Kuna wazee kama sita wanajidanganya wakifikiri sisi watanzania ni wajinga kujua pumba na mchele ni zipi.Rais ajaye tunataka mtu mchapa kazi na ambaye ametuonyesha anaweza kusimamia maendeleo ya nchi.tunajua anaweza kuwa na mapungufu,lakini hayatatuzuia kumchagua.hatuhitaji cheap politics kama za sita.
Katika kile kinachooneka ni kujiweka kwenye fikra za watu, aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania ndgu. Samwel Sitta ameibuka Rasmi na kutangaza waziwazi nia yake ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alisema vigezo vyote anavyo na anakubalika kwa wananchi hivyo amekitaka chama chake cha CCM kama kinataka kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015 basi hawana budi kumsimamisha yeye.
Pia alitoa angalizo ya kuwa ccm wasipokuwa makini kumtafuta mtu makini na wakachagua mtu asiyekubalika itatoa nafasi kwa UPINZANI KUCHUKUA NCHI KIRAHISI SANA.
Lakini pia alisema hayo yatafanikiwa kwake kwa kutegemea UPEPO WA KISIASA NCHINI UTAVUMAJE WAKATI HUO.
CHANZO MAGAZETI YA LEO.
IKUMBUKWE HUYU ALIVULIWA USPIKA KWA KILE KIGEZO CHA LAZIMA WAKATI HUU NAFASI IWE KWA JINSIA YA KIKE.
WADAU MNAOMFAHAMU MTANZANIA HUYU JE ANAFAA KUWA RAIS KWA VIGEZO VYA WATU WANAOTAKA MABADILIKO?
MAANA KASHATANGAZA NIA.
MAULID NJEMA WOTE.

Hafai...kama anasubiri kuangalia upepo ili agombee...bila shaka ataongoza pia kwakufuata upepo...Tanzania iko ktk hali mbaya chini ya CCM tuhitaji mtu jasiri..asiyeyumbishwa na upepo kama SITTA.
Ipi hiyo ndugu tujuze!!Ila naona safari hii hajaropoka kuhusu CDM ile ngumi ya tumbo na kichwa aliyopigwa na Dr Slaa ilitosha.
Mh, sitta ana sifa zote za kuwa rais wa nchi hii ni mzalendo wa kweli na amefanya mengi ktk taifa hili kutamka kwake kwamba anaweza kugombea urais basi na mwanzo wa tanzania kupata kiongozi makini asiye mnafiki msema kweli na anaye guswa na umaskini wa mtanzania wakawaida. Mungu mbariki mh SAMWELI SITTA RAIS WANGU MTALAJIWA!