Recent content by Masanja

 1. Masanja

  Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

  Mbona hakuangalia utumishi wa umma ulikomtoa? Ama kweli yeye ndo hakuwa na shukrani. Apumzike alipoandaliwa na mwenyezi Mungu. Amina.
 2. Masanja

  Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

  Wacha vijana wasome..hatutaki kuzalisha akina SABAYA wengine...hahahahahahah
 3. Masanja

  TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

  Hawa madogo wanapata taabu sana. By the way mama ameachia ajira kwenye elimu na afya. Kama wana vigezo waombe vibarua wajipatie vipato halali.
 4. Masanja

  TUHUMA: Ubadhirifu mkubwa wa ruzuku CHADEMA waripotiwa

  Mkuu hizi siasa za namna hii ziliondoka na mwendazake! Relax...kunywa mtori nyama ziko chini......
 5. Masanja

  Chuma hiki; Hyundai Azera, affordable sportcar

  Hongera sana kijana. Dare to dream! You will achieve!
 6. Masanja

  Hii Kluger New Model nimeilewa sana

  Kijana you argue with details. You did your homework! Kudos. Meanwhile ngoja vijana wa Nadia na Raum waendelee kupambana humu....kulinganisha ipi inakunywa mafuta mengi....hahahahah
 7. Masanja

  Hii Kluger New Model nimeilewa sana

  Yaani kweli unaweza kushupaza mishipa kwa mtu usiyemfahamu? Jamani hapa ni mtandaoni! Take it easy....folks.. Kitu kikubwa sana ambacho wengi hatutaki kukubali: mawazo na ideas mara nyingi vinaendana na hali yako binafsi ya uchumi! Back to the point. Nadhani kwa swala la magari kila mtu...
 8. Masanja

  Wenye ndoto za kwenda state pitia hapa

  Acheni kukatisha watu tamaa. siyo kila mtu aliyeko Ulaya anabeba mabox au anafanya kazi za kuzoa takataka. Yes hata hizo ni kazi. lakini si kwamba kila mtu anafanya hizo. Kuna watu wamefanikiwa sana huko huko Ulaya. Mbona hakuwaonyesha? kuna madaktari pia, kuna mainjinia nk. leo naibu waziri wa...
 9. Masanja

  Mfahamu Jenerali James Kabarebe kwa ufupi

  muosha huoshwa. yeye si wa kwanza wala wa mwisho. tumeshuhudia wengi. tena yeye ataoshwa kwa maji ya baridi.
 10. Masanja

  Hii Kluger New Model nimeilewa sana

  Walimwengu sisi watu wa ajabu kweli kweli! mwenye gari humjui. aliyeandika humjui..anaye comment humjui....sasa unashupaza mishipa ya nini? after all kafanya kosa gani? kaona gari barabarani kaipenda..kaja JF kuulizia wenye uzoefu..maybe anataka avute mchuma...huoni kama anamfanyia promotion...
 11. Masanja

  INAUZWA Jipatie mota kwa ajili ya geti lako

  Angalau nimeona tangazo linalojitosheleza JF. Hongera.
 12. Masanja

  Houses & Plots For Sale in Dar es Salaam

  nahitaji kweli. Mbezi chini upande wa chini.... 1200-1500sqm.
 13. Masanja

  Houses & Plots For Sale in Dar es Salaam

  1200 sqm
 14. Masanja

  Houses & Plots For Sale in Dar es Salaam

  mbezi beach ya chini bei zinaendaje?
Top Bottom