Recent content by masalapa

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MTANZANIA ALIYEPO KIGALI

    Wadau, Mimi leo ni mara ya kwanza kutembelea Nchi hii maridhawa kabisa ya Maj. Gen. PK. Kama yupo "Mswahili"mwenzangu ambaye yuko huku naomba tuwasiliane angalau kupata uenyeji wa kutembea /kulizunguka Jiji la Kigali kwa siku hizi chache nitakazokuwepo huku. Details zaidi njoo inbox.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wadau Waaminifu wenye Mizigo ya Kusafirisha

    Habarini Wadau? Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi. Aliye tayari tuwasiliane inbox.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kukodi Malori 5 ya Kichanja

    Wanabodi, Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:- Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net payment wakati gharama zote za Dereva pamoja na mafuta ni juu yangu; Gari liwe katika hali nzuri...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Secretary Anahitajika

    Sifa za Muombaji: Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications Awe na umri kati ya miaka 18 - 25 Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu Mshahara utategemea na sifa za...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii ni kazi njema na yenye thawabu kubwa mno machoni pa BWANA! Mwenyezi MUNGU Aikumbuke sadaka hii unayoitoa sasa katikati ya giza totoro la uzinifu! Aidha, Nashauri utoe contacts ili, kama unavyosema, wapo Watu wachache hapa ambao BWANA Atasema nao na kuwaongoza kwenye njia ya toba na wokovu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    So far Nimeshawalima barua lakini hawajajibu, na katika ile barua Nimewa-copy Regulators. What else can I do in case they don't reply?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha nilizokuwa nikitunza kama akiba kwenye account yangu ya simu. Yaani unaamka tu asubuhi unataka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Dr. Elias J. Muganyizi

    Sasa hiyo ni email au ni kitu gani??
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Wapi huko?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    TZS 1,500/kg
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza Mafuta safi ya Alizeti na Nafaka aina zote kwa bei nafuu

    Kampuni ya SIMA Investments inapenda kuwajulisha kuwa tunauza na kusambaza mafuta bora ya kupikia ya alizeti (sunflower cooking oil) pamoja na nafaka kama vile mchele, maharagwe, choroko, kunde, mbaazi, dengu, uwele, mtama, ngano, n.k kwa bei nafuu zaidi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Ninanunua na kuuza mbaazi, karibu!
Back
Top Bottom