Mawakala wa Kutoa/Kuweka Pesa Walivyo wezi wa Pesa za Wateja

Wakuu Habari ya Mchana.

Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.

Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.

Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.

Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.

Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.

Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.

Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.

So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.

Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.

Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.

Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=

So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.

Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?

Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.

Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.

Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.

Nawasilisha Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mfumo binafs naufaham sana na hata matapeli walio wengi wanatumia sana wanakuwa na app wanakuambia tuma kwenye namba hii Lakin mda huo namba alishakupa anakuwa na app ambayo anakuwa ameinstall na akaiconnect na namba hyohyo .

Ushauri wewe nenda Hadi kwa hyo kijana ukifika mwambie akuazime smartphone yake baada ya hapo ingia kwenye app Kama ni Airtel money app ama Vodacom then ingia itakuomba namba ya Siri ya mama na baada ya hapo icheki ukishajiridhisha nenda polisi fungua mashitaka dhidi yake then ukishapewa mpelelezi mueleze inshu nzima ilivyo mtaenda naye maana yeye anaauthority wakumuomba simu hyo pamoja na yeye kwa upelelez then mweleze inshu ilivyo na kinachofanyoka.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Una ushamba kama sio matatizo ya msongo wa mawazo, umekutana na adha hiyo kwa mtu mmoja tu iweje uwajumuishe mawakala wote
 
Aiseee nimeumia na hela zilivyosumbufu hiviii!!

Mwite huyo dogo mzungumze ila kitagoma na ushahidi unakosa nenda kwanza police alafu mtengeneza kamtego ka kumnasa!
Nenda cyber crime wamshuhurukie
 
Wakuu Habari ya Mchana.

Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.

Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.

Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.

Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.

Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.

Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.

Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.

So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.

Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.

Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.

Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=

So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.

Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?

Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.

Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.

Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.

Nawasilisha Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaaambiwa usimpe mtu mwingine Nywila yako.
 
halopesa app utafanya kila kitu ila ukimaliza kuweka namba ya siri,unaombwa na code zilizotumwa ktk namba husika,so kama namba haipo hewani karibu yako uisome sms,safari inaishia hapo.
 
Yaani hadi sasa huyo jamaa yupo mzima?, ilitakiwa awe hospital akiwa na majeraha ya mapanga kichwani na miguuni
 
Hivi unajielewa kweli wewe....
Kwanza ningekua mimi ndio moods nishakupiga ban ya wiki mbili ili akili ikukae sawa.
Watu wenye akili mgando kama wewe ndio wanao chelewesha mabadiliko ya hiki chama cha kijani kutoka madarakani.
Yaani hadi ushahidi unao, jamaa alitakiwa saizi yupo ICU na pingu mkononi anasubiri kuzindika tu ajikute mahakamani hata kama ni jumapili.
Mama amesema vijana TUCHAKARIKE
Ahsante kwa kunisaidia kujibu.
 
Wakuu Habari ya Mchana.

Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.

Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.

Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.

Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.

Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.

Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.

Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.

So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.

Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.

Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.

Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=

So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.

Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?

Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.

Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.

Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.

Nawasilisha Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka njia panda nenda polisi usichelewe
 
Ishu ni ya wakala mmoja tu huko kijijini kwenu, lakini kichwa cha habari kinasema "mawakala wa kutoa/kuweka pesa walivyo wezi wa pesa za wateja wao" Kana kwamba mawakala wote nchini hujihusisha na huo wizi! Jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.

Hivi unafahamu kweli mateso tuyapitia mawakala wa miamala kutoka kwa matapeli, wezi na vibaka, kiasi cha kubatizwa hilo jina la wezi?

Nadhani unatakiwa tu kufuatilia hilo jambo kwa kina ili kupata ukweli. Kosa la wakala mmoja lisitumike kuwahukumu mawakala wote. Ufupi tu mawakala walio wengi ni waaminifu sana kwenye hii biashara hata kama kamisheni yenyewe ni kiduchu.
 
Nashindwa kuwaelewa hawa Airtel, nimewaomba Airtel wanisaidie printing out ya money transaction kutoka kwenye namba ya Mama kwenda kwa hyo namba ya hyo jamaa Wananiambia hawawezi Kutoa, kwamba ni siri za wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course wewe hauna legal standing hapo, mama yako ndo mwenye haki ya ku-request hyo statement and not you, unless uwe umepewa legal instrument.
 
Ishu ni ya wakala mmoja tu huko kijijini kwenu, lakini kichwa cha habari kinasema "mawakala wa kutoa/kuweka pesa walivyo wezi wa pesa za wateja wao" Kana kwamba mawakala wote nchini hujihusisha na huo wizi! Jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.

Hivi unafahamu kweli mateso tuyapitia mawakala wa miamala kutoka kwa matapeli, wezi na vibaka, kiasi cha kubatizwa hilo jina la wezi?

