Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Mwandosya kafanya kitu gani cha kukumbukwa kwenye utumishi wake katika taifa hili?? Hata CCM walishamkataa amegombea mara mbili kwenye kura za maoni ya uraisi lakini hakupata kitu!! Sasa uprofesa wake unatusaidia nini sasa?? Ana stress za kushindwa kwenye kura za maoni mara mbili. Aende huko hatusaidii kitu kama Chadema wanafikiri atawasaidia wampendekeze kugombea uraisi 2020 apambane na Raisi Magufuli tuone nani zaidi.
Tume ikiwa huru 2020 Chadema ht wakiweka jiwe linapita. HT Humphrey slo slow kipnd akiwa na akili timamu alinena hayo
 
Kama yeye siyo takataka kwa nini hakuukwaa urais? Na kama anajiamini mbona analia lia mitandaoni kuwa amesahaulika?
Huwa najiuliza sana, kama Mwandosya alishindwa kuonekana ubora wake wakati wa Kikwete, sasa atagombea urais ili afanye nini kipya? Ama tu kutimiza takwa lenu la ni zamu ya Wakonda?
Tatizo lake hawezi kufanya kazi Kama team anapenda upeke yake peke yake angeiva na kikwete wakati kikwete kawa raisi angempa hata uwaziri mkuu.Magufuli kuteuliwa akaanza kubwabwaja kuwa Magufuli hafai kuwa mwenyekiti wa CCM kwa kuwa hajawahi kiongozi wa CCM Hana uzoefu !!!! Yeye mwenye uzoefu mbeya wapinzani wamechukua uongozi Hadi udiwani!! Magufuli ameshika na akina Polepole ambao hawana sifa alizotaja majimbo yote chaguzi za marudio za ubunge CCM imechukua yote na udiwani CCM imechukua kote kasoro mbeya kwake Mwandosya anakojidai Ana uzoefu wa uongozi wa CCM!!!!!! Kulia kasahaulika akumbukwe kwa lipi? Azawadiwe kwa Mbeya kuchukuliwa na akina Sugu?
 
Na Jumanne Lutengano Majoka
Mjasiriamali Mbeya Mjini.

Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe kuwa adhabu aliyoipata kwa kumtusi Rais ilikuwa ni kifungo cha kisiasa.

Kwa Prof. Mwandosya na Sugu mwenyewe ni vizuri kujiepusha na upotoshaji huu. Sugu alifungwa kwa kosa la jinai na hivyo alikuwa mfungwa wa kosa la jinai na sio mfungwa wa kisiasa kama anavyodai.

Mfungwa wa kisiasa ni mtu aliyefungwa jela kutokana na kujihusisha na shughuli ama imani za kisiasa. Hapa ndipo mtu kama Nelson Mandela anaitwa mfungwa wa kisiasa.

Lakini Sugu sio mfungwa wa kisiasa, Sugu ni mhalifu, alifanya makosa ya kuvunja sheria za nchi kwa kumtukana Rais. Hata utambulisho wake anaitwa Mfungwa namba 219/2018 na sio Mfungwa wa Kisiasa namba 219/2018 kama anavyodai na kama Prof. Mwandosya anavyounga mkono.

Hizi ni siasa za kipuuzi na zinapoungwa mkono na mtu mwenye utumishi kwa nchi kama Prof Mark Mwandosya inatia wingu zito na inavunja heshima.

Nimejiuliza sana kuhusu lengo la Prof. Mark Mwandosya kumpokea Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi “Sugu” aliyetolewa jana Mei 10, 2018 kwa msamaha wa Rais na ujumbe aliouandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. Tena Prof. Mwandosya kafunga safari hadi nyumbani kwake Sugu kumpokea na kuandika alichoandika.

Kwa ambao hamjasoma alichopost Prof. Mwandosya, kapiga picha akiwa na Sugu nyumbani kwa Sugu kaandika hivi nanukuu “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Mhe.Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa,Gereza la Ruanda,Mbeya.Kutofautiana vyama,itikadi na misimamo kusilete uhasama na uadui.Mungu Ibariki Tanzania.

Na akaendelea kwa kimombo “Congratulating Hon.Joseph Mbilinyi-right after graduating from Ruanda Prison Mbeya”

Baadaye Sugu nae kapost picha kwenye Instagram wakiwa wamekaa na Prof Mwandosya nyumbani kwake Sugu na Prof Mwandosya akinywa juisi na kaandika “Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani”

Ukiunganisha nukta za kauli za Prof. Mwandosya na Sugu haileti mashaka kuwa wanaongea lugha moja kwamba Sugu ni mfungwa wa kisiasa na wanataka kuaminisha umma kuwa Sugu alionewa kwa adhabu ile.

Niseme hivi kwa Sugu kutoa kauli hizo haina shida kwa sababu kwa namna yoyote baada ya kukumbwa na adhabu ile ilitarajiwa kuwa atataka kuitumia kwa manufaa ya kisiasa, lakini kwa Prof Mwandosya kuna ukakasi.

