Naomba ushauri,Housegirl kanilengesha mpaka Nimetembea naye

unavyoandika ni kama wamuona house gal ndio mkosaji....hebu kua kidogo na uwe responsible kwa matendo yako

Amtaman umzin afu useme kakutega? Aaah hii mibaba ya ckuhizi inakera...inawaza mbunye tu

And then uko hapa kuusema ufuska wako na unataka ushauri
Unadiriki kusema unampenda mkeo na familia yako
je huo ndio upendo kwa familia yako na mke wako kuchepuka kwenda kulala na house gal na hapa unamsifia kuw ani mzuri
basi kujiona wewe ni rijali zaidi mwache mkeo umuoe huyo house gal ambaye umemuona ni mzuri kupita mkeo mpaka ukamvulia boxer yako ukatembea nae
Then unaomba ushauri wa nini hasa tukuambie uendelee kutembea nae au tukuambie umwambie mkeo au tukuambie umfukuze kazi amwambie mkeo

Mibaba mingine bhana hovyo kabisa inakuaje unazoena na h/girl hadi unamlala?

Wakati huu unapofeel guilt ndio hasa wakati wa kumfukuza, ukisubiri gari la kawaida likipita wewe na HG mtakuwa abiria wa kwanza kuingia...Usishangae baba mzima umeshaanza kuchimbwa biti na HG...Ukimwaga mboga nae anamwaga ugali.....Yaani tangu siku uliyomwonyesha nyeti zako ulijitia aibu za kuonwa uchi na mwanao wa kumzaa tena binti.Ila umeshafanya kosa dawa ni kuinusuru ndoa yako...Usilogwe kumwambia mkeo kwani kwa kufanya hivyo utalikoroga mazima, kama huwajui wanawake wanavyofunga vibwebwe jaribu urudi kuomba msaada mwingine.

Yale yale tu, watu wanatenda makosa na kuamua kumsingizia shetani. Muoe tu awe mkeo wa pili!

Sometimes stupid questions deserve stupid answers!,umelikoroga kunywa!!!!

Hivi kwa nini Tz bado kuna ukimwi? kama watu wana maadili kiasi hiki....
 
Cheat responsibly huo ndo ushaur mlopewa na snowball n lara moja kwa MBA wote(maried bt availabo) mana ww ushakuwa member bla kujijua

Sent from my desktop
 
Hiyo ni ishara tosha kwamba humpendi mkeo.Pia inaonesha ni mtu usiyejali madhara ya wengine.Sasa umetembea na msichana wa watu alaf unataka kumfukuza na kazi.ushauri wangu ni kwamba mpe mtaji alaf uungame kwa mkeo kwa kosa ulilofanya.
 
Tengeneza fitna kwa mama amfukuze lianzishe kama anakumendea hivi mpaka mama aone hawafai


Sent from JamiiForums
 
Wanaume kama fisi tu, hadi mzoga anakula.....
Hapo utakuta wife mkali ila tu ukataka na kidude cha hg!!!!
Umfukuze wa nini, kakubaka?Toka wewe

Wewe acha, kuna House girl mama mmoja aliletewa alikuwa ni mzuri kupita maelezo, mama huyo akaona huyo dada hastahili kuwa housegirl akaamua amuandikishe shule ya secondary eckenforde(halafu akaagiza HG mwingine) akamlipia ada hadi amemaliza chuo na sasa ana kazi yake nzuri tu.
Kuna ma-HG wakali kupita mama mwenye-nyumba na mabinti zake.
 
Jialaumu na tamaa zako na hapa amekupata.Ungemwambia ukweli mkeo vinginevyo atavunja ndoa yenu. Maana kama utakubali kuwekwa reheni amini usiamini kuna siku atakuja na sharti la kumuoa au kukulengesha umtie mimba mambo yote yaharibike tokana na tamaa na ujuha wako. Mkeo akigundua utaumia sana. Kama utamwambia ukweli kuwa huyo binti humuelewi atamtimua kazi tu. Kama hilo huliwezi basi tafuta vijana jirani uwahonge waje waseme kuwa aliwaendea akawapa dili ya kukuibia lakini kwa vile wanakuheshimu wamekataa wakaona wakueleze. Wakati ukifanya hivyo usimwonyeshe hisia yoyote ya kumfukuza. Jifanye ndiyo umezimia kwake ili asikustukie. Akuanzae mmalize ili ndoa yako idumu na liwe somo kwako.
Housegirl wetu kwa kweli alikuwa ni dada mzuri, kwa kazi, malezi ya watoto. Wote katika familia tulimpenda. Siku zinavyokwenda naona anazidisha upendo kwa familia yangu Majuzi kajilengesha hadi nikashindwa kujizuia, nikatembea naye. Nimejisikia vibaya sana, nimeamua kumshawishi mke wangu tumfukuze. Housegirl ameapa tukimfukuza atamweleza mke wangu kila kitu bora nimwache aendelee kuishi nasi. sina amani .Natamani kumweleza mke wangu ukweli. Natamani niikimbie nyumba Ninamwogopa sana mke wangu, namheshimu naona ataniona mtu wa ajabu kweli. sijawahi kufanya kitu cha namna hiyo. Maji yamefika shingoni. Naomba ushauri kwa wazoefu
 
Back
Top Bottom