Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,748
- Thread starter
- #21
npo dsm ila kwet nyumban sanya juuTuliopo Siha West Kilimanjaro Tujuane Pia Tutulie Kimya Tuendelee
npo dsm ila kwet nyumban sanya juuTuliopo Siha West Kilimanjaro Tujuane Pia Tutulie Kimya Tuendelee
maejuu hapo majiran nasiTukutane Kijijini Namwai
Mwenzetu kama umeoa naamini Umefanya background check na ndoa yako ni perfect 👌Hayo ndiyo madhara ya kuoa pasipo kufanya background check ya kutosha.
Mwanamke akupende tu hivi hivi bila mzigo basi kuna watu watakuwa wanakusaidi majukumu ya kiMZIGO.Hiyo ni force , utakuja kuchoka
yes, jamaa ni soft. hapo hajaoa msenegal au mnigeria!Kama ni legelege hawezi kuishi na mkikuyu. Ki historia hao ni rebellion, ukienda Mlima Kenya asilimia kubwa ya watoto hawana baba na majina yao huwa wanapewa ya mama zao endapo dingi amezingua, mfano unakuta mtu anaitwa Kamau Waicera.
Ni vyema kuelewa utamaduni wa jamii kabla ya kukimbilia kuoa.
Wapo wadada wa kibongo wengi wenye tabia za kufanana na huyo mkenya.Kuna wadada wa Kikenya zaidi ya milion 30, kwanini Mdada mmoja anajustify taifa?
Hakuna wadada wa Kibongo jeuri?
Upo sahihi kiongozi nakumbuka kitambo sana wakati najitafuta niligongewa mwanamke wangu ila nilipombana sana akanieleza lengo apate pesa amnunulie nguo mtoto wetu.....aisee niliumia mno na kweli alimnunulia mwanangu nguo dogo akawa na nguo Kibao jambo ambalo mimi nilishindwa....umaskini msenge kweli weweMwanamke akupende tu hivi hivi bila mzigo basi kuna watu watakuwa wanakusaidi majukumu ya kiMZIGO.
Vijana huwa wanajiongopea sana oh Demu kanipenda mimi sina hela ni mapenzi tu ,hawajui vizuri mademu.....Demu kuna kitu ameona kwako so kwa kipindi cha kukusibiria wewe ufike anapokuona ndiyo hapo kwa pembeni anatafuta backup ya kumuhudumia.Upo sahihi kiongozi nakumbuka kitambo sana wakati najitafuta niligongewa mwanamke wangu ila nilipombana sana akanieleza lengo apate pesa amnunulie nguo mtoto wetu.....aisee niliumia mno na kweli alimnunulia mwanangu nguo dogo akawa na nguo Kibao jambo ambalo mimi nilishindwa....umaskini msenge kweli wewe
Mapenzi hayatabiriki.Hayo ndiyo madhara ya kuoa pasipo kufanya background check ya kutosha.
Naelewa, but at least kufanya hivyo kuna weza kukuepusha au kukupunguzia risk zaidi tofauti na ukiingia kichwa kichwa.Mapenzi hayatabiriki.
Kumbuka kabla ya kuishi pamoja kila Mtu anakuwa Malaika.Naelewa, but at least kufanya hivyo kuna weza kukuepusha au kukupunguzia risk zaidi tofauti na ukiingia kichwa kichwa.
Mbn kuna ndoa nzuri sana hapa bongo za vijana wadogo wa miaka 30 na wanaish poa bila ugomvMarriage is scam
SITAWAFUNDISHA TENA
Umemshauri nini hadi hapo huyo fulendi wako zuzu?Kuna msela wangu ameoa kenya ila alikuwa aninihadithia simuliz yake ya ndoa kuwa alifanikiwa kuoa mkikuyu. Alinieleza anajutia kuoa huko. Mke wake anamtukana mbele ya watoto na ni mjeuri sana haambiliki.
Huwa anampenda akiwa na pesa asipokuwa nayo ni ugomv mtup.na amemtishia toka siku nyingi atamuacha na aondoke na wanawe.
Baada ya kukaa bongo kwa miaka 2. Siku moja baada ya kutoka kazini alikuta mkewe kasha ondoka na wanawe, alijarib kumpigia simu ila haikupokelewa.
Jamaa anajutia sana kuoa mkenya saivI mda wake ushaenda na kuoa saiv noma, alikarirI kuwa wakenya hawafai
Mkikuyu ni wakufumua tu hamn kuweka mjiWakikuyu sio...pesa, starehe sana,wajeuri! At least wakisii kule naona mademu zao poa
Atafute singo maza wa kushikisha ampige goli angalau apate hata mtotoUmemshauri nini hadi hapo huyo fulendi wako zuzu?
Muongeze lingine.Atafute kitu cha kumuingizia kipato.Inaonesha alienda kuolewa huko KE na limshangazi.Mwanaume mwenye kipato na mamlaka ya kiume hawezi kukubali kuwa dhalili hovyohovyo.Kama amekwama kabisa,arudi Bongo auze uduvi na utumbo wa kuku.Atafute singo maza wa kushikisha ampige goli angalau apate hata mtoto