Mbayuwayu Ameona-1: Kuelekea Uchaguzi Wa S/Mitaa

Mbayuwayu Ameona-1: Kuelekea Uchaguzi Wa S/Mitaa

Ushanichafulia siku yangu. Kwa nini mnapenda kuwa wanafiki kwa kiasi hiki?

Kazi ya mwanasiasa ni nini haswa kama ai kufanya siasa? Hivi mwanasiasa asiye na jimbo au kata akafanyie wapi siasa?

Mtu kama Lowassa kwa mfano yeye afanyie wapi siasa? Hana jimbo, hana kata. Akafanyie siasa kwa wazazi wako kenge wewe!
Eti mbayuayi kaona. Warumu wakuwaye?





Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa Katiba yetu na Sheria za Vyama vya Siasa, Mwanasiasa wa Kitaifa siyo binafsi, lazima abebwe na Chama chake, uhai wake kisiasa unategemea na uhai wa Kata na Majimbo ambao kuna Madiwani na Wabunge, wakiwa karibu na Wananchi hahitaji kuwa na hofu. Kazi ya Lowassa, Maalim Seifu , JPM na kadhalika ni kutoa Maelekezo ya nini cha kufanya katika maeneo hayo na kwa kutumia Mikutano ya ndani. Hivyo ndiyo siasa zinafanyika hata kwa wenzetu.
 
Ikumbukwe kwamba Rais alisema Wanasiasa wafanye Mikutano kwenye Maeneo yao ya Uchaguzi (Wabunge kwenye Majimbo yao na Madiwan kwenye Kata zao).
Mamlaka hayo ameyatoa wapi!?
Katiba ndivyo inavyosema?
Au ni mawazo ya Magufuli?!
 
propaganda mmezoea nyie, hapa ni facts tu. Kwani ni uongo mikutano ya Hadhara walioianza wanasiasa ni kwa sababu wanaona Uchaguzi wa Serikali za ,Mitaa unakaribia?
1.Mikutano hawakuzuiwa wapinzani tu na ccm waliendelea na wanaendelea kufanya?

2.Hizo hoja ulitaka wazisemee wapi ikiwa mikutano mpaka ya ndani mlikuwa mkiwakamata?

3.Mwenyekiti wenu,makada wenu hawazunguki nchi nzima na kufanya mikutano?

Hiki kiburi kinatokana na upumbavu wa wapinzani. UWOGA, NA KUPENDA RUZUKU TU. Ingekuwa Kenya kiburi mlichonacho kingekuwa kimewaisha. ILA IPO SIKU ISIYOJULIKANA YAJA.

Watatokea wapinzani wa kweli wenye uchungu na watanzania wenzao na nchi yao pia. Wanaweza wasianzishe chama maana mtawakatalia usajiri. NDIPO MTAPOKIMBIANA. Ccm mtakimbilia kwenye maghorofa yenu,viwanja vya mpira mlivyopora kwa WATANZANI ili mjifiche havitawasaidia. Green guard watazikana sare na buti zao.

Upinzani ungekuwa wa kweli, kitendo cha kiongozi mkuu wa upinzani kuwekwa rumande muda wote huu,tungekuwa tunasimulia mengine humu. MUDA UTAONGEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu na Sheria za Vyama vya Siasa, Mwanasiasa wa Kitaifa siyo binafsi, lazima abebwe na Chama chake, uhai wake kisiasa unategemea na uhai wa Kata na Majimbo ambao kuna Madiwani na Wabunge, wakiwa karibu na Wananchi hahitaji kuwa na hofu. Kazi ya Lowassa, Maalim Seifu , JPM na kadhalika ni kutoa Maelekezo ya nini cha kufanya katika maeneo hayo na kwa kutumia Mikutano ya ndani. Hivyo ndiyo siasa zinafanyika hata kwa wenzetu.
Sasa unapataje wanachama wapya bila kuwafikia?
Unajua unachokitetea au ni shibe inakusumbua?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili za mbayuwayuuu changanya na zakoooo ....sepaaaa
 
Mbayuwayu ni mamako kwa vile leo yuko kwa babako na kesho geto! Ficha siri usimwambie maana wana watakufa kwa ukame huku geto
 
Leo asubuhi BBC wametangaza kuwa shilingi ya tz imeporomoka, hivi ni kweli?
 
