Nani anafaa kuwa Mrithi wa IGP Simon Sirro?

1. Lissu kupigwa risasi na Watu Kutekwa na kupotea. Hii imechafua sana Nchi yetu. Hii hali ilimchafua hadi rais kwani Uzembe wa Sirro kufanyakazi, kumefanya watu wadhani kwamba Watekaji wanalindwa. Hii kosa alitakiwa ajiuzulu. Ila amshukuru rais alimvumilia.

=== Cha kujitoa Ufahamu katika Suala la Lissu Kupigwa Riasi

2. Kuna Sakata la sare za Polisi. Rais Magufuli aliibua Sakata la sare za Polisi ambazo ulifanyika ufisadi wa karibia Bil 60, akamuagiza afanyie kazi, lakini hafanyi chochote. Alitakiwa ajiuzulu.

=== Hapa sina Neno, ila hata Kama alifanyiwa kazi ulitaka aje ku report kwako ?

3. Sakata la Lugumi. Kuna ufisadi wakaribia Bilioni 34 za kifunga mitambo ya alama za Vidole ambalo liliibuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

==== Hili liko tokea enzi na enzi

4. Majeshi yote ya Tanzania yana miradi ya maendeleo ili kupunguza utegemezi kwa Serikali. Lakini kwa Miaka mitano ameshindwa kubuni miradi hata ya kuwasaidia Askari.

=== Principal Duty ya Police ni Kulinda Raia na Mali zao,Muda wa ku Focus kwenye Miradi wautoe wapi ? Hizo resources watatoa wapi ?

NB
Nakubaliana na wewe, Siro ana hofu ya Mungu
Pia ukumbuke kuwa zile kazi zinazojaza core business ya polisi zipo kila siku kwa mwaka mzima, na haziishi, na wala polisi waliopo hawatoshi kuzifanya zote kwa ufanisi. Tofauti sana na majeshi mengine:
1. Jeshi la Ulinzi (JWTZ): hatujawa na vita tena baada ya ile ya Iddi Amin 40 years ago. Wana muda kibao wa kufanya non-core activities za kuzalisha mali, kujenga miundombinu nk
2. Jeshi la Magereza: core-business yao ni urekebishaji wa wafungwa ambao mojawapo ya njia za kuwarekebisha ni kuwashughulisha kwenye uzalishaji
3. Jeshi la zimamoto wanakaa vituoni mwao kusubiri wapigiwe simu za kuwaita kuzima moto, hatujawahi kuwasikia wala kuwaona wanafanya doria wala kulinda

Kazi ya polisi ina changamoto tofauti sana na wote wengine
 
Hao majambazi wataiba nini zama hizi za tecnolojia. Kuna vitu kwa kadri tecnolojia inavyokua lazima vipungue automatic.

Dunia ya sasa sehemu iliyobaki yenye lundo la ma pesa ni kwenye mabank nako toka kitambo uvamizi ulikua wakiwango chakawaida.

Kwahiyo sio kweli kwamba usalama umeimarika kiasi hicho unachotaka kutuaminisha bali maisha ndiyo yaliyobadilika. Vyakuiba ndio hakuna. Simple like that.
Hapana, tuwatendee haki polisi. Ni kweli ujambazi umepungua sana. Mmewasahau panya rodi mara hii? Kwani panya rodi walikuwa wakiiba benki? Yale magenge ya majambazi waliokuwa wakivunja nyumba kuiba tv, simu na chenji iliyobaki mmewasahau? Mbona bado flat screen mnazo majumbani mwenu na hamvunjiwi? Mtu akifanya vizuri apongezwe, kwenye mapungufu asemwe.
 
Salaam Wakuu salaam

Tumsaidie Rais Magufuli kutafuta Watendaji wenye Uchungu na Nchi Watetezi wa Wanyonge.

Kumbuka sisi Wanachama wa JamiiForums ndio tulimpendekeza Sirro kwa Rais na akateuliwa na katuangusha.

Ni Wakati wetu wa kumsaidia kupa mrithi wake.

