Shilingi kushuka thamani na hali mbaya ya uchumi wetu: Sababu ni nini na nini kifanyike?

Tatizo ccm
View attachment 1031671

Hii ni ya Tanzania, kwa mnaojua kusoma grafu, dola inapanda kwa kasi ya kubwa hapo (ikimaanisha Shilingi inaporomoka)

View attachment 1031672
Hii ni ya Kenya, tunavyoona hapo ni kuwa Dola inaporomoka kwa kasi tu (ikimaanisha Shilingi yao inaimarika)
View attachment 1031677

Hii ni ya Uganda, inavyoonekana hapo dola iliporomoka na sasa imebaki constant (haipandi wala kushuka) so Shilingi yao ipi vizuri

View attachment 1031686

Hii ni faranga ya Rwanda, inavyoonekana hapo, dola inashuka pia, japo ilipanda kidogo, ila imeendelea kushuka

Kati ya nchi zote hizo hela ya Tanzania ndio inayoporomoka kama jiwe kilimani, tatizo ni nini?

get well soon tl
 
Lissu na mabeberu. Hata mwalimu shilling yake ilipatwa matatizo vile vile kama ya sasa .
 
Soon utasikia ndugu zake na twaweza wamekuja na utafiti unaonyesha kuwa tanzania inafanya vizuri kwenye uchumi kwa nchi za africa mashariki. Na siku hiyo ya kutoa matokeo lazima iwe laivu tbccm
 
Na walio leta sheria ya shilingi kulinganisha na dollar walitaka uchumi wa dunia waumiliki wao wanatuambia shilingi imepolomoka lakini maitaji yetu huwa yanabaki vile vile kwanini hayapandi mfano soda toka Kikwete bado 500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama TSH yetu itaendelea ivi ktk kampeni zijazo wana CCM watakuja na kuanza kusema lissu(mahojiano yake uko ughaibuni) ndio chanzo na ndio itakuwa sera yao kuwa upinzani ndio kikwazo cha uchumi kupaa
 
Tweet ya Zitto hii:

Huu Ndio mwenendo wa shs ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani na kulinganisha na nchi zinazotuzunguka za Kenya, Rwanda na Uganda. Mnaona nini?
D0VogrTX0AAJSJ8.jpg


D0VograWsAET9p4.jpg

D0VogrrXcAEtHye.jpg

D0VogrqUUAY4Kxn.jpg

6:22 AM - 26 Feb 2019
 
Msukule wetu haujaonekana hadharani wala kupiga picha kama ilivyo kawaida yake kuna tetesi zinazagaa kuwa korosho imemsababishia depression.
 
Tweet ya Zitto hii:

Huu Ndio mwenendo wa shs ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani na kulinganisha na nchi zinazotuzunguka za Kenya, Rwanda na Uganda. Mnaona nini?
D0VogrTX0AAJSJ8.jpg


D0VograWsAET9p4.jpg

D0VogrrXcAEtHye.jpg

D0VogrqUUAY4Kxn.jpg

6:22 AM - 26 Feb 2019
Ooh my dear🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️🧚‍♂️
Our Tanzanian Shilling can fly.!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: 911
Uchumi lazima utaporomoka itakuwa kama 1979 kuja 1985 viashiria viko wazi. Wafadhili hawana tena imani na huu utawala, ni zaidi ya sera mbovu za kusimamia uchumi.

Kinachotakiwa serikali i-introduce the sweeping political reforms as soon as possible, vingineyo forex ya kununulia hata mafuta toka nje pamoja na mali ghafi itakuwa shida. Tujifunze kutoka Iran, Venezuela na Zimbabwe.
 
Back
Top Bottom