Upotevu mkubwa wa pesa NECTA

Upotevu mkubwa wa pesa NECTA

Mtoa mada nadhani kuna mambo hukuyachunguza
1. Shule nyingi za kata zina wastani wa vyumba vya madarasa 14 hadi 15.Ukivigawa kwa idadi ya wanatahiniwa 35 hadi 40 kwa kila chumba utagundua madarasa yote yatatumiwa kwa mitihani tu.Hiyo itafanya form 1 na 3 kukosa madarasa kwa kipindi chote cha mitihani.

2. Kwa wastani kwa shule moja idadi ya walimu kama 10 hivi hushiriki zoezi la usimamizi wa mitihani.Ikifanyika yote kama unavyotaka wewe ina maana idadi Mara mbili ya hiyo itashiriki kwenye usimamizi.Hapo ina maana form 1&3 watakosa walimu(hawatafundishwa).

3. Kuna masuala matatu ambayo huendeshwa kwa unyeti wa hali ya juu hasa katika mambo ya kiusalama...uchaguzi,mwenge na mitihani Taifa. Kuiweka mitihani yote pamoja inaleta hatari kiusimaizi na kiusalama maana manpower ni issue.

4. Usihofie gharama za uendeshaji kwa zoezi ambalo kwa unyeti wake likiharibika linagharimu zaidi na linaleta hasara zaidi.

Umemjibu, litafakari jambo kabla ya kukurupuka
 
Mkuu Nashukuru kwa maaelezo hayo. Ni kweli nimekuwa mbali kidogo na mambo haya. hicho kilikuwa kilio cha waalimu kwa Muda mrefu Mtihani huo wa Kidato cha Pili kusimamiwa na NECTA. hapo naipongeza serikali kwa maamuzi hayo.

Kiongozi nikusahihishe kidogo kama hutojali. Kuanzia mwaka huu 2015 mitihani yote ya Taifa (kuanzia ya darasa la nne mpaka kidato cha 6) imewekwa chini ya usimamizi wa NECTA. Sababu kuu ni kwamba NECTA ndio yenye wajibu na mamlaka ya kutahini wanafunzi......Wizara ya elimu kwa kushirikiana na TAMISEMI imebaki na jukumu la kuandaa wanafunzi na mazingira ya kufundishia....ukaguzi wamebaki na majukumu ya kukagua mwenenndo wa utoaji elimu na mazingira yake......TIE imebaki na majukumu yake ya evaluations na ukuzaji mitaala.

Na kwahiyo utaona hata mitihani ya Form 2 mwaka huu imetungwa na NECTA na itasahihishwa kitaifa kwenye vyuo na taasisi mbalimbali baadhi ni Ndanda, Uyole, Mandaka n.k. na watatumia wiki 2 tu.
Usahihishaji wa kidato cha nne nao uanfanyika kama ilivyokuwa kabla na utaenda sambamba na wa kidato cha pili isipokuwa wao watatumia vyuo tofauti na watachukua zaidi ya wiki 2 kumaliza kazi.
 
Jamani Bagamoyo watu Wa maabara hatujalipwa.Walimu Wa sayansi.Tulilipwa siku2 tu,Dar wamelipwa siku 6.Tupeni chetu,mtalipaje f2 wakati bado amjamaliza kuwalipa Wa f4.
 
We huwezi kuona. Idadi ya wasimamizi ingeongezeka

Pia atambue kuwa ni mitihani tofauti. Watu wengine wanashanaza. Wao wanafikiria kubana matumizi tu. Kanikumbusha yule Mjapani aliyekufa kwa utapiamlo wakati ana akiba ya dola 40,000 kwenye akaunti yake binafsi. Kazi kwelikweli.
 
Haiwezekani kuendesha mituhani tote kwa pamoja coz shule nyingi miundo mbinu yake haiko vizuri nikiwa na maana ya samani, vyumba vya kufanyia mitihan hiyo nk. Hvyo wanachokifanya necta ni sahihi. Na km unaona Elimu ni ghali basis jaribu ujinga

Sawa kabisa. Wapenda vya bure wana matatizo sana. Serikali ikianza kugharamia elimu kwa ukamilifu wake atakuja huku mbio akilalamikia matumizi makubwa ya fedha. Labda anataka mitihani ya kichina ha ha
 
Hivi unafahamu taratibu za kusimamia mitihani ya taifa chini ya NECTA...??
Au unataka kuongea tu ili uonekane umeongea..?? Jitafakari sana.

Haya ni matumizi mabaya ya pesa za wananchi, kwanini nasema hivi?

Fikiria mitihani ya kidato cha 4 imeanza tarehe 2/11/2015 na mpaka sasa inaendelea kwa baadhi ya shule hasa zenye watahiniwa wa kujitegemea.