Weka Wasifu na kwanini unadhani huyo ulomtaja anaweza kuvaa Viatu vya Sirro?

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro, ana mambo mazuri kafanya katika Nchi yetu. Lakini kila mtu ana madhaifu yake kama ilivyo kwa Sirro.

Ila kutokana na Hotuba rais aloitoa Wakati anamuapisha Waziri Mkuu Majaliwa, ni ukweli usio na Shaka kwamba lolote laweza kutokea kwa IGP Sirro.

Afande Sirro kwa hii miaka Mitano, alitakiwa awe amejiuzulu. Hata rais alimpa nafasi ya kujitafakari akashindwa.

Kuna Makosa ambayo Sirro kafeli kutimiza ambayo yamefaya nimuondolee alama.

1. Lissu kupigwa risasi na Watu Kutekwa na kupotea. Hii imechafua sana Nchi yetu. Hii hali ilimchafua hadi rais kwani Uzembe wa Sirro kufanyakazi, kumefanya watu wadhani kwamba Watekaji wanalindwa. Hii kosa alitakiwa ajiuzulu. Ila amshukuru rais alimvumilia.

2. Kuna Sakata la sare za Polisi. Rais Magufuli aliibua Sakata la sare za Polisi ambazo ulifanyika ufisadi wa karibia Bil 60, akamuagiza afanyie kazi, lakini hafanyi chochote. Alitakiwa ajiuzulu.

3. Sakata la Lugumi. Kuna ufisadi wakaribia Bilioni 34 za kifunga mitambo ya alama za Vidole ambalo liliibuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

4. Majeshi yote ya Tanzania yana miradi ya maendeleo ili kupunguza utegemezi kwa Serikali. Lakini kwa Miaka mitano ameshindwa kubuni miradi hata ya kuwasaidia Askari.

NB: Sitaki kuzungumzia Rushwa, Uchakavu wa Ofisi za Polisi na Uchakavu wa sare za Polisi,kubambikia kesi nk.

Hata akiendelea kuliongoza jeshi la Polisi kwa upande wangu naona kakosa uhalali wa kuendelea kuwepo hapa alipo. Namuombea kila la heri katika maisha yake ya baadaye. Na tunashukuru kwa Mchango wange hasa wa kudhibiti Ujambazi Nchi.

Kwa Upande wangu bado nafuatilia CV ya Afande wa Taifa Fortunatus Muslimu ambaye amefanikiwa kudhibiti ajali barabarani. Tangu 2017 yeye yupo Field. Ni Askari Mcha Mungu, Mwenye Upendo, hekima na Msikivu. Nafuatilia CV yake. Sisi watu wa barabarani tunaona mchango wake. Madereva Walevi wameisha. Huwa hakai Ofisini..

Simon Nyakoro Sirro kabla ya kuwa IGP, alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi wa 10 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwisho wa makala hii tutawaorodhesha wengine waliomtangulia kushika wadhifa huo.

Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.

Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu kusoma Shahada ya awali katika Sheria.

Sirro amesoma pia seminari (masomo ya upadri) na kufikia ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
Kamanda Sirro alisema kuwa kama isingekuwa baba yake basi leo yeye angekuwa ni Padri wa Kanisa Katoliki kwani ndiyo ndoto yake kubwa, lakini baada ya wazazi wake kumkatisha ndipo alipojiunga na jeshi hilo.

Unajua wazazi kule kwetu Musoma walikuwa hawakuelewi usipooa. Mzazi aliona mimi ni kijana mkubwa akasema haiwezekani,” alisema Sirro alipofanya mahojiano na Mwananchi kipindi cha nyuma.

Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Kituo cha Polisi Buguruni mwaka 1998, Mkuu wa Upelelezi Tarafa ya Magomeni kwa miaka 5 na Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Tabora.

Mwaka 2002 alikuwa Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam akiwa ni msaidizi wa Abdallah Zombe.

