Kwani mwinguru hata zikwa na tai ya bendera ya Nchi yenu? Hiyo tai na rangi zote hizo imesaidia nini mwenye uchumi wa Nchi?.... Au atazikwa na ya Burundi?.
Toka lini Chama kikawa juu ya Nchi?
Yaani Ccm hawasemi miaka yote hiyo ripoti za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu miaka yote hiyo, na hakuna hatua zaidi za kiini macho kipindi cha mlima nanasi wa Msoga? Wakubwa wa maccm je? Hao hawaiibii Nchi?
CHADEMA sitawaamini tena ikiwa, watapeleka wabunge viti maalumu au kutowafukuzia mbali wasaliti wote sio tu hao 19.
Watakuwa wamelitendea haki taifa, kwa kuzungumza Masula ya Taifa kuliko kutumia mda mwingi kwenye mkutano huo kujadili watu.
Hiyo ni kwa sababu kila kiongozi anataka kuacha historia yake binafsi. Mfano hai , kila waziri akiingia kwenye wizara anafanya mambo yake kama yeye, hivyo hivyo kwa Rais ndo maana nchi haiendi, hakuna malengo ya baadae kama Taifa ila kuna utawala kwenye Taifa. Mfano wizara ya elimu, aisee...
Hata yule (mzee kijana kwa sura) kipindi kile ziko timamu hajanywa maji ya rangi ya kijani, alisema.
"Uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm ijiandae kukabidhi ikulu"
Aliamini hivyo na ndiyo ilivyo hata leo ,ila njaaa , njaaa njaaa, ni ya kuisikia tu kwa mwenzio.
Sio kila aokotae chakula ni kichaa...
Hata komandoo ana mipaka. Kiboko ni njaa , hata kama una kiburi vipi, ukiwa na njaa siku kadhaa, lazima ukomando ukome.
Eti hawapangiwi mambo, safari hii ndo watapangiwa pamoja na ukichaa wao.
Hivi inakuwaje ukashinda, ukafrahi, ukawakomesha wale, kisha ukawa huna furaha, una hofu, aibu...
Amejitahidi bila mafanikio kuwabatiza kwa moto kichwani wapinzani kwa 5 iliyopita, kaona kumbe upinzani bado upo mioyoni mwao waja wake aliye juu ya vyote ... kaamua kufanya aliyoyafanya.
sasa ccm wajiandae wao kwa wao atawatumbukiza kwenye bwawa la moto.
Mda utaongeza .
Na ccm wanapenda kujiona bingwa hata kama hawajaenda haki!
Upinzani inaonekana kama uadui, nchi zinazojitambua zinajari mawazo ya upande ambao si wao, bongo ni kukomoana, hivyo ni ccm inajenga uadui . Maana yake adui yako muombee njaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.