Kuna ukakasi kwa sababu Prof. Mwandosya ni Mwanachama wa CCM na aliyetukanwa na Sugu ni Mwenyekiti wake. Kwa alichokiandika Prof. Mwandosya ni wazi kuwa anaamini Sugu alionewa na anamtia moyo kuwa amefuzu chuo cha uanasiasa katika gereza la Ruanda. Anaamini kuwa Rais Magufuli alistahili kutukanwa vile na Sugu na hakubaliani na adhabu aliyopewa na mahakama kwa mujibu wa sheria.

Prof. Mark Mwandosya ni Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ambacho awali kilifanya kazi ya kutengeneza makada na sasa kinafundisha kozi mbalimbali za uongozi, siasa, uchumi n.k. Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chuo hiki na Rais Magufuli ambaye ametukanwa na Sugu na hakukataa uteuzi huu.

Prof. Mwandosya ni Waziri mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne na ni mtu aliyejitokeza mara mbili kutaka ridhaa ya wana CCM ili agombee kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila mafanikio.

Kwa miaka takribani 7 sasa Prof. Mwandosya amekuwa akisumbuliwa na maradhi makubwa ambayo yamelazimu awe anapatiwa matibabu nchini India kwa gharama za Serikali. Hata sasa anaishi na vyuma ambavyo anahitaji kupatiwa matibabu nje ya nchi.

Kwa mazingira hayo hapo juu, Prof. Mwandosya angepaswa kuwa makini na kauli zake na ikiwezekana aamue moja ama kujipambanua kuwa yeye sasa anaunga mkono siasa za upinzani na kujihusisha na upinzani kwa uwazi ama kuchunga kauli zake. Aamue ama kuwa moto ama kuwa baridi aache double standards.

Ni jambo linalokanganya kwamba anatumikia cheo alichopewa na Rais Magufuli, anatibiwa na Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli na ni mwanachama wa chama kinachoongozwa na Rais Magufuli halafu anamuunga mkono mtu anayemtukana Rais Magufuli.

Na hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Mwandosya kufanya double standards hizi. Mwaka 2015 alipokosa kuteuliwa kugombea Urais kupitia CCM aliibuka na kumshambulia Mwenyekiti wake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akipinga mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.

Ilitushangaza wengi kwa sababu Prof. Mwandosya alipaswa kujua kwa nini chama kiliamua kumteua Magufuli na angepaswa kuelewa hata manufaa ambayo chama kimeyapata maana ni wazi kwamba kama wangepitishwa waliokuwa wanatajwatajwa pengine chama kingepoteza kwenye uchaguzi mkuu.

Nakusihi Prof Mwandosya kama una mahaba na upinzani hamia huko, mimi kama Mtanzania ninayeamini katika utawala wa sheria, na ninajitahidi kupambanua mambo kwa maslahi ya Taifa naona unachokifanya sio sawa, kama wanavyosema vijana inawezekana unataka kupata Kiki au uendelee kupata umaarufu wa kisiasa, lakini kwa heshima yako hili unalolifanya unakuwa Kivuruge.

Sipendezwi na aina ya siasa zinazofanywa na upinzani na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuwepo upinzani wenye tija na sio upinzani unalivuruga Taifa kama huu tulionao Tanzania. Tuna upinzania ambao hauna dalili za kushika dola na hauna tija.

Namsihi Rais Magufuli kuwa makini na Prof. Mwandosya, tunaojua mienendo ya kisiasa tunajua kuwa huyu ana visilani vya kisiasa na alihofiwa sana kwa siasa za ukanda.

Alituhumiwa hivyo kutokana na namna alivyofanya siasa zake mwaka 2005 alipochuana na Jakaya Kikwete katika ngazi ya chama. Kwa wakati ule zilikuwa ni nguvu za mtandao. Mtandao wa Prof. Mwandosya ulibeba sura ya kikanda zaidi.

Nionavyo mimi kama Prof. Mwandosya hatojisahihisha ni wakati sasa wa Rais Magufuli kumuengua katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni. Aachwe huru ili afanye siasa za upinzani kwa uhuru zaidi, aungane na Sugu na wanasiasa wengine wa upinzani kufanya siasa bora zaidi.

Prof Mwandosya aamue kuwa baridi au kuwa moto.

Mimi ni mwananchi wa Tanzania
Naitwa Jumanne Lutengano Majoka.

Wewe ni mnafiki wa hali ya juu mkuu. You are worse than an animal. Yaani wewe unajifanya mzalendo wa hali ya juu kwa ccm na mkulu kuliko mzee Mwandosya. Unavyomtuhumu Sugu utafikiria wewe ndio ulikuwa shahidi wa kwanza kwenye kesi ya Sugu. Mtu kama wewe ndio wa kwanza ambae mtamshutumu mkulu atakapokuja kutoka madarakani. Yaani mzee Mwandosya kupata tiba nnje kwa fedha ya serekali ni hisani ya mkulu au ya ccm. Kwa hiyo ulitaka mzee Mwandosya Awe mnafiki kama wewe afiche kile anachokiamini. Kwa mzee kama Mwandosya kwa nafasi za kiserekali na za kichama alizozishika amepevuka kisiasa kiasi cha kuchukulia siasa si uadui wala ugomvi wa kukomoana. Mburula kama nyinyi mnafikiri siasa ni kukomoana, na uadui, na kuwa yeyote mwenye mawazo tofauti ya ki itikadi au mfuasi wa chama cha siasa kisicho kuwa chako ni adui na hana haki yeyote ndani ya nchi hii. Wewe huna hadhi ya kumsahihisha Prof Mwandosya hasa ukizingatia profile yake ambayo wewe mwenyewe umeielezea, ndani ya CCM na ndani ya serekali. Jipange tena mkuu kwa jingine sio hili.
 