Nadhani unatakiwa tu kufuatilia hilo jambo kwa kina ili kupata ukweli. Kosa la wakala mmoja lisitumike kuwahukumu mawakala wote. Ufupi tu mawakala walio wengi ni waaminifu sana kwenye hii biashara hata kama kamisheni yenyewe ni kiduchu.
Na kampuni ya simu inakuwaje liable kwa uzembe wao wa ku-share password na third party 🤣 🤣 🤣
 
Nashindwa kuwaelewa hawa Airtel, nimewaomba Airtel wanisaidie printing out ya money transaction kutoka kwenye namba ya Mama kwenda kwa hyo namba ya hyo jamaa Wananiambia hawawezi Kutoa, kwamba ni siri za wateja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua rahisi hivyo si hata mwizi angeenda tu kuomba print out ya miamala yako. Hiyo namba umeshasema ni ya mama yako sasa print out wakupe wewe kama nani kwao? Wao wanawajibika kutoa hizo taarifa kwa mteja mwenyewe na mamlaka zingine kama takukuru,polisi,tra na nyingine kwa mujibu wa sheria.
 
Wakuu Habari ya Mchana.

Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.

Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.

Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.

Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.

Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.

Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.

Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.

So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.

Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.

Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.

Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=

So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.

Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?

Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.

Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.

Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.

Nawasilisha Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa mkasa uliowakuta lakini kabla sijakushauri chochote najiuliza mbona hata mimi ninae bibi kijijini ambae hajui kusoma wala kutumia simu anachojua ni kupokea simu tu hata kupiga hajui.
Lakini tunapomtumia pesa huwa tunapiga kumjulisha kuwa tumetuma kiasi fulani na atakapokwenda kutoa atapata kiasi fln.

Ilikuwaje hiyo miamala yote 25 iliopigwa hamumpi taarifa kuwa kuna pesa mmemtumia akatoe !??
Unawezaje kumtumia pesa mzee asiyejua kutumia simu kisha ukakaa kimya bila ufatiliaji wowote
 
Maana yake bibi anatumiwa na pesa za ziada
 
Mimi nikituma hata kama ni elfu kumi lazima nipige simu ili nipate baraka. Kumtumia pesa mzazi halafu nikatulia tuli huwa nahisi kama dharau hivi. Yaani huwa nahisi labda nimetuma kwa kinyongo.
 
Wakuu Habari ya Mchana.

Niko Likizo ya Sikuukuu za Mwisho Wa Mwaka Huku Kijijini Kwetu.

Mama yangu Mzazi Anaishi Huku Kwetu Kijijini na Ni Mtu mwenye umri wa takriban miaka 90.

Watoto wake Uwaga tunakawaida ya Kutuma Hela Za Matumizi kwa ajili yake na Matumizi ya Nyumbani Kwa Ujumla.

Hapa Nyumbani Kijijini kwetu anaishi Mama, Mtoto wa Marehemu Kaka ana miaka 12, na Msaidizi wa Ndani.

Mama yetu licha ya Kuwa na umri huo Bado anatembea na anaona Vzr.

Kwa hyo Hapa Kijijini Kuna Kijana anafanya Issue za Mpesa, Airtel Money Nk kwa maana ya Money Transaction.

Kwa hyo Wazee wenye Umri wa Mama wanaenda Hapo Kupata huduma ya Kutoa Fedha so Kwa Umri wake na Hawezi kufanya process ya Kutoa pesa.

So Wazee Wetu wakifika Hapo kibandani kwa hyo mwamba wanatabia ya Kumpa Simu Ili Awasaidie kutoa kiasi wanachokihitaji so huyo Jamaa anajua Namba za Siri Za Kutolea pesa za hawa wazee wetu Hapa Vijijini.

Sasa Juzi Niko Na Mama Tumekaa mida Ya Sa12 jioni Ikaingia Meseji ya Airtel money Kwamba Mama amefanya muamala wa 145000/=kwenda kwa hyo Wakala kwa namba yake binafsi.

Nikamuuliza Mama leo umeenda kutoa pesa kwa hyo Wakala wa hapa kijijini, Mama akaniambia sijaenda huko na hata kama nikienda siwezi kutoa hela yote hyo na natumaje hela kwa namba yake binafsi badala ya kutoa kwenye Till # ya Wakala.

Sasa huyu Mtoto wa Braza akanaMbia kama week hivi ilikuja meseji Kwamba mama amemtumia hyo kijana tena 18500/=

So ikabidi nifuatilie kwa Kupiga Namba ya Huduma kwa Wateja Ya Airtel, Wakaniambia kwamba ni kweli Muamala huo umefanyika na ipo miamala mingine takribani 25 ambayo mama yako ametuma kwa hyo kijana.

Ikabidi nimuulize hyo mtaalamu wa Airtel kwamba inakuwaje anaamisha pesa kutoka kwenye simu ya Mama na Simu wakati anayo Mama?

Wakanijibu Kwamba yawezekana huyo Wakala ana Smartphone ambayo ame download apps ya Airtel money So Ndio anatumia kutoa hyo pesa hata kama hana simu.

Wakaniambia Mtu akiwa na hyo Apps yoyote ya hizi huduma za kifedha na akawa na namba yako ya simu na akawa na namba yako ya Siri anauwezo wa kutoa au kuangalia Salio lako bila ww mwenye simu kujua.

Wakuu niko njia panda naombeni ushauri wenu jinsi ya kudeal na huyu Mtu Kabla Sijarudi mjini maana atakuwa ameshawaumiza Sana Wazee Wetu Hapa Kijijini.

Nawasilisha Wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo mfano mimi natumia app ya m pesa nikitoa line niliyoisajiri kwenye hii app basi app haifanyi kazi mpk niweke tena line husika ndy app inaweza kufanya mwamaala
 
Back
Top Bottom