SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,117
- 8,096
Nasema acha aendelee kukaza shingo yake, yeye yule anayejiona yuu mkuu na kuwadharau wakaao juu ya nchi.
Nasema wacha washauri wake waendelee kumpigia makofi na vigeregere wakati wakijua fika ya kuwa karibu shingo ile inaelekea kuvunjika vibaya,
Nasema hivi, tena wala msiwastue hao wanaojiona wana hati miliki ya nchi hii, waacheni waendelee kufanya wanayojisikia kuyafanya maana tiyari wanajiona wapo juu ya sheria.
Nasema waaacheni, waacheni hivyo hivyo ili tuje tupate mengi ya kuja kuwasimulia watoto na wajukuu wetu.