Sirro ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam wa tatu ambapo aliteuliwa na Rais Dkt Magufuli Februari 15 mwaka 2006 akichukua nafasi ya Suleiman Kova aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka 2008. Kabla ya Kova aliyekuwa akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni Alfred Tibaigana.

Wakati Suleiman Kova akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sirro alikuwa msadizi wake ambapo baadae alirithi mikoba yake.

Kabla ya kuongoza Kanda Maalum Dar es Salaam, Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania. Moja ya opersheni kubwa alizowahi kuongozi ni Operesheni Kimbunga dhidi ya wahamiaji haramu mwaka 2012.

Lakini pia, Simon Nyakoro Sirro amewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mikoa mbalimbali ambayo ni Tanga, Mwanza na Shinyanga.

Wakuu wengine wa Jeshi la Polisi ni;
1. Elangwa Shahidi (1964-1970), alistaafu.

2. Hamza Azizi (1972-1973), aling’olewa na Mwl. Nyerere kwa matumizi mabaya ya madaraka.

3. Samwel Pundugu (1973-1975).

4. Philemon Mgaya (1975-1980),
aliachishwa kazi kwa manufaa ya umma.

5. Solomoni Liani (1980-1984), alihitimisha kipindi cha mwisho cha Mwl. Nyerere.

6. Harun Mahundi (1984-1996), alistaafu.

7. Omari Mahita (1996-2006), alistaafu.

8. Said Mwema (2006-2013), alistaafu.

9. Ernest mangu (2013-2017), atapangiwa kazi nyingine, na

10. Simon Sirro (2017-2020) yupo madarakani.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Nyakoro Sirro ameoa mke mmoja na ana watoto wanne.
Sirro kuteuliwa na Magufuli 2006,hapo umechapia kidogo
 
Naona unajipigia debu ndugu. JPM atamaliza na Sirro hilo halina ubishi afande
 
JIWE ALIWAHI KUSEMA HADHARANI.
"I WISH I COULD BE IGP".

KWA TAFSIRI MAGUFULI ALISEMA ANATAMANI YEYE ANGEKUWA IGP.

kingunge alisema jiwe hafai kuwa hata nyapala wa Barabara.
 
Hivi unajua kwamba jeshini kuna ngazi za uongozi (ranks)?

Huwezi kumpa Mambosasa u-IGP halafu uwaache makamishna na manaibu makamishna pale Makao Makuu.

Hilo likifanyika basi itabidi Mhe. Rais pia awaondoe viongozo wote ngazi za juu za Polisi ili tu kumpa uhalali Mambosasa awe IGP kitu ambacho sioni kama kinaweza kufanyika.

Hivyo mtu ambae naona ni candidate wa u-IGP baada ya Sirro ni Sabas ambae kwa sasa ni Kamishna wa Operesheni.
Unachekesha sana. Imewezekana kuwa na IGPs wawili. Vyeo huwa vinapandishwa tu.
 
Salaam Wakuu salaam

Tumsaidie Rais Magufuli kutafuta Watendaji wenye Uchungu na Nchi Watetezi wa Wanyonge.

Kumbuka sisi Wanachama wa JamiiForums ndio tulimpendekeza Sirro kwa Rais na akateuliwa na katuangusha.

Ni Wakati wetu wa kumsaidia kupa mrithi wake.

Weka Wasifu na kwanini unadhani huyo ulomtaja anaweza kuvaa Viatu vya Sirro?

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro, ana mambo mazuri kafanya katika Nchi yetu. Lakini kila mtu ana madhaifu yake kama ilivyo kwa Sirro.

Ila kutokana na Hotuba rais aloitoa Wakati anamuapisha Waziri Mkuu Majaliwa, ni ukweli usio na Shaka kwamba lolote laweza kutokea kwa IGP Sirro.

Afande Sirro kwa hii miaka Mitano, alitakiwa awe amejiuzulu. Hata rais alimpa nafasi ya kujitafakari akashindwa.

Kuna Makosa ambayo Sirro kafeli kutimiza ambayo yamefaya nimuondolee alama.

