliza baba:-sasa hicho ni kingamuzi party two?yaani kama picha za nigeria? Nikaachilia kukikonect huyo chumbani
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clauds FM Vs Super brand

    Tungejua vigezo vya super brand tungechangia ila subiri wana jf waje watasema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nani anayejua hili?

    Karanga sisage halafu nyunyizia kidogo kamchuzi ka samaki changanya na cement upate uji mzito pembeni mtengee maji kidogo, hapati haja hadi kifo kutokana na tofali la block ulilolifyatua
  14. M

    JamiiForums Tanzania Channel Ten: Mchungaji Antony Lusekelo azungumzia Kuchinja!

    Uliangalia jana? Kaa chini kwanza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Channel Ten: Mchungaji Antony Lusekelo azungumzia Kuchinja!

    Wana jf habarini kwa yeyote aliyemsikiliza mzee wa upako jana msaada kuna jamaa anasisitiza itajwa na majina ya kipagani ni kama n*kia kwa roho safi na si kwa kashfa p!se
Back
Top Bottom