Recent content by masengobangu

  1. M

    Hili suala la wastaafu kupeana Mahekalu, Mwalimu alisema ipo siku Watanzania watalidai Azimio la Arusha

    hapo kwenye shujaaa umekosea sababu hiyo nyumba amejengewa na huyo huyo anaeitwa shujaaa sijui shujaaa wa nn,wote ni wanyonyaji tu.
  2. M

    Hela ya kuandalia futari Wabunge, haiwezi kutumia kununulia madawati ya watoto wetu wanaokaa chini mashuleni?

    mtoa mada hiyo hela inazunguka humo humo "multiplier effect" kumbuka wapishi wa futari wanunuzi wa vitu mbali mbali watapata faida kupitia hiyo event,maisha hayaitaji kujibana saaaan....kikubwa tutenge vitu katika hatua tatu tu then tutaenjoy maisha 1.Vitu vya lazima mf. kula,kulala,kuvaa...
  3. M

    Serikali na chuki dhidi ya vijana

    Inaaminika duniani kote vijana ndiyo nguvu ya kupeleka gurudumu la maendeleo mbele kwa nchi husika. Ila kwa serikali yetu imekua tofauti sana, hakuna maneno ya faraja na kutiana moyo kila leo ni kukatishana tamaa. Mwendazake,aliwahi sema katika moja ya kauli zake kwamba vijana hasa waliozaliwa...
  4. M

    Hivi kweli kuna watu wanapona kwa maombi?

    daaaaaaa,nimecheka sana
  5. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    hata kama asipokua na la maaana lakini UTU wake uwezi linganisha na aliyepita mama yupo hivi HAIBA yako inambeba.
  6. M

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Anayeshangaaa atakua ana matatizo au ni ile hali ya kuona MPINZANI ni adui au kila anayekosa baya la ccm basi ni mpinzani.kiukweli mama ameanza vizuri...katika maisha kila mtu anapenda UTU wake uthaminiwa kwa rais aliyepita yy aliamini kwenye VITU zaidi na siyo ,Utu sasa mama Samia amekuja...
  7. M

    Maalim Seif Hammad hajawahi kuongelewa vibaya si mtaani wala mitandaoni

    Vipi MKAPA mbona hajawahi kuchukiwa kama MWENDAZAKE, je na yeye hakua na Madaraka?
  8. M

    Viongozi wakuu wa nchi mnatuchanganya Wananchi tunaomba mjiuzulu nafasi zenu

    CAG hasemi madudu yaliyopita bali huo ni utaratibu uliopo katika kuipa dira nchi na muelekeo ulio sahihi,CAG ni sawa na kioo kinachomulika uchafu ivyo kusema ivyo ni lazima ili kujua tupo wapi kama nchi na wapi tunaelekea. Kuhusu kwa nn RAIS hakushauriwa ,ww mwenyewe unajua RAIS alikua mtu wa...
  9. M

    Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    hivi kuna sababu gani kupotosha alichoongea bi mkubwa au ndiyo nyie mliotumwa na wafia MWENDAZAKE....MAGUFULI ameshafariki harudi tena na kilichotokea ni natural death kwann tusikubali tu na kumuunga mkono bi mkbwa,huyo Magu amekosea mangapi jamani,mbona mengi tu??
  10. M

    Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    Nawasalimu kwa jina la JAMHURI Ndugu zangu hili la kutafsiri kauli ya RAIS juu ya kufungulia vyombo vya habari baadhi na kuacha vingine linaleta DOUBLE STANDARD isiyo ya lazima. Najiuliza shida ni nn? mbona aliongea vizuri nn kimebadilika? nani anataka kuhujumu dhamira njema ya Mh. RAIS...
  11. M

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Anachofanya rais ni kurudisha biashara kwanza,mambo ya kibabe kubambikiana kesi, kudhurumiana,siyo msingi wa knachotakiwa RAIS ataweza mbona JK,MWINYI,KIKWETE na MAGU waliweza tusiweke hofu isiyo na msingi ninaaamini kila kitu kitakua sawa ....kama sijui wala rushwa hata MAGUFULI wenyewe...
  12. M

    Ningepata nafasi, ningewapigia magoti na kuwashukuru Umoja wa Ulaya

    sasa kama hilo.mnalifahamu mnasababu gani ya msingi.kuyafanya mliyofanya tarehe 28 october?
  13. M

    Waacheni waendelee kukaza shingo

    ila kama nakuelewa bro,mara kule zimbabwe watu wameteseka sana,Congo hadi leo na mataifa mengine kama hayo.
  14. M

    Nilitigemea hadi sasa CHADEMA wangekuwa wameshafungua kesi nyingi za kupinga matokea ya ubunge na madiwani

    ndiyo.maaana.mmeambiwa.mmeshinda kwa.haki ongozeni sasa tuone maendeleo,CCM si.inakubalika.sana na WAPINZANI wanachelewesha maendeleo,sasa kuna haja gani ya kuwaambia watu wakafungue KESI,je wakishinda si wataenda bungeni kupinga.maendeleo. Sent from my SM-A9000 using JamiiForums mobile app
  15. M

    Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

    neno mabwana zao.unalotumia linakutoa kwenye HOJA husika....kwa nn waitwe mabwana? je na wakitoa msaada kwa magufuli nao watabakia.na.jina hilohilo au wataitwa wadau wa maendeleo? kimsingi LISSU ana hoja ya msingi....na yupo sahihi kutafuta msaada nje kadri atavyoona inafaaa maaana hamna...
Back
Top Bottom