Recent content by Masegense

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Ila wabongo hatuna uvumilivu kabisa, yaani hata kocha awe mzuri vipi tutamtia preassure + kumchafua hadi aonekane hafai. Sasa kocha kafungwa gemu moja tu kwenye ligi tayari anaonekana ni tapeli hafai kabisa! Ndugu zangu wananchi wenzangu huu ni mpira wa miguu kuna matokeo ya kufungwa pia. Acheni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zinazoongoza kwa wafanyakazi kuwa na maringo na masifa hapa Tanzania

    Ila Tanesco kweli wale majamaa huwa wanalinga sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wakuu Nmb bado wamekaza?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Makundi 7 ya Waasi yaungana kupindua Serikali ya Abiy Ahmed

    Hii dunia hii yaani kila siku watu wanawaza na kufikilia kuanzisha mavita tu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Saudia Arabia yakabiliwa na Mashambulizi ya Wahouth katika miji Yao!!

    Vita sio vya kushabikia, kuna watu wanapoteza uhai wao bila hatia inaumiza sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Ila Trump huyu mwamba kichwa yake anaijua mwenyewe. Kuna siku eti anasema anataka kuinunua afrika.
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Pole sana. Naamini utasaidiwa na haki yako itapatikana
  8. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Taratibu za kupata Samia Scholarship zipoje? Iweje nipate division ya 1.5 nikose na wenye 1.9 wapate?

    Dogo hongera umepambana. Naomba nikutie moyo huwenda haikuwa bahati yako. Omba mkopo bodi ya mkopo lazima utapata then endelea na masomo yako utatoboa tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ngapi huko
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tujiheshimu, tuheshimu nyumba za watu ukitaka uhuru kajenge kwako

    Mi sioni kosa la huyo kijana. Huyo bibi anaonyesha ni mkorofi tu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ajengewe sanamu lake

    Baba levo yupo vizuri sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Iran Yatangaza Maofisa Wake Wawili Kuuawa na Mashambulizi ya Israel

    Sasa Iran kwanini alienda kuwachokoza watu ambao hawanaga shoo mbovu
Back
Top Bottom