POVU LINAKUTOKA KILA SEHEMU YENYE UWAZI MWILINI MWAKO. UNATAKA NA PROF ASHIKILIWE AKILI YAKE KAMA WEWE UNAVYOTUMIKA. NI SUALA JEPESI KUWA SUGU NI MWANASIASA ALIFUNGWA KWA SABABU ZA KISIASA. HAKUKUWA NA JINGINE.

SIASA SI UADUI.na Prof yupo sahihi na huru kufikiria anachofikiria kwa mtizamo wake. wewe pia upo sahihi kuona unachoona na kufikiri unachofikiri kwa mtizamo wako. SHAURI YAKo. Wewe tegesha tu kama Goli kipa utakapojikuta siku unatapikwa baada ya watu kukuona matumizi yako yameisha huna tena thamani.

Na Jumanne Lutengano Majoka
Mjasiriamali Mbeya Mjini.

Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe kuwa adhabu aliyoipata kwa kumtusi Rais ilikuwa ni kifungo cha kisiasa.

Kwa Prof. Mwandosya na Sugu mwenyewe ni vizuri kujiepusha na upotoshaji huu. Sugu alifungwa kwa kosa la jinai na hivyo alikuwa mfungwa wa kosa la jinai na sio mfungwa wa kisiasa kama anavyodai.

Mfungwa wa kisiasa ni mtu aliyefungwa jela kutokana na kujihusisha na shughuli ama imani za kisiasa. Hapa ndipo mtu kama Nelson Mandela anaitwa mfungwa wa kisiasa.

Lakini Sugu sio mfungwa wa kisiasa, Sugu ni mhalifu, alifanya makosa ya kuvunja sheria za nchi kwa kumtukana Rais. Hata utambulisho wake anaitwa Mfungwa namba 219/2018 na sio Mfungwa wa Kisiasa namba 219/2018 kama anavyodai na kama Prof. Mwandosya anavyounga mkono.

Hizi ni siasa za kipuuzi na zinapoungwa mkono na mtu mwenye utumishi kwa nchi kama Prof Mark Mwandosya inatia wingu zito na inavunja heshima.

Nimejiuliza sana kuhusu lengo la Prof. Mark Mwandosya kumpokea Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi “Sugu” aliyetolewa jana Mei 10, 2018 kwa msamaha wa Rais na ujumbe aliouandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. Tena Prof. Mwandosya kafunga safari hadi nyumbani kwake Sugu kumpokea na kuandika alichoandika.

Kwa ambao hamjasoma alichopost Prof. Mwandosya, kapiga picha akiwa na Sugu nyumbani kwa Sugu kaandika hivi nanukuu “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Mhe.Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa,Gereza la Ruanda,Mbeya.Kutofautiana vyama,itikadi na misimamo kusilete uhasama na uadui.Mungu Ibariki Tanzania.

Na akaendelea kwa kimombo “Congratulating Hon.Joseph Mbilinyi-right after graduating from Ruanda Prison Mbeya”

Baadaye Sugu nae kapost picha kwenye Instagram wakiwa wamekaa na Prof Mwandosya nyumbani kwake Sugu na Prof Mwandosya akinywa juisi na kaandika “Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani”

Ukiunganisha nukta za kauli za Prof. Mwandosya na Sugu haileti mashaka kuwa wanaongea lugha moja kwamba Sugu ni mfungwa wa kisiasa na wanataka kuaminisha umma kuwa Sugu alionewa kwa adhabu ile.

Niseme hivi kwa Sugu kutoa kauli hizo haina shida kwa sababu kwa namna yoyote baada ya kukumbwa na adhabu ile ilitarajiwa kuwa atataka kuitumia kwa manufaa ya kisiasa, lakini kwa Prof Mwandosya kuna ukakasi.

Kuna ukakasi kwa sababu Prof. Mwandosya ni Mwanachama wa CCM na aliyetukanwa na Sugu ni Mwenyekiti wake. Kwa alichokiandika Prof. Mwandosya ni wazi kuwa anaamini Sugu alionewa na anamtia moyo kuwa amefuzu chuo cha uanasiasa katika gereza la Ruanda. Anaamini kuwa Rais Magufuli alistahili kutukanwa vile na Sugu na hakubaliani na adhabu aliyopewa na mahakama kwa mujibu wa sheria.

Prof. Mark Mwandosya ni Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ambacho awali kilifanya kazi ya kutengeneza makada na sasa kinafundisha kozi mbalimbali za uongozi, siasa, uchumi n.k. Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chuo hiki na Rais Magufuli ambaye ametukanwa na Sugu na hakukataa uteuzi huu.

