Naomba niwashauri ndugu zangu UVCCM mliojazana huku: Matusi na kejeli kwa mleta mada hayatasaidia lolote kuokoa thamani ya shilingi kuporomoka.
Mwelezeni ukweli mwenyekiti wenu kuwa nchi inaelekea korongoni.
Alishawahi kusema bungeni kuwa hawezi mchukulia hatua musiba na gazeti lake kwa kuwa hakuna mtu yeyote aliyeenda kake kushtaki kuwa kadhalilishwa. Sasa ajabu ni kuwa lini ruge kafufuka akaenda kushtaki kuwa dudubaya kamdhalilisha?
mWAKYEMBE NAONA UNATAKA KUPITIA NJIA ALIYOPITIA NAPE. nAPE ALITOLEWA KWA KOSA LA KUMTETEA RUGE BAADA YA KUVAMIWA CLOUDS NA BASHITE. sASA NA WEWE UNAMTETEA RUGE BAADA YA KUDHIHAKIWA NA DUDU BAYA AMBAYE ANAFADHILIWA NA BASHITE NA NI KABILA MOJA
Soon utasikia ndugu zake na twaweza wamekuja na utafiti unaonyesha kuwa tanzania inafanya vizuri kwenye uchumi kwa nchi za africa mashariki. Na siku hiyo ya kutoa matokeo lazima iwe laivu tbccm
Vitalu vya uwindaji wa kitalii 71 kati ya 159 vilivyopo nchini vimerudishwa na wawekezaji licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kutokana na sababu mbalimbali ikiwapo kuyumba kwa biashara ya uwindaji wa kitalii.
Akizungumza na Mwananchi jana mjini hapa, kamishna mkuu wa Mamlaka ya...
Zitto na lissu wamesababisha zao la mbaazi kushuka bei toka 2500 hadi 150
zitto na lissu wamechukua korosha za wakulima wamekaa nazo halafu wanawarudishia wakulima na kusema hazina ubora
zitto na lissu wamefukuza wafanyakazi waliokuwa wameishia darasa la saba bila kuwalipa haki zao
zitto na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.