Aache kujishaua, Huo ushauri angewapa kina Zitto,Mbowe na Mtei. Yeye kamaliza vikao akiwa nao hakuwapa huo ushauri lakini anakimbilia kwenye Media. Mjadala wa Urais Chadema umeshafungwa na Mwenyekiti keshamtangaza mgombea yeye ana ubavu gan wa Kupinga? Arudishe chenji alizopewa na Pinda asijifanye Mkavu! Eti watachukua nchi 2015 hizo ARV za kurefusha maisha ya Kisiasa akawanyweshe Wafipa wake wa katavi!
Mkuu tafadhali unapokua unajibu hoja epuka sana kudhalaulisha watu,sasa wafipa na Arfi wapi na wapi.Bila shaka unamatatizo ya akili,na kama una akili timamu tuombe radhi wafipa.