Recent content by masanzu

  1. masanzu

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

    Acha uongo mfano mimi natumia app ya m pesa nikitoa line niliyoisajiri kwenye hii app basi app haifanyi kazi mpk niweke tena line husika ndy app inaweza kufanya mwamaala
  2. masanzu

    JamiiForums Tanzania Style ya leo kumuaga marehemu

    Leo wanasimba kwenye vibanda vya magazeti walikuwa wanasoma vichwa vya habari Kama wako kwenye kumuaga marehemu😀😀😄😄😄😄😄😄
  3. masanzu

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza za shimo jeusi angani zatolewa

    huko ndiko kuzimu
  4. masanzu

    JamiiForums Tanzania Wapangaji kuuziwa unit moja ya umeme 500 tsh na mwenye nyumba hii ni sawa??

    Mkuu dawa ni ndogo tu nikuhama tafuta fremu kwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  5. masanzu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CCM, Amina Mollel adai Mbunge Joshua Nassari hajui shida za waliomchagua

    Wewe ndiyo mpotoshaji lione kwanza hivi mnatufanya watanzania akili hatuna mnafanya mikutano nyinyi tu wenzenu wakijikusanya watatu tu mnawakamata
  6. masanzu

    JamiiForums Tanzania Jwtz niliowaona mkoani mara leo kwa Rais magufuli

    Mkuu pc hiyo apo
  7. masanzu

    JamiiForums Tanzania Jwtz niliowaona mkoani mara leo kwa Rais magufuli

    Mkuu pc hiyo aoo
  8. masanzu

    JamiiForums Tanzania Jwtz niliowaona mkoani mara leo kwa Rais magufuli

    Habari wanajamvi leo nilikuwa natoka msoma naelekea mwanza bahati nzuri nikakuta rais akihutubia wananchi Bunda.kitu kilicho nivutia na kunishangaza mpk kuandika huu uzi ni walinzi wake tumezoea kuwaona jwtz wakiwa kwenye sare tulizo zizoea leo nimeona sare tofauti kbs hivi wale ni wanajeshi wa...
  9. masanzu

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni haki? Nimeshindwa kuelewa/kusoma alichoandika Daktari

    Mpk ubahatishe hiyo hospital nyingi ni binafsi ndy watumia computer Sent using Jamii Forums mobile app
  10. masanzu

    JamiiForums Tanzania J. Makamba aweka pozi akingoja picha ipigwe huku akimpatia chakula mwananchi mwenye njaa.

    Mwanasiasa ni sawa na mwanamke malaya kila akivaa ngua akahisi imempendeza lazima atakuwa anajipitipitisha mbele ya wanaume Sent using Jamii Forums mobile app
  11. masanzu

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni haki? Nimeshindwa kuelewa/kusoma alichoandika Daktari

    Wakuu huwa najiuliza hivi ni kwanini maandishi ama miandiko ya hawa wenzetu wanaitwa madokta huwa haieleweki au huwa wanafundishwa hivyo chuoni? Kuna baadhi ya watu pindi wanapokuwa wako sekondari walikuwa wanasifika kwa mwandiko mzuri shida wakitoka kwenye vyuo vya udaktali miandiko yao...
  12. masanzu

    JamiiForums Tanzania King’amuzi cha Azam chaondoa Chaneli za FTA na kubakiza TBC na ZBC tu

    Baadaye utakuja kusikia no kusafiri toka mkoa mwingine kwenda mkoa mwingine bila kibari from the father of the house
  13. masanzu

    JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI 16 HALMASHAURI YA WILAYA YA ITILIMA

    SIMIYU NDIYO WAPI HUKO AU NI MPAKANI NA BURUNDI
Back
Top Bottom