Ushanichafulia siku yangu. Kwa nini mnapenda kuwa wanafiki kwa kiasi hiki?

Kazi ya mwanasiasa ni nini haswa kama ai kufanya siasa? Hivi mwanasiasa asiye na jimbo au kata akafanyie wapi siasa?

Mtu kama Lowassa kwa mfano yeye afanyie wapi siasa? Hana jimbo, hana kata. Akafanyie siasa kwa wazazi wako kenge wewe!
Eti mbayuayi kaona. Warumu wakuwaye?





Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hujawangunduatu hawa. Kukiwa a hoja ngumu za kitaifa zinazotesa wananchi wanakuja na vipropaganda uchwara kuwatoa watu kwenye leri. Mwenezi wao na Km wao juzi kati wameanikwa hazari wako busy na mikutano ambayo wengine wamezuiwa, wakati huo kukiwa na hoja hot ya koroshow na mambo mengine kibao. Wameona aibu wanajifanya kuruhusu mikitano majimboni. Kumbuka lijualikali na wenzie walikiwa majimboni kwao Leo hii wana kesi. Mwenezi akaja na inshu ya Kenya Airways kumbe kunalililo jificha la ndotoliner limeibuliwa wanahaha nalo. Kiukweli si majimboni wala vyandani vikaovyote watu walinyimwa vibali na kukamatwa. Viongozi was Dino kunaaliye lisemea. Waache kutufanya watz ni mbururaaa. Wapambame na hali zao mbayuwayu akajipange upya hana hojaaa. Kwasasa nature inatake place. Eti hawakuwa na hoja kwahiyo saizi wanahoja? Kampeni zikianza watakamatwa na kuwekwa mahabusu wengi sana maana hoja ninyingi na hazina majibu kama wanabisha watupe majibu ya kinacho endelea kwenye inshu ya koroshow. Na atae jibu nitamtumia hela ya vocha namba yangu ni 0777 .....28. Au anipe namba nimrushiee.
 
Thread zingine nitakuwa sihangaiki nazo kabisa, kuanzia za jingalao, wakudadavua na johnthebaptist hao ndio naanza nao. Maana wananipotezea muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hoja hii Leo buku7 usahau jitahidi kuwahi kwa SHEMEJI kabula hawajara usije shinda njaa
 
Upuuzi.polepole bashiru wanajimbo gani?
salum mwalimu na mashinji hata mikutano ya ndani mnawakamata.
awamu hi itatoka madarakani nch ikiwa hoi taaban kwa uchumi.
vip koroshow inaendeleaje?
 