Prof. Mwandosya ni Waziri mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne na ni mtu aliyejitokeza mara mbili kutaka ridhaa ya wana CCM ili agombee kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila mafanikio.

Kwa miaka takribani 7 sasa Prof. Mwandosya amekuwa akisumbuliwa na maradhi makubwa ambayo yamelazimu awe anapatiwa matibabu nchini India kwa gharama za Serikali. Hata sasa anaishi na vyuma ambavyo anahitaji kupatiwa matibabu nje ya nchi.

Kwa mazingira hayo hapo juu, Prof. Mwandosya angepaswa kuwa makini na kauli zake na ikiwezekana aamue moja ama kujipambanua kuwa yeye sasa anaunga mkono siasa za upinzani na kujihusisha na upinzani kwa uwazi ama kuchunga kauli zake. Aamue ama kuwa moto ama kuwa baridi aache double standards.

Ni jambo linalokanganya kwamba anatumikia cheo alichopewa na Rais Magufuli, anatibiwa na Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli na ni mwanachama wa chama kinachoongozwa na Rais Magufuli halafu anamuunga mkono mtu anayemtukana Rais Magufuli.

Na hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Mwandosya kufanya double standards hizi. Mwaka 2015 alipokosa kuteuliwa kugombea Urais kupitia CCM aliibuka na kumshambulia Mwenyekiti wake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akipinga mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.

Ilitushangaza wengi kwa sababu Prof. Mwandosya alipaswa kujua kwa nini chama kiliamua kumteua Magufuli na angepaswa kuelewa hata manufaa ambayo chama kimeyapata maana ni wazi kwamba kama wangepitishwa waliokuwa wanatajwatajwa pengine chama kingepoteza kwenye uchaguzi mkuu.

Nakusihi Prof Mwandosya kama una mahaba na upinzani hamia huko, mimi kama Mtanzania ninayeamini katika utawala wa sheria, na ninajitahidi kupambanua mambo kwa maslahi ya Taifa naona unachokifanya sio sawa, kama wanavyosema vijana inawezekana unataka kupata Kiki au uendelee kupata umaarufu wa kisiasa, lakini kwa heshima yako hili unalolifanya unakuwa Kivuruge.

Sipendezwi na aina ya siasa zinazofanywa na upinzani na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuwepo upinzani wenye tija na sio upinzani unalivuruga Taifa kama huu tulionao Tanzania. Tuna upinzania ambao hauna dalili za kushika dola na hauna tija.

Namsihi Rais Magufuli kuwa makini na Prof. Mwandosya, tunaojua mienendo ya kisiasa tunajua kuwa huyu ana visilani vya kisiasa na alihofiwa sana kwa siasa za ukanda.

Alituhumiwa hivyo kutokana na namna alivyofanya siasa zake mwaka 2005 alipochuana na Jakaya Kikwete katika ngazi ya chama. Kwa wakati ule zilikuwa ni nguvu za mtandao. Mtandao wa Prof. Mwandosya ulibeba sura ya kikanda zaidi.

Nionavyo mimi kama Prof. Mwandosya hatojisahihisha ni wakati sasa wa Rais Magufuli kumuengua katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni. Aachwe huru ili afanye siasa za upinzani kwa uhuru zaidi, aungane na Sugu na wanasiasa wengine wa upinzani kufanya siasa bora zaidi.

Prof Mwandosya aamue kuwa baridi au kuwa moto.

Mimi ni mwananchi wa Tanzania
Naitwa Jumanne Lutengano Majoka.
 
Hivi hii issue ya msahamaha wa Rais imetoka wapi wakuu embu mtujuze maana sielewi
 
Pole sana kwa kuumizwa kwako. Inaonekana kwako upinzani sio watanzania. Na mtu akiwaunga mkono anakuwa mpungufu wa utanzania. Ama kweli Mungu ni mwaminifu kiasi ambacho ukiomba akupe akili za kipuuzi anakupa tu. Hana hiana kabisa
 
Acheni kumshambulia mleta mada, Jibubi hoja zake. Mleta mada yuko sahii, Sugu alifanya kosa la jinai na alihukumiwa kifungo baada ya kutiwa hatiani. Hili halina ubishi, na utabaki kuwa ukweli daima.

Kosa alilohukumiwa sugu ni kosa la jinai na si kosa la kisiasa kama inavyopotoshwa. Sheria zimetungwa, makosa na adhabu zikabainishwa. Hilo kosa na adhabu yake lipo kwa mtu yeyote. Hata Nyangema mchoma mikaa kule tuliani akifanya kosa hilo atashtakiwa na kuhukumiwa tu.
Mkuu nisaidie tatizo langu nilikuletea kule kwenye uzi Wetu wa legal docs. Please and please
 
Maoni yako hayazuii wengine kufikili vinginevyo hata hayo mawazo yako si sahihi Kwa watu wengine
 
Mhe Joseph Mbilinyi SUGU alisema ” Mhe Rais Magufuli hawezi kupendwa na watu kwa kumshoot risasi Lissu, kumtupa Jela miezi minne Lema, kumteka Ben saanane, kumteka Roma na kumzuia SUGU asiongee..!!”.....Matukio yote haya hakuna aliyekamatwa...kama sio serikali basi jeshi la polisi lifutwe tujilinde wenyewe kwa sungusungu ,.hiiiiiiiiiiiiiiii
Hivi kauli hiyo alikuwa akimaanisha kuwa hayo yamefanywa na Magufuli, sidhani. Hapo kuna uongo, hayo hayakutokea ya Lisu etc
 
Sidhani kama unajielewa au utakaa ujielewe, Prof. ametoa maoni yake kwa hoja zake. Elewa kuwa ktk wajengaji hoja, wachambuzi wa mambo, weledi na hekima Prof. huyu ametukuka. Usishambulie kwa hoja za kitoto na mihemko ya ki-ccm.
 
