Recent content by masanja90

  1. masanja90

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] utasema na ile benki kwani imewahi kuwa Rais
  2. masanja90

    JamiiForums Tanzania EXAMINATION INSTRUCTIONS ZILIZOSHIBA

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. masanja90

    JamiiForums Tanzania Igunga, Tabora: Mtu mmoja auawa na mwingine kajeruhiwa na Fisi

    Apumzike kwa Amani huku akizini na kibaya kila mmja ana mwenza wake. Wakt Mme wa mwanamke akiwa Mpanda kwenye kilimo mwanamke akawa anachepuka. Mwanaume kapona ila mkewe kajua mmewe alikuwa anamcheat,matokeo yake ni makubwa
  4. masanja90

    JamiiForums Tanzania Ngoma mpya ya Ali Kiba ''Mvumo wa Radi''; Maoni na ushauri

    Acha hizo akili, WCB ni club huwezi linganisha na mchezaji mmoja. Huwezi sema Real Madrid ni bora kuliko No Salah. Diamond kushine inategemea na wasanii aliowazalisha, na nyimbo nyingi za Diamond ni alizoshirikisha wasanii wa nje.... Kiki pmj na drama za mapenzi hufanya wengi kumfuatilia, sema...
  5. masanja90

    JamiiForums Tanzania Kama baba yako anamiliki Leseni ya Biashara, mtoto hapati mkopo wa Elimu ya juu. Hii ndio serikali ya CCM/Magufuli

    Mmoja anasoma UDSM university mwngne Feza school hongera. Ila ukiwa na akili timamu lazima utambue kuwa hii awamu ni ya kishenzi
  6. masanja90

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna raha yake, hata Bombadier tunasukuma

    Usilinganishe USA tuanze na South Afrika tuliowasaidia kupata Uhuru wapo wapi. Au Rwanda waliouana 1994 na shirika lao lilivyo na ndege. Kiufupi tumejiroga half tukamwua mganga
  7. masanja90

    JamiiForums Tanzania Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Tume ikiwa huru 2020 Chadema ht wakiweka jiwe linapita. HT Humphrey slo slow kipnd akiwa na akili timamu alinena hayo
  8. masanja90

    JamiiForums Tanzania Video: Spika Ndugai autumia mchango wa Zitto Bungeni kuwapigia debe mawaziri wasafiri nje ya nchi

    Leo kaongea, lugha moja twaanza kuongea sasa
  9. masanja90

    JamiiForums Tanzania Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

    Lawona Nsonda.... Makongorosi Chunya... Sawaa baabaa
  10. masanja90

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa jimbo la California sasa ni mkubwa kuliko ule wa UK

    GDP YA CALFORNIA NI BUDGET YA TANZANIA ZAIDI YA MIAKA 190
  11. masanja90

    JamiiForums Tanzania Picha za Kikwete akiwa daraja la mto Kilombero

    Kama firminho kwa Mo Salah
  12. masanja90

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Hajui kutamka entrepreneurship
  13. masanja90

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya marais wenye elimu kubwa Afrika, Rais Magufuli ashika namba tano

    Je wajua duniani Rais msomi, aliyetumia English kupata mpk degree na asiyejua English kuongea ni yy Pumba Maharage. Mpk nchi za nje anaogopa kwenda ili wasitushangae
  14. masanja90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

    Waislamu hukimbilia ndoa fasta maana hujua kuna talaka tofauti na ukristo, mpk ujitafakari. Dada yangu alibadili dini 2008 kutoka RC na kuwa mwislamu, wazazi walimkataza Ila akatishia kujiua ikabd wamwache. Miaka kumi badae mwaka huu katelekezwa Mwanza mwanaume yupo Dar anakula bata. Usikimbilie...
Back
Top Bottom