Huyu Daktari aliyekuwa anamtibu Inspector Swilla, chooni Mahakamani, alikuwa na kibali Cha Mahakama?

Nimegushwa na kauli hii ya Wakili wa Serikali katika kesi ya Mbowe na wenzake;

Wakili wa Serikali Nassoro Katuga: Mheshimiwa Jaji Tumesikia Hoja ya Wenzetu Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala Wenzetu Wanasema Kwamba Shaeria na Tangazo la Serikali namba 259 inataka Kumaliza shauri hili ndani ya Miezi 9 tunalifahamu na tumelichukua

Suala la tukishindwa Kuleta Shahidi huyu, tulete shahidi Mwingine nalo tumelichukua Suala la Shahidi Kuleta Cheti cha Hospitali ya Serikali, Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake

Hii inanikumbusha mwaka fulani katika Mahakama mojawapo mkoa Lindi, aliwahi kukamatwa mganga wa kienyeji akipiga tunguli wakati kesi inaendelea.

Kama Inspector Swilla alikuwa na "Daktari" chooni Mahakamani Jana, huyo mtaalam atakuwa sio Hawa madkatari wa kawaida.
Kwa jinsi hii kesi inavyoenda mpaka kuisha basi choo cha mahakaman kitakuwa kimejaa kupitia mashahidi wa serikali
 
Hukumuelewa vizuri yule mwanasheria wa mchongo wa serikali,alikuwa anamaanisha kwamba jamaa alikuwa anakwenda sana chooni kwa sababu ni mgonjwa.
Na kwamba kwa ugonjwa wake huo uliosababisha awe anakwenda sana toilet alikuwa anatibiwa tmj
Jana walivyohairisha kesi wakina kibatala walitaka leo waletewe cheti cha kuonyesha ametibiwa hospitali ya serikali sasa leo jamaa kaleta cheti cha kutibiwa kutoka tmj kwamba asingeweza kwenda kutibiwa hospitali nyingine ya serikali kwani tayari alikuwa anatibiwa na daktari wake wa tmj huo ugonjwa ambao ulisababisha awe anakwendakwenda sana chooni siku alipokuwa anabananishwa na kibatala
Ila mwisho naona hii ni kesi ambayo serikali imeitengeneza na hata ushahidi wao unamashaka sana na ukakasi mwingi sana.
Nitashangaa sana kama baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi jaji atasema washtakiwa wana kesi ya kujibu
Kwa mtazamo wangu hadi sasa serikali imeshindwa kuthibitisha pasipo shaka mashtaka yao
 
Umekosea Nukuu.
Hospitali Binafsi Ndo alikuwa anatibiwa nadaktari wake.

Huyo Jamaa Swila alipaswa apewe Anti-diuretics Ili aache kwenda kwenda Chooni. Ana tatizo lililosababishwa na hofu. Ndo maana anakojoa kojoa Hovyo.
Hebu tumegee kidogo hilo tatizo linalomsababishia hofu na kufanya akojoe kojoe hovyo! Huyo aina ya Nyoka awe mkweli, na ukweli utamuweka huru na ataondokana na hiyo hofu.
 
Uwe unasoma conversation vizuri, w/s alifafanua kuwa huwa anatibiwa TMJ na kuwa hata anavyotoka mara kwa mara kwenda washrooms kuna daktari yupo huko chooni akimsubiri kwa kumpatia matibabu
wewe ndio umetafsiri vibaya. Alikuwa akifafanua kuhusu matibabu yake kwamba yanafanyika huko TMJ na kwamba hii hali tunayoiona ya kwenda chooni mara kwa mara matibabu yake yanafanyika TMJ.

Tafsiri ya hapa inabidi uzingatie mazingira. Kwa vile kilichokuwa kinazungumzwa kinaeleweka kwa waliokuwepo, hawana maswali kama haya ya kwetu ambao tumesoma kwenye maandishi.

