Recent content by Masanjehalima

  1. Masanjehalima

    Hawa ndiyo Marais pekee waliokuwa na Intelligence kubwa katika lugha

    Sasa Mbona Na Wewe Mkuu Umemalizia Uzi Wako Kwa Kingereza Cha Mwanao Wa Standard Five Mimi Nikajua Utaonesha Umwamba Kwa Kumalizia Ya English Ya US Na Sio Ya British
  2. Masanjehalima

    New member

    Avatar Inanipa Tabu Sana Kutambua Jinsia Mkuuu...Tuanzie Na Hapo Kwenye Jinsia Kabla Ya Namba Mkuu
  3. Masanjehalima

    Azam huu nao ni ubaguzi

    Mkuu Nimepitia Pitia Comment Za Wajuzi Wa Mambo Hapo Juu Nimegundua Kuwa Katika Kusafirisha Miili Ya Marehemu Hakuna Ubaguzi Uliotokea Maana Wajuzi Wa Mambo Wanasema Miili Ilikuwa Saba Kunako Ndege Iliyosafirisha Miili Hiyo!!!!......Ila Mimi Nilipoumia Na Nlipoona Ubaguzi Ulipotokea Ni Jinsi...
  4. Masanjehalima

    Somo la uzalendo 🇹🇿 🇺🇸

    Hii Mada Ya Kuonyesha Uzalendo Kwa Kupeperusha Bendera Imenikaa Kwa Kweli.,,,,,,,wakuu Niombe Kuuliza Hivi Ikitokea Umeamua Kumiliki Bendera Yako Kiuzalendo ,,Taratibu Za Kuipandisha Na Kuishua Kila Siku Zitakuwa Ni Zile Zile Za Kupuliza Filimbi Ili Watu Wapitao Karibu Na Makazi Yako Wasimame...
  5. Masanjehalima

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Jamii Ya Akina Amber Rutty Naona Inashika Kasi Kwel Kwel Haitak Kupotea Katika Ulimwengu Huu Hta Kama Ni Kwa Mbinde
  6. Masanjehalima

    Miaka yetu na uanamke wetu.... uke ilikuwa unatunzwa sana

    mdgo Wake Si Ndo Kama Hawa Anaowalalamikia Mkuu Au Unataka Mdgo Wake Yupi Tena Labda Akupe Mwanae Mshuza,
  7. Masanjehalima

    Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

    Bado Kidogo Tutasikia Diamond Nae Kaenda Clouds Kusalimia Ndgu Jamaa Na Marafk
  8. Masanjehalima

    Wauza kahawa wanabeba siri nzito sana sema basi tu

    Hahahahaha Kwa Jinsi MWENYEZI MUNGU Alivyo Ni Muweza ,;mteja Akipewa Kahawa Iliwekwa Maji Ya Mitaroni Anaweza Akaisifia Kuwa Hiii Ya Leo Ndo Yenyew Na Usishangae Akamkaribisha Aje Kesho Na Kahawa Ya Kiwango Cha Namna Hyo
  9. Masanjehalima

    Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

    Mmh Na Kweli Aise Nimeona Mtoto Wa Huyu Mrembo Alivyo Na Sura Mbaya Kichwa Ndo Usiseme Kikubwa Kwel Yaan Dah
  10. Masanjehalima

    Wanawake warembo wanaongoza kuzaa watoto wa wenye sura mbaya

    Mimi Bila Kutupia Kapicha Hapa Jukwaani Bado Sijaamin Hii Research Yako Kama Inawezakuwa Kwel Kapicha Please Atleast 3
  11. Masanjehalima

    Huu ni mwaka 2019, Hamisa Mobeto ana miaka 24, Wema Sepetu miaka 28

    Hahahahahaha Hapo Kwenye Mpira Umeniacha Hoi Nko Hapa Namfikiria Medie Kagere Na Ule Ukomavu Wake
  12. Masanjehalima

    Dar: Adaiwa kufariki dunia baada ya mwenye nyumba kuondoa paa la nyumba

    Kama Binti Ataendelea Kukaa Hapo Itafikia Kipindi Huyo Baba Mwenye Nyumba Atamshawishi Ili Amuoe
  13. Masanjehalima

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Asa Hapo Si Itakuwa Imeenda Seat Zote Zikiwa Tupu Na Nikivuta Kumbukumbu Yangu Ya Mwaka Jana Inanionyesha Kuwa Mh Rais Wetu Aliwahi Kuhitaji Majina Ya Wafanyakaz Wa Serikali Waliokataa Kusafiri Na Ndege Waliyokuwa Wamekatiwa Tiket Ili Warudishe Gharama Zilizotumika Kutoka Mifuko Mwao,,,,, Je Kwa...
  14. Masanjehalima

    Nimegundua usaliti alionifanyia mke wangu kumbe watoto sio wangu!!!

    Kama Umeshindwa Kuzaa Watoto Na Huyo Mwanamke Uliyekaa Nae Miaka 10 Ndani Ya Nyumba Je Akikuletea Huyo Mama Yake Unayedai Akuletee Umgegede Mwezi Mzima Ndo Utazaa Nae Watoto Sasa Au Utakuwa Unataka Kula Na Wazee 2??
Back
Top Bottom