Na Jumanne Lutengano Majoka
Mjasiriamali Mbeya Mjini.

Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe kuwa adhabu aliyoipata kwa kumtusi Rais ilikuwa ni kifungo cha kisiasa.

Kwa Prof. Mwandosya na Sugu mwenyewe ni vizuri kujiepusha na upotoshaji huu. Sugu alifungwa kwa kosa la jinai na hivyo alikuwa mfungwa wa kosa la jinai na sio mfungwa wa kisiasa kama anavyodai.

Mfungwa wa kisiasa ni mtu aliyefungwa jela kutokana na kujihusisha na shughuli ama imani za kisiasa. Hapa ndipo mtu kama Nelson Mandela anaitwa mfungwa wa kisiasa.

Lakini Sugu sio mfungwa wa kisiasa, Sugu ni mhalifu, alifanya makosa ya kuvunja sheria za nchi kwa kumtukana Rais. Hata utambulisho wake anaitwa Mfungwa namba 219/2018 na sio Mfungwa wa Kisiasa namba 219/2018 kama anavyodai na kama Prof. Mwandosya anavyounga mkono.

Hizi ni siasa za kipuuzi na zinapoungwa mkono na mtu mwenye utumishi kwa nchi kama Prof Mark Mwandosya inatia wingu zito na inavunja heshima.

Nimejiuliza sana kuhusu lengo la Prof. Mark Mwandosya kumpokea Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi “Sugu” aliyetolewa jana Mei 10, 2018 kwa msamaha wa Rais na ujumbe aliouandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. Tena Prof. Mwandosya kafunga safari hadi nyumbani kwake Sugu kumpokea na kuandika alichoandika.

Kwa ambao hamjasoma alichopost Prof. Mwandosya, kapiga picha akiwa na Sugu nyumbani kwa Sugu kaandika hivi nanukuu “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Mhe.Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa,Gereza la Ruanda,Mbeya.Kutofautiana vyama,itikadi na misimamo kusilete uhasama na uadui.Mungu Ibariki Tanzania.

Na akaendelea kwa kimombo “Congratulating Hon.Joseph Mbilinyi-right after graduating from Ruanda Prison Mbeya”

Baadaye Sugu nae kapost picha kwenye Instagram wakiwa wamekaa na Prof Mwandosya nyumbani kwake Sugu na Prof Mwandosya akinywa juisi na kaandika “Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani”

Ukiunganisha nukta za kauli za Prof. Mwandosya na Sugu haileti mashaka kuwa wanaongea lugha moja kwamba Sugu ni mfungwa wa kisiasa na wanataka kuaminisha umma kuwa Sugu alionewa kwa adhabu ile.

Niseme hivi kwa Sugu kutoa kauli hizo haina shida kwa sababu kwa namna yoyote baada ya kukumbwa na adhabu ile ilitarajiwa kuwa atataka kuitumia kwa manufaa ya kisiasa, lakini kwa Prof Mwandosya kuna ukakasi.

Kuna ukakasi kwa sababu Prof. Mwandosya ni Mwanachama wa CCM na aliyetukanwa na Sugu ni Mwenyekiti wake. Kwa alichokiandika Prof. Mwandosya ni wazi kuwa anaamini Sugu alionewa na anamtia moyo kuwa amefuzu chuo cha uanasiasa katika gereza la Ruanda. Anaamini kuwa Rais Magufuli alistahili kutukanwa vile na Sugu na hakubaliani na adhabu aliyopewa na mahakama kwa mujibu wa sheria.

Prof. Mark Mwandosya ni Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ambacho awali kilifanya kazi ya kutengeneza makada na sasa kinafundisha kozi mbalimbali za uongozi, siasa, uchumi n.k. Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chuo hiki na Rais Magufuli ambaye ametukanwa na Sugu na hakukataa uteuzi huu.

Prof. Mwandosya ni Waziri mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne na ni mtu aliyejitokeza mara mbili kutaka ridhaa ya wana CCM ili agombee kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila mafanikio.

Kwa miaka takribani 7 sasa Prof. Mwandosya amekuwa akisumbuliwa na maradhi makubwa ambayo yamelazimu awe anapatiwa matibabu nchini India kwa gharama za Serikali. Hata sasa anaishi na vyuma ambavyo anahitaji kupatiwa matibabu nje ya nchi.