NECTA imelipa wasimamizi, wakuu wa shule na maaskari posho za siku zote za mitihani, hapa hakuna shida. Tatizo linakuja hapa; Ndani ya wiki mbili NECTA tena inaendesha mitihani ya kidato cha pili FTSEE na kulipa posho nyingine kwa kiwango kile kile kwa watu wengine tofauti na wakuu washule mara mbili.

Taarifa nilizonazo wilaya yenye shule chache za sekondari kwa kidato cha 4 bajeti ni karibia shilingi 90 milioni na kidato cha pili 60 milioni. Sasa kwa wilaya zenye shule nyingi na wanafunzi wengi ni shilingi ngapi? mara inchi nzima.

Hivi hawa NECTA wasingeweza kuiendesha hii mitihani kwa kwa kipindi kimoja na kuweza kuokoa mabilioni ya pesa ,kwani wangefanya semina moja, wasimamizi walewale na askari walewale,wakuu wa shule wangelipwa siku zilezile lakini sasa wanalipwa mara mbili halafu mitihani inakutana

Mtoa mada nadhani kuna mambo hukuyachunguza
1. Shule nyingi za kata zina wastani wa vyumba vya madarasa 14 hadi 15.Ukivigawa kwa idadi ya wanatahiniwa 35 hadi 40 kwa kila chumba utagundua madarasa yote yatatumiwa kwa mitihani tu.Hiyo itafanya form 1 na 3 kukosa madarasa kwa kipindi chote cha mitihani.

2. Kwa wastani kwa shule moja idadi ya walimu kama 10 hivi hushiriki zoezi la usimamizi wa mitihani.Ikifanyika yote kama unavyotaka wewe ina maana idadi Mara mbili ya hiyo itashiriki kwenye usimamizi.Hapo ina maana form 1&3 watakosa walimu(hawatafundishwa).

3. Kuna masuala matatu ambayo huendeshwa kwa unyeti wa hali ya juu hasa katika mambo ya kiusalama...uchaguzi,mwenge na mitihani Taifa. Kuiweka mitihani yote pamoja inaleta hatari kiusimaizi na kiusalama maana manpower ni issue.

4. Usihofie gharama za uendeshaji kwa zoezi ambalo kwa unyeti wake likiharibika linagharimu zaidi na linaleta hasara zaidi.

Kula like like like like like like,.......na ungekuwa mwalimu wa Upe
ninge kupandisha daraja na kukufanya uwe afisa elimu wa tarafa ya mleta mada.
 
Last edited by a moderator:
kumbuka mitihani wakecha pili ndiyo kwanza imeanza kuendeshwa na NECTA,Hapo nyuma ilikuwa ikisimamiwa na kuendeshwa na kanda na kila kanda ilikuwa na mtihani wake
Kwani mkuu wewe wakati unasoma mlifanya mtihani kipindi kimoja kama unavyotaka?
 
ndugu askari kazi yao ni kulinda wanaweza kulinda mitihani yote kwa wakati mmoja,jiulize shuleni kwako wewe ni walimu wangapi walienda kusimamia MTIHANI WA KIDATO CHA 4 ndipo useme walimu ni wachache,hapa kwenye ishu ya walimu ingeokolewa pesa ya kuendeshea semina mara mbili wakati walimu wote wangeweza kupewa semina ile ile kwa kwa muda mmoja
huwezi kuendesha hiyo mitihani kwa wakati mmoja,walimu ni wachache,askari pia ni wachache.elewa kuwa mwalimu aliyesimamia form four ndie huyo huyo anatakiwa kusimia form two,tahossa na kicoses.pia huyo huyo anatakiwa kusahisha mtihani wa tahossa,kicoses,form two na form four,unategemea atajigawaje? shule nyingi walishamaliza mitihani ya form four labda tu kwa zile zenye PC(private candidate) kama green acres,perfect vision na mbezi high ndio zinaenda muda mrefu mpaka tarehe 27 mwez huu,lakn shule zetu za kata na jumuiya ya wazazi(shule zinazomilikiwa na ccm kama tegeta high) hizi zimeshamaliza mitihani na ni chache sana ambazo hazijamaliza.
 
nakubaliana na wewe katika baadhi ya mambo hasa namba 1 hapo juu
ila kumbuka mitihani hii mwalimu mmoja anasimamia wanafunzi 40 kwa walimu kumi manayake hiyo shule inawatahiniwa 400 na hii inawezekana tu kwa shule za mijini ambazo pia zinawalimu zaidi ya hamsini kwa wastani
ishu ya unyeti si kweli kwamba kuendesha mitihani kwa vipindi tofauti hapo ndipo unyeti unapozingatiwa
hizi gharama zisizokuwa na msingi ndizo zinazotuumiza,kama ni ishu nya form 1 na 3 mwezi wa kumi na moja muda ambao mitihani imefanyika ,ingesogezwa mbele kidogo ikafanyia desemba wakati wakiwa wamefunga
Mtoa mada nadhani kuna mambo hukuyachunguza
1. Shule nyingi za kata zina wastani wa vyumba vya madarasa 14 hadi 15.Ukivigawa kwa idadi ya wanatahiniwa 35 hadi 40 kwa kila chumba utagundua madarasa yote yatatumiwa kwa mitihani tu.Hiyo itafanya form 1 na 3 kukosa madarasa kwa kipindi chote cha mitihani.

