Ila English ni broken sana. Badala ya NOT anaweka NOTE. YOUR na YOU ARE vikitumika vice versa
Being na to become an zinakosekana1. "Your trained" au inapaswa kuwa "You are trained"?
Mkwara bila umakini inadhihirisha utovu wa weledi.
Hahaha kumbe mpiga mkwara mwenyewe wale wale tu
Huyu mwl mbwembwe nyingi grammer yuko hovyo.Kama mwalimu kaandika ovyo ovyo hivi, wanafunzi wake wadhaifu wa communication skills wakiandika sote tuliomo jukwaa la JF tutazimia!
Hilo neno linakosewa sana na wabongo wengi ktk maandishi yao ya kingereza1. "Your trained" au inapaswa kuwa "You are trained"?
Mkwara bila umakini inadhihirisha utovu wa weledi.
Makosa mengi ukiangalia vizuriNote prepared