Kwa mazingira hayo hapo juu, Prof. Mwandosya angepaswa kuwa makini na kauli zake na ikiwezekana aamue moja ama kujipambanua kuwa yeye sasa anaunga mkono siasa za upinzani na kujihusisha na upinzani kwa uwazi ama kuchunga kauli zake. Aamue ama kuwa moto ama kuwa baridi aache double standards.

Ni jambo linalokanganya kwamba anatumikia cheo alichopewa na Rais Magufuli, anatibiwa na Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli na ni mwanachama wa chama kinachoongozwa na Rais Magufuli halafu anamuunga mkono mtu anayemtukana Rais Magufuli.

Na hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Mwandosya kufanya double standards hizi. Mwaka 2015 alipokosa kuteuliwa kugombea Urais kupitia CCM aliibuka na kumshambulia Mwenyekiti wake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akipinga mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.

Ilitushangaza wengi kwa sababu Prof. Mwandosya alipaswa kujua kwa nini chama kiliamua kumteua Magufuli na angepaswa kuelewa hata manufaa ambayo chama kimeyapata maana ni wazi kwamba kama wangepitishwa waliokuwa wanatajwatajwa pengine chama kingepoteza kwenye uchaguzi mkuu.

Nakusihi Prof Mwandosya kama una mahaba na upinzani hamia huko, mimi kama Mtanzania ninayeamini katika utawala wa sheria, na ninajitahidi kupambanua mambo kwa maslahi ya Taifa naona unachokifanya sio sawa, kama wanavyosema vijana inawezekana unataka kupata Kiki au uendelee kupata umaarufu wa kisiasa, lakini kwa heshima yako hili unalolifanya unakuwa Kivuruge.

Sipendezwi na aina ya siasa zinazofanywa na upinzani na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuwepo upinzani wenye tija na sio upinzani unalivuruga Taifa kama huu tulionao Tanzania. Tuna upinzania ambao hauna dalili za kushika dola na hauna tija.

Namsihi Rais Magufuli kuwa makini na Prof. Mwandosya, tunaojua mienendo ya kisiasa tunajua kuwa huyu ana visilani vya kisiasa na alihofiwa sana kwa siasa za ukanda.

Alituhumiwa hivyo kutokana na namna alivyofanya siasa zake mwaka 2005 alipochuana na Jakaya Kikwete katika ngazi ya chama. Kwa wakati ule zilikuwa ni nguvu za mtandao. Mtandao wa Prof. Mwandosya ulibeba sura ya kikanda zaidi.

Nionavyo mimi kama Prof. Mwandosya hatojisahihisha ni wakati sasa wa Rais Magufuli kumuengua katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni. Aachwe huru ili afanye siasa za upinzani kwa uhuru zaidi, aungane na Sugu na wanasiasa wengine wa upinzani kufanya siasa bora zaidi.

Prof Mwandosya aamue kuwa baridi au kuwa moto.

Mimi ni mwananchi wa Tanzania
Naitwa Jumanne Lutengano Majoka.
Wako wengi haina yake Prof Mwandosya ambao kwa kutoshwa na Serikali inayongozwa na Dr Magufuli, hawafichi hasira na chuki zao. Haitomsaidia katu.
 
Mkuu! Hivi Mandela namba yake huko kifungoni ilianza na Neno Mfungwa wa Kisiasa Na:......? Pia kwani chanzo cha hilo kosa linalosemekana alilitenda Bwana Sugu lilifanyika katika jukwaa la kisiasa au pahala pengine ambapo hapakuhusiana na mambo ya kisiasa?

Halafu mkuu, hivi mtu kweli kama kwa mtazamo wake anaona mambo hayako sawa basi akae kimya kisa tu anatibiwa kwa pesa ya Serikali hiyo ambayo yeye anaona kuna baadhi ya raia hawatendewi sawa?

Kwa mtazamo wangu finyu, huku nikiheshimu Pia mawazo yako, nadhani Mwandosya siyo Masikini kihivyo mpaka akae ategemee kutibiwa kwa hisani ya Serikali yetu hii pendwa.

Kwa Mnafiki wala asingeweza kusema hayo kwa hofu tu ya kukatiwa mirija, ila Bwana Mark anajiamini kwakuwa kwa mazingira aliyonayo hata kama Bwana mkubwa akikata mirija ataweza kujikimu mwenyewe.

Hivyo ni vema tukaheshimu mawazo yake kama wewe ulivyotoa mawazo yako, kuhudumiwa na Serikali isiwe kama kufungwa kwa uhuru wa kifikra na kuafiki kila kitu kifanywacho na serikali hata kama kipo kinyume na mitazamo yako.

Tuvumiliane, kwani kila mmoja ana mtazamo wake na mawazo yake, japo mpo chama kimoja lakini kuna siku lazima mtapishana tu mitizamo iwe katika kujenga au kubomoa.
 
Na Jumanne Lutengano Majoka
Mjasiriamali Mbeya Mjini.

Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe kuwa adhabu aliyoipata kwa kumtusi Rais ilikuwa ni kifungo cha kisiasa.

Kwa Prof. Mwandosya na Sugu mwenyewe ni vizuri kujiepusha na upotoshaji huu. Sugu alifungwa kwa kosa la jinai na hivyo alikuwa mfungwa wa kosa la jinai na sio mfungwa wa kisiasa kama anavyodai.