Screenshot_20220210-231253_1.jpg
 
View attachment 2115318
"Kupata Tina kutoka kwa Daktari wake ni nusu ya tiba"

Unayaachaje hayo maneno huko hospital anapata nusu tiba au chooni, mbona rahisi tuu

Nusu Tiba inatolewa TMJ?
 
Hukumuelewa vizuri yule mwanasheria wa mchongo wa serikali,alikuwa anamaanisha kwamba jamaa alikuwa anakwenda sana chooni kwa sababu ni mgonjwa.
Na kwamba kwa ugonjwa wake huo uliosababisha awe anakwenda sana toilet alikuwa anatibiwa tmj
Jana walivyohairisha kesi wakina kibatala walitaka leo waletewe cheti cha kuonyesha ametibiwa hospitali ya serikali sasa leo jamaa kaleta cheti cha kutibiwa kutoka tmj kwamba asingeweza kwenda kutibiwa hospitali nyingine ya serikali kwani tayari alikuwa anatibiwa na daktari wake wa tmj huo ugonjwa ambao ulisababisha awe anakwendakwenda sana chooni siku alipokuwa anabananishwa na kibatala
Ila mwisho naona hii ni kesi ambayo serikali imeitengeneza na hata ushahidi wao unamashaka sana na ukakasi mwingi sana.
Nitashangaa sana kama baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi jaji atasema washtakiwa wana kesi ya kujibu
Kwa mtazamo wangu hadi sasa serikali imeshindwa kuthibitisha pasipo shaka mashaka yao
Huo ugonjwa umeanza wakati wa kubananishwa maswali na mawakili wa upande wa utetezi? Mbona kipindi akiongozwa na wakili wa serikali alikuwa anatililika vizuri na hakuwahi kuomba kwenda choon?
 
Nimegushwa na kauli hii ya Wakili wa Serikali katika kesi ya Mbowe na wenzake;

Wakili wa Serikali Nassoro Katuga: Mheshimiwa Jaji Tumesikia Hoja ya Wenzetu Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala Wenzetu Wanasema Kwamba Shaeria na Tangazo la Serikali namba 259 inataka Kumaliza shauri hili ndani ya Miezi 9 tunalifahamu na tumelichukua

Suala la tukishindwa Kuleta Shahidi huyu, tulete shahidi Mwingine nalo tumelichukua Suala la Shahidi Kuleta Cheti cha Hospitali ya Serikali, Shahidi Tulikuwa tunaona hapa tangu Mwanzo Kila Muda alikuwa anaomba Kwenda Msalani Huko Ndipo alipo kuwa anatibiwa kupitia Daktari Wake

Hii inanikumbusha mwaka fulani katika Mahakama mojawapo mkoa Lindi, aliwahi kukamatwa mganga wa kienyeji akipiga tunguli wakati kesi inaendelea.

Kama Inspector Swilla alikuwa na "Daktari" chooni Mahakamani Jana, huyo mtaalam atakuwa sio Hawa madkatari wa kawaida.
W/S alikuwa akifahamisha sehemu anakotibiwa shahidi Swila na si chooni.
 
Mleta mada hizo sentensi imezungumzwa kimakosa na mwanasheria, kakosea mahali pa kuitaja...

Lakini kiuhalisia alikuwa anafaglfanua kuwa wameshindwa leta cheti cha serikali, kwa sababu shahidi amekuwa akitibiwa hospitali binafsi ambayo hapo katika hiyo sentensi ndio inatajwa kama "Huko"
 
Uwe unasoma conversation vizuri, w/s alifafanua kuwa huwa anatibiwa TMJ na kuwa hata anavyotoka mara kwa mara kwenda washrooms kuna daktari yupo huko chooni akimsubiri kwa kumpatia matibabu
Ila anateseka sana awe mkweli awe huru imeandikwa
 
Huo ugonjwa umeanza wakati wa kubananishwa maswali na mawakili wa upande wa utetezi? Mbona kipindi akiongozwa na wakili wa serikali alikuwa anatililika vizuri na hakuwahi kuomba kwenda choon?
Swali zuri sana wakijibu unitag mkuu.
 
Back
Top Bottom