1. Lissu kupigwa risasi na Watu Kutekwa na kupotea. Hii imechafua sana Nchi yetu. Hii hali ilimchafua hadi rais kwani Uzembe wa Sirro kufanyakazi, kumefanya watu wadhani kwamba Watekaji wanalindwa. Hii kosa alitakiwa ajiuzulu. Ila amshukuru rais alimvumilia.

2. Kuna Sakata la sare za Polisi. Rais Magufuli aliibua Sakata la sare za Polisi ambazo ulifanyika ufisadi wa karibia Bil 60, akamuagiza afanyie kazi, lakini hafanyi chochote. Alitakiwa ajiuzulu.

3. Sakata la Lugumi. Kuna ufisadi wakaribia Bilioni 34 za kifunga mitambo ya alama za Vidole ambalo liliibuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

4. Majeshi yote ya Tanzania yana miradi ya maendeleo ili kupunguza utegemezi kwa Serikali. Lakini kwa Miaka mitano ameshindwa kubuni miradi hata ya kuwasaidia Askari.

NB: Sitaki kuzungumzia Rushwa, Uchakavu wa Ofisi za Polisi na Uchakavu wa sare za Polisi,kubambikia kesi nk.

Hata akiendelea kuliongoza jeshi la Polisi kwa upande wangu naona kakosa uhalali wa kuendelea kuwepo hapa alipo. Namuombea kila la heri katika maisha yake ya baadaye. Na tunashukuru kwa Mchango wange hasa wa kudhibiti Ujambazi Nchi.

Kwa Upande wangu bado nafuatilia CV ya Afande wa Taifa Fortunatus Muslimu ambaye amefanikiwa kudhibiti ajali barabarani. Tangu 2017 yeye yupo Field. Ni Askari Mcha Mungu, Mwenye Upendo, hekima na Msikivu. Nafuatilia CV yake. Sisi watu wa barabarani tunaona mchango wake. Madereva Walevi wameisha. Huwa hakai Ofisini..

Simon Nyakoro Sirro kabla ya kuwa IGP, alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi wa 10 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwisho wa makala hii tutawaorodhesha wengine waliomtangulia kushika wadhifa huo.

Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.

Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu kusoma Shahada ya awali katika Sheria.

Sirro amesoma pia seminari (masomo ya upadri) na kufikia ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
Kamanda Sirro alisema kuwa kama isingekuwa baba yake basi leo yeye angekuwa ni Padri wa Kanisa Katoliki kwani ndiyo ndoto yake kubwa, lakini baada ya wazazi wake kumkatisha ndipo alipojiunga na jeshi hilo.

Unajua wazazi kule kwetu Musoma walikuwa hawakuelewi usipooa. Mzazi aliona mimi ni kijana mkubwa akasema haiwezekani,” alisema Sirro alipofanya mahojiano na Mwananchi kipindi cha nyuma.

Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Kituo cha Polisi Buguruni mwaka 1998, Mkuu wa Upelelezi Tarafa ya Magomeni kwa miaka 5 na Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Tabora.

Mwaka 2002 alikuwa Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam akiwa ni msaidizi wa Abdallah Zombe.

Sirro ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam wa tatu ambapo aliteuliwa na Rais Dkt Magufuli Februari 15 mwaka 2006 akichukua nafasi ya Suleiman Kova aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka 2008. Kabla ya Kova aliyekuwa akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni Alfred Tibaigana.

Wakati Suleiman Kova akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sirro alikuwa msadizi wake ambapo baadae alirithi mikoba yake.

Kabla ya kuongoza Kanda Maalum Dar es Salaam, Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania. Moja ya opersheni kubwa alizowahi kuongozi ni Operesheni Kimbunga dhidi ya wahamiaji haramu mwaka 2012.

Lakini pia, Simon Nyakoro Sirro amewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mikoa mbalimbali ambayo ni Tanga, Mwanza na Shinyanga.

Wakuu wengine wa Jeshi la Polisi ni;
1. Elangwa Shahidi (1964-1970), alistaafu.

