Recent content by Masati

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kurejewa uchaguzi Zanzibar!

    na kwa uongo wake alipewa zawadi ya kwenda kuishi marekani wala yy hakukamatwa wala kushtakiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Je hakuna waliotimuliwa au amewaonea huruma
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizara zinazofutwa hadharani

    Mfano bunge la bajet ck zake zitapungua. Hata kipindi cha maswali na majibu nacho mda wake utapungua. Bado ucseme ile bajet ya kila wizara
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Hebu ni pm niko arusha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    ninacholalamikia ni hizo pesa ni nyingi mno kitanda m2.5 hatakama kina magodoro ya aina gani mm nahic hapo **** mtu anatuibia tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    nakupongeza makombeni10 ila hebu nisaidie wamevinunua wp kwa haraka namna hiyo na je mm najiuliza je kuna wodi ilikuwa haina vitanda? Maana mm najua wagonjwa wanalala kwenye zile sehem za kupitia na sio mahal ambapo kitanda hamna
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    ninacholalamikia ni hizo pesa ni nyingi mno kitanda m2.5 hatakama kina magodoro ya aina gani mm nahic hapo **** mtu anatuibia tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Wakuu jana nimeona taarifa ambazo ziliniacha na bumbuazi kuhusu kitanda maalum cha kuzalishia watoto eti bei yake ni milioni 2 .5 nimejiuliza ni kitanda cha namna gani cjaelewa. Hebu wenye taarifa zaidi wanijuze maana naona kama wanacheza sarakas kwani badala waongeze majengo wao wanaongeza...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Mku mm nimeshapiga kama wanne na wao ndo wanataka
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Habari wanajukwaa kumekuwa na taarifa kuwa tanesko wameambiwa wawe wanazma umeme ili wananchi wacjue nn kinaendelea nchini hasa wakati huu waungwana wanapohama ccm kwenda ukawa mm kwa maoni yangu kama jambo hili ni kweli bc ccm wameishiwa ujanja kwn hawajui wa2 wanafuatilia habari hata kwa cm...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Fikra Pevu: Lowassa alipwa mamilioni na Wasomali

    Acha unafiki mda wote ulikuwa wp umesubiri ameenda cdm ndo unaleta ujinga wako tangu 2o10 hadi leo umekumbuka nn na ccm harud ng'o na hata angelipwa na nani cc hatujui kura tunampa upende ucpende tena naona kama masanduku yanachelewa vile
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    halafu ajue kwenye siasa lolote lawezekana kuwa mpinzani au mtawala
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

    sumbai;13437522]Leo nakunywaa bia pakaaaaa....safar ya matumaini imerejeaa ucje sahau kwako
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ana nguvu kuliko Lowassa?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Je Sarafu ya Tsh.100 ni kielelezo cha ukomo wa chama tawala?

    Labda ila leo tz tumeandika historia waziri mkuu kuamia upinzani
Back
Top Bottom