View attachment 1032218

Tuliaminishwa kuwa Rais Magufuli amepiga Marufuku Mikutano ya Kisiasa
Ikumbukwe kwamba Rais alisema Wanasiasa wafanye Mikutano kwenye Maeneo yao ya Uchaguzi (Wabunge kwenye Majimbo yao na Madiwan kwenye Kata zao).
Ndege Mbayuwayu mwenye uwezo wa kuruka angani kwa mwendo wa Zaidi ya Kilomita 160 kwa saa ameruka na amerudi na ukweli. Tangu Serikali ya awamu ya tano iingie Madarakani , Wapinzani walikosa hoja za kwenda nazo kwa Wananchi , wakaamua kujipa likizo kwa kisingizio cha kwamba Mikutano Imezuiliwa. Mbayuwayu amejiridhisha , kwa sababu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unafanyika Mwaka huu wa 2019, Wanasiasa wanalazimika kurudi kwa Wananchi.
Alichoshangaa Mbayuwayu ni mazoea yale yale ya wanasiasa kudhani kwamba Wananchi watawaelewa kwa mtindo ule ile wa kutumia lugha za matusi, kdhihakiana na vurugu. Matokeo ya mazoea hayo ameonekana katika Majimbo ya Kawe, Mbeya Mjini, Morogoro.
Mbayuwayu anasemaje? kwanza anawapongeza Wanasiasa kuamua kurudi ulingoni ili ile dhana kwamba wamezuiliwa iondoke. Lakini kubwa na la muhimu anawashauri waachane na Siasa za zamani kwa sababu zama hizi siyo kuoneana huruma, Wananchi wameonja utamu wa Maendeleo na wangependa kusikia Sera zenye kuleta Maendeleo.
Mbayuwayu anawatakia Jumanne njema.
Sheria ya kufanya siasa kwenye majimbo yao tu ni ya kuandikwa au ya kichwani mwa mtu. Kama ni ya kuandikwa tujeze ni kipengele gani katika katiba au sheria za vyama vya siasa kinachoeleza hivyo. Na mbona wakifanya kwenye majimbo yao wanazuiliwa na kukamatwa? Je kwa sheria hiyo ambayo haijaandikwa mahali huyu Polepole yeye anafanya mikutano sehemu mbali mbali je yote hayo ni majimbo yake?!
 
1.Mikutano hawakuzuiwa wapinzani tu na ccm waliendelea na wanaendelea kufanya?

2.Hizo hoja ulitaka wazisemee wapi ikiwa mikutano mpaka ya ndani mlikuwa mkiwakamata?

3.Mwenyekiti wenu,makada wenu hawazunguki nchi nzima na kufanya mikutano?

Hiki kiburi kinatokana na upumbavu wa wapinzani. UWOGA, NA KUPENDA RUZUKU TU. Ingekuwa Kenya kiburi mlichonacho kingekuwa kimewaisha. ILA IPO SIKU ISIYOJULIKANA YAJA.

Watatokea wapinzani wa kweli wenye uchungu na watanzania wenzao na nchi yao pia. Wanaweza wasianzishe chama maana mtawakatalia usajiri. NDIPO MTAPOKIMBIANA. Ccm mtakimbilia kwenye maghorofa yenu,viwanja vya mpira mlivyopora kwa WATANZANI ili mjifiche havitawasaidia. Green guard watazikana sare na buti zao.

Upinzani ungekuwa wa kweli, kitendo cha kiongozi mkuu wa upinzani kuwekwa rumande muda wote huu,tungekuwa tunasimulia mengine humu. MUDA UTAONGEA

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM wanajua taratibu, waliendelela na mikutano ya Ndani, Kwenye Majimbo. Sasa nyie kama mnafanya Mikutano ili mkamatwe mpate attention ya wananachi mtasubiri sana, Watanzania hawa wameamua kwenda na JPM , mbuni mbinu mpya za kukabiliana na Serikali hii ya wanyonge la sivyo mtabaki kulalamika sana
 
Hiyo Shilingi iliyoporomoka umejiridhisha na nchi zingine hali ikoje?
Hili lishatolewa ufafanuzi na Gavana, hali ya kudolora kwa shilingi imesababishwa pamoja na issue ya korosho sasa hizo nchi nyingine nazo zinahusika na korosho?
 
CCM wanajua taratibu, waliendelela na mikutano ya Ndani, Kwenye Majimbo. Sasa nyie kama mnafanya Mikutano ili mkamatwe mpate attention ya wananachi mtasubiri sana, Watanzania hawa wameamua kwenda na JPM , mbuni mbinu mpya za kukabiliana na Serikali hii ya wanyonge la sivyo mtabaki kulalamika sana
Mengine tuachane nayo, tuangalieni masuala ya maendeleo. Hii issue ya mikutano inachefua ni too much double standard.......
Tuangalieni suala la Shilingi yetu Vs US dollar, hili ndo linaweza kutuingiza kibra.
 
Back
Top Bottom