Uongo mkubwa.
1.Matokeo gani yanaanza na SP?
2.Angalieni namba za usajili za taarifa ya yeriko na taarifa ya haya matokeo. Namba 2 tofauti. Hizi ni shule mbili tofauti.
wewe ndio umetafsiri vibaya. Alikuwa akifafanua kuhusu matibabu yake kwamba yanafanyika huko TMJ na kwamba hii hali tunayoiona ya kwenda chooni mara kwa mara matibabu yake yanafanyika TMJ.
Tafsiri ya hapa inabidi uzingatie mazingira. Kwa vile kilichokuwa kinazungumzwa kinaeleweka kwa...
Siyo Kweli.
Cheti kilionesha kwamba alienda kutibiwa hospitali binafsi ya .... Kibatala akahoji kwa nini hakwenda hospitali ya serikali kama inavyoelekezwa.
Pengine kama sielewi sawasawa lakini nadhani mashahidi wa utetezi wataletwa iwapo hakimu ataona kwamba washtakiwa wana kesi ya kujibu.
Kwa maana nyingine kesi inaweza kuishia hatua hii iwapo mashahidi wote wa jamhuri watamaliza, ikabainika kwamba washtakiwa hawana kesi ya kujibu.
Wada u nahitaji hizo video. naomba kujua naweza kuzipata wapi? nakumbuka niliwahi kuona video ya Things fall Apart, Song of Lawino. wakati huoz teknolojia ilikuwa haijakuwa. zilikuwa katika mikanda ya video ya kizamani
Kuna mapungufu mengi katika andiko lako. serikali ina jukumu la kuandaa mazingira ili kusaidia jitihada za watu wake kufikia malengo. unaposema ameishia kudandia viwanda vilivyokuwa katika mpango unakosea. yeye kama kiongozi alikuwa na uwezo wa kuzuia mazingira ya kuendelea kwa viwanda hivyo...
Kama uko serious kwa nini usiende kwenye vyombo vya Sheria? Vyombo vya usalama uviombe kupitia mitandao ya kijamii wakati hapo ulipo mita cheche tu unakipata kituo cha polisi au vyombo vya habari? Unatuzengua tu wewe.
Msaidie Barbarosa kwamba unapokuja na challenge katika jambo kubwa kama hilo angalau jaza tafiti zako au mawazo ya ufafanuzi kwamba halina msaada kwa sababu hii na hii. yeye anaishia kuwaambia watu daraja halitakuwa na msaada kwa lipi? hakuna majibu.
Mawazo yako yako sawa lakini kumbuka mji wa...
Mimi siyo Great thinker na wala sijawahi na sitowahi kujitambulisha hivyo ila kama wewe unaona unastahili kuitwa hivyo hiyo ni juu yako!
Haya niambie hili daraja litapunguza msongamano wa kiasi gani kwenye huu Mji? Ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar watalitumia kila siku kwenda na kurudi kazini...
Mkuu Nashukuru kwa maaelezo hayo. Ni kweli nimekuwa mbali kidogo na mambo haya. hicho kilikuwa kilio cha waalimu kwa Muda mrefu Mtihani huo wa Kidato cha Pili kusimamiwa na NECTA. hapo naipongeza serikali kwa maamuzi hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.