2. Hamza Azizi (1972-1973), aling’olewa na Mwl. Nyerere kwa matumizi mabaya ya madaraka.

3. Samwel Pundugu (1973-1975).

4. Philemon Mgaya (1975-1980),
aliachishwa kazi kwa manufaa ya umma.

5. Solomoni Liani (1980-1984), alihitimisha kipindi cha mwisho cha Mwl. Nyerere.

6. Harun Mahundi (1984-1996), alistaafu.

7. Omari Mahita (1996-2006), alistaafu.

8. Said Mwema (2006-2013), alistaafu.

9. Ernest mangu (2013-2017), atapangiwa kazi nyingine, na

10. Simon Sirro (2017-2020) yupo madarakani.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Nyakoro Sirro ameoa mke mmoja na ana watoto wanne.
Ampe slow slow
 
Uko wrong kabisa

Sio lazima awe kamishina, anaweza kuongezwa mtu vyeo kutoka chini mpaka kamishina ili achaguliwe u-IGP tu au akarushwa kutoka chini mpaka IGP

Records zipo
Soma paragraph yangu No. 3. Naona unaongea marudio tu.
 
Unakumbuka uteuzi wa Mahita Uliwaacha Makamishina wangapi?
Huwezi kumpandisha huyo wa chini halafu wenye ranks za juu wakabaki. Kuwa muelewa mzee.

Hilo likifanyika serikali italazimika kuwastaafisha wa ranks za juu kwa maslahi ya umma na huo unakuwa mzigo.
 
RPC anaagiza????
Ungekuwepo pale Mwz jiji ukaona jinsi raia walivyokua nyomi magari ya serikali+ya wananchi yako yanachomwa moto huku wananchi wakivunja geti la kuingia jiji,ungeelewa kwanini Sirro aliagiza hilo.

Alisema msimamizi wa uchaguzi tangaza huyo aliyeshinda haraka,sina askari wa kutosha wa kuweza kudhibiti watu hawa.

Ndani ya dakika 5 Wenje akatangazwa na watu wakasepa makwao.
 
Salaam Wakuu salaam

Tumsaidie Rais Magufuli kutafuta Watendaji wenye Uchungu na Nchi Watetezi wa Wanyonge.

Kumbuka sisi Wanachama wa JamiiForums ndio tulimpendekeza Sirro kwa Rais na akateuliwa na katuangusha.

Ni Wakati wetu wa kumsaidia kupa mrithi wake.

Weka Wasifu na kwanini unadhani huyo ulomtaja anaweza kuvaa Viatu vya Sirro?

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro, ana mambo mazuri kafanya katika Nchi yetu. Lakini kila mtu ana madhaifu yake kama ilivyo kwa Sirro.

Ila kutokana na Hotuba rais aloitoa Wakati anamuapisha Waziri Mkuu Majaliwa, ni ukweli usio na Shaka kwamba lolote laweza kutokea kwa IGP Sirro.

Afande Sirro kwa hii miaka Mitano, alitakiwa awe amejiuzulu. Hata rais alimpa nafasi ya kujitafakari akashindwa.

Kuna Makosa ambayo Sirro kafeli kutimiza ambayo yamefaya nimuondolee alama.

1. Lissu kupigwa risasi na Watu Kutekwa na kupotea. Hii imechafua sana Nchi yetu. Hii hali ilimchafua hadi rais kwani Uzembe wa Sirro kufanyakazi, kumefanya watu wadhani kwamba Watekaji wanalindwa. Hii kosa alitakiwa ajiuzulu. Ila amshukuru rais alimvumilia.

2. Kuna Sakata la sare za Polisi. Rais Magufuli aliibua Sakata la sare za Polisi ambazo ulifanyika ufisadi wa karibia Bil 60, akamuagiza afanyie kazi, lakini hafanyi chochote. Alitakiwa ajiuzulu.

3. Sakata la Lugumi. Kuna ufisadi wakaribia Bilioni 34 za kifunga mitambo ya alama za Vidole ambalo liliibuliwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

4. Majeshi yote ya Tanzania yana miradi ya maendeleo ili kupunguza utegemezi kwa Serikali. Lakini kwa Miaka mitano ameshindwa kubuni miradi hata ya kuwasaidia Askari.