Mfungwa wa kisiasa ni mtu aliyefungwa jela kutokana na kujihusisha na shughuli ama imani za kisiasa. Hapa ndipo mtu kama Nelson Mandela anaitwa mfungwa wa kisiasa.

Lakini Sugu sio mfungwa wa kisiasa, Sugu ni mhalifu, alifanya makosa ya kuvunja sheria za nchi kwa kumtukana Rais. Hata utambulisho wake anaitwa Mfungwa namba 219/2018 na sio Mfungwa wa Kisiasa namba 219/2018 kama anavyodai na kama Prof. Mwandosya anavyounga mkono.

Hizi ni siasa za kipuuzi na zinapoungwa mkono na mtu mwenye utumishi kwa nchi kama Prof Mark Mwandosya inatia wingu zito na inavunja heshima.

Nimejiuliza sana kuhusu lengo la Prof. Mark Mwandosya kumpokea Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi “Sugu” aliyetolewa jana Mei 10, 2018 kwa msamaha wa Rais na ujumbe aliouandika kupitia ukurasa wake wa Twitter. Tena Prof. Mwandosya kafunga safari hadi nyumbani kwake Sugu kumpokea na kuandika alichoandika.

Kwa ambao hamjasoma alichopost Prof. Mwandosya, kapiga picha akiwa na Sugu nyumbani kwa Sugu kaandika hivi nanukuu “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Mhe.Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa,Gereza la Ruanda,Mbeya.Kutofautiana vyama,itikadi na misimamo kusilete uhasama na uadui.Mungu Ibariki Tanzania.

Na akaendelea kwa kimombo “Congratulating Hon.Joseph Mbilinyi-right after graduating from Ruanda Prison Mbeya”

Baadaye Sugu nae kapost picha kwenye Instagram wakiwa wamekaa na Prof Mwandosya nyumbani kwake Sugu na Prof Mwandosya akinywa juisi na kaandika “Nikiwa na Prof. Mwandosya nyumbani kwangu leo. Asante kwa maneno ya busara na ujasiri ulionipa leo na hata ulipokuja kuniona gerezani”

Ukiunganisha nukta za kauli za Prof. Mwandosya na Sugu haileti mashaka kuwa wanaongea lugha moja kwamba Sugu ni mfungwa wa kisiasa na wanataka kuaminisha umma kuwa Sugu alionewa kwa adhabu ile.

Niseme hivi kwa Sugu kutoa kauli hizo haina shida kwa sababu kwa namna yoyote baada ya kukumbwa na adhabu ile ilitarajiwa kuwa atataka kuitumia kwa manufaa ya kisiasa, lakini kwa Prof Mwandosya kuna ukakasi.

Kuna ukakasi kwa sababu Prof. Mwandosya ni Mwanachama wa CCM na aliyetukanwa na Sugu ni Mwenyekiti wake. Kwa alichokiandika Prof. Mwandosya ni wazi kuwa anaamini Sugu alionewa na anamtia moyo kuwa amefuzu chuo cha uanasiasa katika gereza la Ruanda. Anaamini kuwa Rais Magufuli alistahili kutukanwa vile na Sugu na hakubaliani na adhabu aliyopewa na mahakama kwa mujibu wa sheria.

Prof. Mark Mwandosya ni Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ambacho awali kilifanya kazi ya kutengeneza makada na sasa kinafundisha kozi mbalimbali za uongozi, siasa, uchumi n.k. Aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chuo hiki na Rais Magufuli ambaye ametukanwa na Sugu na hakukataa uteuzi huu.

Prof. Mwandosya ni Waziri mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne na ni mtu aliyejitokeza mara mbili kutaka ridhaa ya wana CCM ili agombee kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila mafanikio.

Kwa miaka takribani 7 sasa Prof. Mwandosya amekuwa akisumbuliwa na maradhi makubwa ambayo yamelazimu awe anapatiwa matibabu nchini India kwa gharama za Serikali. Hata sasa anaishi na vyuma ambavyo anahitaji kupatiwa matibabu nje ya nchi.

Kwa mazingira hayo hapo juu, Prof. Mwandosya angepaswa kuwa makini na kauli zake na ikiwezekana aamue moja ama kujipambanua kuwa yeye sasa anaunga mkono siasa za upinzani na kujihusisha na upinzani kwa uwazi ama kuchunga kauli zake. Aamue ama kuwa moto ama kuwa baridi aache double standards.

Ni jambo linalokanganya kwamba anatumikia cheo alichopewa na Rais Magufuli, anatibiwa na Serikali inayoongozwa na Rais Magufuli na ni mwanachama wa chama kinachoongozwa na Rais Magufuli halafu anamuunga mkono mtu anayemtukana Rais Magufuli.

Na hii sio mara ya kwanza kwa Prof. Mwandosya kufanya double standards hizi. Mwaka 2015 alipokosa kuteuliwa kugombea Urais kupitia CCM aliibuka na kumshambulia Mwenyekiti wake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akipinga mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM.

