chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,711
- 31,329
Hahaha, mkuu,punguza jazbaWewe mama mbona unabandika sana picha za huyu jamaa, akuoe kabisa roho yako itulie
Hahaha, mkuu,punguza jazbaWewe mama mbona unabandika sana picha za huyu jamaa, akuoe kabisa roho yako itulie
Yuko kwenye hangover anafikiri Kyela ni Kongwa au ChatoMkuu Kyela ipi ambayo wanashindwa kununua kipande cha komoa ? mbona tulishaachana na sabuni za vipande kitambo sana !
Unajua kusoma lakini? wapi hapo nimeandika "nawaamini wakoloni weusi ccm?".ila unawaami wakoloni weusi ccm? ukapimwe akili sio bure
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii
Tanzania inapambana na High level of Prices ( Inflation ya hatari sana), Hakuna Chadema wala ccm alietoa suluhisho nchi inatokaje hapa ilipo
Price level ni nafuu watu wa mjini wana kipato lakini huko Kyela mleta uzi ndugu zako hali mbaya, Wanashindwa hata kufua nguo kwa kununua kipande cha komoa au ushindi
Vikao vya ccm Bungeni au Chadema Mlimani City vina manufaa gani kwa Taifa kama hakuna mtu mwenye Suluhu ya haya matatizo
Nawasaidia Chadema mwambieni Mwigulu waongeze Subsidies to Oil importers companies
Vita ya Ukraine kwanza inapamba moto watu ndio wanapeleka vifaru vya kisasa toka Nato, Tegemea bei kupanda zaidi
Huu ndio wakati wa serikali kununua na kujaza mafuta na Gas kwenye maghala yao
Ninaungana nawe katika swala hilo la "kujadili watu" badala ya maswala muhimu yanayokikabili chama na maswala ya kitaifa, hasa hasa hili la "Katiba Mpya."CHADEMA sitawaamini tena ikiwa, watapeleka wabunge viti maalumu au kutowafukuzia mbali wasaliti wote sio tu hao 19.
Watakuwa wamelitendea haki taifa, kwa kuzungumza Masula ya Taifa kuliko kutumia mda mwingi kwenye mkutano huo kujadili watu.
Fukuza Covid 19 wa Ndugai.Hiki ni kikao ambacho kimsingi ndimo huandaliwa Ajenda karibu zote za Chama na kuwasilishwa kwenye Baraza Kuu .
Baada ya kamati kuu leo , kesho ajenda hizi zitawasilishwa kwenye Baraza Kuu , ambacho ndio kikao cha Juu zaidi cha Chama .
Baada ya kikao hicho baadhi ya mambo yatafafanuliwa kwa Waandishi wa Habari ili yapelekwe Duniani .
Imeisha hiyoFukuza Covid 19 wa Ndugai.