NB: Sitaki kuzungumzia Rushwa, Uchakavu wa Ofisi za Polisi na Uchakavu wa sare za Polisi,kubambikia kesi nk.

Hata akiendelea kuliongoza jeshi la Polisi kwa upande wangu naona kakosa uhalali wa kuendelea kuwepo hapa alipo. Namuombea kila la heri katika maisha yake ya baadaye. Na tunashukuru kwa Mchango wange hasa wa kudhibiti Ujambazi Nchi.

Kwa Upande wangu bado nafuatilia CV ya Afande wa Taifa Fortunatus Muslimu ambaye amefanikiwa kudhibiti ajali barabarani. Tangu 2017 yeye yupo Field. Ni Askari Mcha Mungu, Mwenye Upendo, hekima na Msikivu. Nafuatilia CV yake. Sisi watu wa barabarani tunaona mchango wake. Madereva Walevi wameisha. Huwa hakai Ofisini..

Simon Nyakoro Sirro kabla ya kuwa IGP, alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi wa 10 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwisho wa makala hii tutawaorodhesha wengine waliomtangulia kushika wadhifa huo.

Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.

Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu kusoma Shahada ya awali katika Sheria.

Sirro amesoma pia seminari (masomo ya upadri) na kufikia ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.
Kamanda Sirro alisema kuwa kama isingekuwa baba yake basi leo yeye angekuwa ni Padri wa Kanisa Katoliki kwani ndiyo ndoto yake kubwa, lakini baada ya wazazi wake kumkatisha ndipo alipojiunga na jeshi hilo.

Unajua wazazi kule kwetu Musoma walikuwa hawakuelewi usipooa. Mzazi aliona mimi ni kijana mkubwa akasema haiwezekani,” alisema Sirro alipofanya mahojiano na Mwananchi kipindi cha nyuma.

Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Kituo cha Polisi Buguruni mwaka 1998, Mkuu wa Upelelezi Tarafa ya Magomeni kwa miaka 5 na Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Tabora.

Mwaka 2002 alikuwa Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam akiwa ni msaidizi wa Abdallah Zombe.

Sirro ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam wa tatu ambapo aliteuliwa na Rais Dkt Magufuli Februari 15 mwaka 2006 akichukua nafasi ya Suleiman Kova aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka 2008. Kabla ya Kova aliyekuwa akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni Alfred Tibaigana.

Wakati Suleiman Kova akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Sirro alikuwa msadizi wake ambapo baadae alirithi mikoba yake.

Kabla ya kuongoza Kanda Maalum Dar es Salaam, Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania. Moja ya opersheni kubwa alizowahi kuongozi ni Operesheni Kimbunga dhidi ya wahamiaji haramu mwaka 2012.

Lakini pia, Simon Nyakoro Sirro amewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mikoa mbalimbali ambayo ni Tanga, Mwanza na Shinyanga.

Wakuu wengine wa Jeshi la Polisi ni;
1. Elangwa Shahidi (1964-1970), alistaafu.

2. Hamza Azizi (1972-1973), aling’olewa na Mwl. Nyerere kwa matumizi mabaya ya madaraka.

3. Samwel Pundugu (1973-1975).

4. Philemon Mgaya (1975-1980),
aliachishwa kazi kwa manufaa ya umma.

5. Solomoni Liani (1980-1984), alihitimisha kipindi cha mwisho cha Mwl. Nyerere.

6. Harun Mahundi (1984-1996), alistaafu.

7. Omari Mahita (1996-2006), alistaafu.

8. Said Mwema (2006-2013), alistaafu.

9. Ernest mangu (2013-2017), atapangiwa kazi nyingine, na

10. Simon Sirro (2017-2020) yupo madarakani.

Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Nyakoro Sirro ameoa mke mmoja na ana watoto wanne.
Mahera wa necccm
 
Back
Top Bottom