Recent content by mashine tata

  1. M

    India wanawabagua waafrica

    Kaka umeeleza vizuri ila nikurekebishe hapo uliposema South India ndio wanaongoza kwa umaskini,SI KWELI,mimi nipo Bangalore(IT city of India) na moja ya miji inayokua kwa kasi India,miji mingine ya South ni Chennai(Industrial Hub of India due to large port),hydrebad na Kerala(state with largest...
  2. M

    Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    Hao wanaosema Tabora ni ya CCM au CUF wasubiri kimbunga 2015 ndio watajua nini kimetokea.Kila la kheri makamanda wa Tabora,nasikitika kuwa nje ya nchi ningekuwepo ningeongoza kikosi cha Chemchem na Mwinyi. VIVA CHADEMA,VIVA TABORA
  3. M

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Edga Maokola Majogo
  4. M

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Umenena vema sana kaka.Kweli wewe ni kiongozi bora na unafaa kuwa mfano wa vijana wengine wanasiasa
  5. M

    Uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa)!

    Safi sana maana nilikua nasubiria kuona kikosi kazi kikitua Tabora maana panahitajika nguvu ndogo tu kumuondoa nduli CCM.
  6. M

    Natangaza nia kugombea ubunge Urambo Magharibi kwa Prof Juma Athumani Kapuya

    Safi sana kiongozi tupo nyuma yako tutakuunga mkono kwa hali na mali,niPM nikupe na mawasikiano yangu maana nami ni mdau wa mkoa wa Tbr. Usitishike na hao wanaosema bado mwanafunzi maana elimu utamaliza mwakani kwahiyo muda wa kujiandaa upo,mifano ipo ya kina Silinde, Mkosamali walioingia...
  7. M

    Natafuta mchumba/mume wa kuanza naye maisha ya ndoa

    Dah tatizo kigezo sina....nina 27.....ila naomba nisaidie tu kupata mzungu,maana nawapenda sana wana mapenzi ya dhati.Kama yupo unayemfahamu ni PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
  8. M

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Aende zake huko,amekua kiongozi wa Urambo mashariki tangu serikali ya awamu ya kwanza na ameshika nyadhifa nyingi za juu lakini hakuna alichokifanya cha maana kuanzia mkoa wa Tabora mpaka Urambo."Charity starts from home",sasa huyu tukimpa nchi si itadumaa kama ilivyo dumaa Urambo na Tabora.
  9. M

    Utamaduni wa kujisomea, kuelewa na siasa za Tanzania

    Umetoa ushauri mzuri sana mkuu.kweli watanzania tunatakiwa tubadilike maana asilimia kubwa wanasoma vitabu pale tu anapotaka kufanya mtihani fulani,mbali na hapo hawezi kujisomea kitabu kingine chochote kwa manufaa binafsi.Pia nimegundua maarifa unayopata kwa kusoma unaweza kukumbuka kwa muda...
  10. M

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Mwenyekiti,Saanane naona anafaa zaidi.Hapo kwenye katibu Steven Owawa anafaa kabisa maana ni mwanasiasa machachari tangu enzi za UDSM. Ni mtizamo tu.
  11. M

    Doctor: Young woman gang-raped in India dies

    It's too sad seeing events like this happening,it's high time for the Indian government to take initiatives to prevent this behavior because as the time goes on many cases are reported leaving besides the unreported ones which increases fear to women.
  12. M

    Hivi hawa wabunge wa Tabora wanafanya nini bungeni?

    Mbali na tatizo la kutokua na viongozi wazalendo,wana tabora wana matatizo mengine makubwa sana,hawapendi kufanya kazi hata kusoma hakutiliwi maanani,pili kuna fitina sana,wapo radhi kumwalibia mtu asiendelee. Ushauri wangu ni kwamba wana tabora wabadilike wakianzia na kupenda elimu,uzalendo wa...
  13. M

    Naomba ushauri,Housegirl kanilengesha mpaka Nimetembea naye

    Hiyo ni ishara tosha kwamba humpendi mkeo.Pia inaonesha ni mtu usiyejali madhara ya wengine.Sasa umetembea na msichana wa watu alaf unataka kumfukuza na kazi.ushauri wangu ni kwamba mpe mtaji alaf uungame kwa mkeo kwa kosa ulilofanya.
Back
Top Bottom