Dar: Maduka ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) jana yalivamiwa Polisi, mengine yafungwa

Huwa pale Jomo Kenyata Airport kila siku ndege zinaruka kupeleka milungi Somalia na Uingereza.

Ni wakati sasa na sisi kuhararisha Bangi ili kila siku isafiri kwenda kwenye majimbo yanayoruhusu Bangi USA na baadhi ya nchi ambazo bangi ni ruksa hii itatusaidia sana kwenye exportation na kuleta madola hayo maana inaonekana tunashindwa kabisa kuzarisha na kusafirisha vingine.

Hela haiwezi kupanda thamani kama hauna exportation za kutosha mbona hesabu hii rahisi sana na haihitaji degree wala cheti cha form four, nyie mnaojiita wasomi mko wapi kufikiri?
 
kudadadeki hii ndiyo maana ya epintaprenyuwahhh
IMG_20190227_100500.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imenikumbusha ya Uganda walipo amua kuchapisha noti zao kibao na kuzimwaga mitaani wakizania ndiyo wanainua uchumi wao chini ya ushauri wa Maliyamungu
Tukiwa na msiba mkubwa wa kitaifa kwa ndugu yetu Ruge jana kulitokea tukio kubwa sana ila halijaonekana kwa vile Ruge alikua mkubwa zaid. naam nalo ni bunduki kujaribu kuokoa shiling yetu izidi kuwa imara.

Katika harakati za kuokoa shiling yetu izidi kuwa imara dhidi ya pesa za kigeni, jana serikali iliendelea na kale ka utaratibu kake ka kuvamia maduka ya kubadilishia pesa za kigeni ili kuhakikisha pesa yetu inazidi kuwa juu.

Jana maduka hayo ya kubadilishia dollars yalivaniwa na wale wazee wasiotaka mjadala walihakikisha wanaondoka na kila kitu dukani kwako kuanzia camera za ulinzi mpaka na pesa zako. Wanajua wao wanaoenda kuziweka wapi hizo dollar ili shiling izidi kuwa imara.

View attachment 1034098
View attachment 1034100
View attachment 1034106

Bado hatujaridhika au hatuoni sababu za kuhakikisha dollar moja japo iwe 1,000. Na nawaambia soon tutafika 3,000 kwa kasi hii ya kuvamia maduka lazima sh iwe juu.

Wae wazee wa kusifu na kuabudu utawala huu tuzidi kuipongeza serikali kwa uamuzi wake wa kuvamia maduka kwa kudhani ndio mwarobain ili shiling yetu izid kuwa imara. Huenda mwezi wa tatu ikawa 2,500. Safi sana serikali.

Kwa wale wanaolipwa dollar watafurahia sana awamu hii maana wanalipwa vikaratasi vichache ila baadaye wanaondoka na fuko la shilingi.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom