Recent content by Masaba Misso Maduhu

  1. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kushuka bei kwa simu za Oppo Kariakoo shida nini?

    Habari mkuu, kwa budget ya milioni moja, simu gani kali upande wa perfomance kwa sasa
  2. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Wamiliki wa sheli nao unashauri wakamiliki visima vya mafuta uarabuni siyo? Maisha hayako hivyo mkuu
  3. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya console na namna mtu anaweza kuagiza

    Kweli mzee,mimi mtu wa mziki nilipoona neno console akili yangu yote ikaenda studio,baada ya kuanza kusoma nimebaki mdomo wazi sana
  4. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Darasa la Satelite installation

    Ahaa,mi nipo maswa ndugu
  5. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

    Tundu siyo mtu wa kubeza hata kidogo,anao ushawishi tena mkubwa tu
  6. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Darasa la Satelite installation

    Ahaaa,m npo mkoani ndugu,ungekuwa karibu yangu ningekupiga pindi bure kabisa,wiki tu ungejua kila kitu mkuu
  7. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Darasa la Satelite installation

    Uko wapi mkuu
  8. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

    Kwahiyo hao wanaume wote unaokutanaga nao unawatestigi
  9. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

    Hao wanaume unao wangapi mama
  10. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Naam,nyumbani kumenoga haswaa.Ila mjitahidi kwenye upande wa internet,kuna sehem zingine haisomi kabisa
  11. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

    Miaka 30,afu unamwambia umri bado mdogo?? You are not serious at all
  12. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Mwanzo mwisho tulivyopoteza wenzetu 3 mtoni 28/04/2008

    Lyamungo vs umbwe
  13. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Jitahidi uweke link mkuu,tupate somo
  14. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Dah,mkuu,nataman kujua umbali kutoka hyo nyumba mpaka nyumba zilizopo jirani make m nawawaza tu hawa majirani wanaishije kama nyumba itakuwa karibu nao sana,afu na wapita njia wanaopita usiku sana kama iko jirani na barabara
  15. Masaba Misso Maduhu

    JamiiForums Tanzania Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

    Sawa mkuu,twende nayo taratbu itaisha tu,hakuna haja ya kufukuzana mkuu
Back
Top Bottom