Ilitushangaza wengi kwa sababu Prof. Mwandosya alipaswa kujua kwa nini chama kiliamua kumteua Magufuli na angepaswa kuelewa hata manufaa ambayo chama kimeyapata maana ni wazi kwamba kama wangepitishwa waliokuwa wanatajwatajwa pengine chama kingepoteza kwenye uchaguzi mkuu.

Nakusihi Prof Mwandosya kama una mahaba na upinzani hamia huko, mimi kama Mtanzania ninayeamini katika utawala wa sheria, na ninajitahidi kupambanua mambo kwa maslahi ya Taifa naona unachokifanya sio sawa, kama wanavyosema vijana inawezekana unataka kupata Kiki au uendelee kupata umaarufu wa kisiasa, lakini kwa heshima yako hili unalolifanya unakuwa Kivuruge.

Sipendezwi na aina ya siasa zinazofanywa na upinzani na ni miongoni mwa watu wanaopenda kuwepo upinzani wenye tija na sio upinzani unalivuruga Taifa kama huu tulionao Tanzania. Tuna upinzania ambao hauna dalili za kushika dola na hauna tija.

Namsihi Rais Magufuli kuwa makini na Prof. Mwandosya, tunaojua mienendo ya kisiasa tunajua kuwa huyu ana visilani vya kisiasa na alihofiwa sana kwa siasa za ukanda.

Alituhumiwa hivyo kutokana na namna alivyofanya siasa zake mwaka 2005 alipochuana na Jakaya Kikwete katika ngazi ya chama. Kwa wakati ule zilikuwa ni nguvu za mtandao. Mtandao wa Prof. Mwandosya ulibeba sura ya kikanda zaidi.

Nionavyo mimi kama Prof. Mwandosya hatojisahihisha ni wakati sasa wa Rais Magufuli kumuengua katika nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Kigamboni. Aachwe huru ili afanye siasa za upinzani kwa uhuru zaidi, aungane na Sugu na wanasiasa wengine wa upinzani kufanya siasa bora zaidi.

Prof Mwandosya aamue kuwa baridi au kuwa moto.

Mimi ni mwananchi wa Tanzania
Naitwa Jumanne Lutengano Majoka.
Noted,thanks
 
Acheni kumshambulia mleta mada, Jibubi hoja zake. Mleta mada yuko sahii, Sugu alifanya kosa la jinai na alihukumiwa kifungo baada ya kutiwa hatiani. Hili halina ubishi, na utabaki kuwa ukweli daima.

Kosa alilohukumiwa sugu ni kosa la jinai na si kosa la kisiasa kama inavyopotoshwa. Sheria zimetungwa, makosa na adhabu zikabainishwa. Hilo kosa na adhabu yake lipo kwa mtu yeyote. Hata Nyangema mchoma mikaa kule tuliani akifanya kosa hilo atashtakiwa na kuhukumiwa tu.
Hakuna shtaka linaloitwa la kisiasa vitabuni bali huwa linafahamika hivyo na wajuzi wa siasa.
Hata Mandela alishtakiwa kwa makosa ya uchochezi lakini tunajua kuwa ni sababu za kisiasa.
Hivyo mpende msipende kosa LA Sugu ni LA kisiasa kwani alikuwa kwenye majukwaa ya kisiasa kwa hiyo kauli walizo muhukumu nazo ni za kisiasa.
Angetoa maneno hayo dhidi ya baba yako kule kijijini analima hiyo ingekuwa sio siasa.
Kama Jiwe alivyowatukana kule Bukoba watu ambao sio wanasiasa hivyo ni jinai tupu ile
 
Fanya hivi; hapo ulipomsifia Mandela na kifungo chake cha "kisiasa"; tafuta Kaburu mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 au MWafrica kusini yeyote hata mweusi, I mean ambaye alikua mtu mzima kuanzia mwaka 1989 kurudi nyuma huko and then muulize kipindi hicho Mandela alihesabika kama mfungwa wa kisiasa au JINAI. Just a tip; huyo Mandela unayesema alifungwa kisiasa, Makaburu walimuona kama GAIDI, yaani GAIDI kama Wamarekani walivyokua wanamuona Osama Bin Laden; nachotaka kukwambia hapa ni hiki; ni issue tu ya wewe unavyofikiria. No 9 na 6 zinaweza kusomeka vinginevyo, just depending na uliposimama!
 
Acheni kumshambulia mleta mada, Jibubi hoja zake. Mleta mada yuko sahii, Sugu alifanya kosa la jinai na alihukumiwa kifungo baada ya kutiwa hatiani. Hili halina ubishi, na utabaki kuwa ukweli daima.

Kosa alilohukumiwa sugu ni kosa la jinai na si kosa la kisiasa kama inavyopotoshwa. Sheria zimetungwa, makosa na adhabu zikabainishwa. Hilo kosa na adhabu yake lipo kwa mtu yeyote. Hata Nyangema mchoma mikaa kule tuliani akifanya kosa hilo atashtakiwa na kuhukumiwa tu.
Waliosapoti ujinga wa.professor Mwandosya ndo wanaomtukana mleta uzi badala ya kupangua hoja yake kwa hoja,ila Magufuli ka note kitu kwenye uzi huu
 
Back
Top Bottom