2. Kwa wastani kwa shule moja idadi ya walimu kama 10 hivi hushiriki zoezi la usimamizi wa mitihani.Ikifanyika yote kama unavyotaka wewe ina maana idadi Mara mbili ya hiyo itashiriki kwenye usimamizi.Hapo ina maana form 1&3 watakosa walimu(hawatafundishwa).

3. Kuna masuala matatu ambayo huendeshwa kwa unyeti wa hali ya juu hasa katika mambo ya kiusalama...uchaguzi,mwenge na mitihani Taifa. Kuiweka mitihani yote pamoja inaleta hatari kiusimaizi na kiusalama maana manpower ni issue.

4. Usihofie gharama za uendeshaji kwa zoezi ambalo kwa unyeti wake likiharibika linagharimu zaidi na linaleta hasara zaidi.
 
hebu tueleze ugumu upo wapi,unajua shida inayokuja hapa WALIMU SASA WANADHANI NDIYO SEHEMU YA WAO KUFIDIA MAGEPU
Aisee hoja dhaifu sana...unadhani ni simple yaani shule 1 kuhandle mitihani zote kwa wastani wa darasa 1 kwa 35 students
 
kuwa mwalimu na ww ule
na tarehe 4/12/2015 tunaenda kusahihisha
 
UPO SAWA KABISA MKUU,fikiria shule X inawanafunzi wa kidato cha 4 ni 42,imepewa wasimamizi 2 mitihani siku 10 kila msimamizi kalipwa 40000@jumla kwa mmoja ni 400000,wawili 800000/=,askari wawili kila mmoja 35000 ,jumla wawili 700000/=mkuu wa shule 400000/=,hapo sijaongelea semina,baada ya wiki moja semina tena posho ya semina inatoka ,shule nyingine askari walewale wakiwa bado hawajamaliza mitihani yao ya kidato cha 2 wanapewa tena kazi ile ile kwa pesa nyingine kwahiyo wanafanya kazi moja kwa posho mbili .HALAFU ADA ILIYOCHANGWA KWA AJIRI YA mtihani kwa wanafunzi 42 ni shilingi 2200,000/
Kiongozi nikusahihishe kidogo kama hutojali. Kuanzia mwaka huu 2015 mitihani yote ya Taifa (kuanzia ya darasa la nne mpaka kidato cha 6) imewekwa chini ya usimamizi wa NECTA. Sababu kuu ni kwamba NECTA ndio yenye wajibu na mamlaka ya kutahini wanafunzi......Wizara ya elimu kwa kushirikiana na TAMISEMI imebaki na jukumu la kuandaa wanafunzi na mazingira ya kufundishia....ukaguzi wamebaki na majukumu ya kukagua mwenenndo wa utoaji elimu na mazingira yake......TIE imebaki na majukumu yake ya evaluations na ukuzaji mitaala.

Na kwahiyo utaona hata mitihani ya Form 2 mwaka huu imetungwa na NECTA na itasahihishwa kitaifa kwenye vyuo na taasisi mbalimbali baadhi ni Ndanda, Uyole, Mandaka n.k. na watatumia wiki 2 tu.
Usahihishaji wa kidato cha nne nao uanfanyika kama ilivyokuwa kabla na utaenda sambamba na wa kidato cha pili isipokuwa wao watatumia vyuo tofauti na watachukua zaidi ya wiki 2 kumaliza kazi.
 
hiyo ndiyo shida kubwa WALIMU MAVUNO,unahisi sasa ndiyo wakati wako wa kufidia,Ninaamini utakuwa ni mkuu wa shule nikiwa na maana umepiga bingo mbili kwa mpigo bila jasho
kuwa mwalimu na ww ule
na tarehe 4/12/2015 tunaenda kusahihisha
 
hapo ndiyo upate jibu kuwa kama hii pesa iliyopotea kwa kidato cha pili kuwalipa askari na wakuu wa shule ingemaliza madeni ya wataalamu wa maabara
Jamani Bagamoyo watu Wa maabara hatujalipwa.Walimu Wa sayansi.Tulilipwa siku2 tu,Dar wamelipwa siku 6.Tupeni chetu,mtalipaje f2 wakati bado amjamaliza kuwalipa Wa f4.
 
mtoa hoja tumia akili .suala la mitihani sio kusukuma baisikeli .waache wataalamu wafanye kazi zao.kuifanya kwa pamoja bado mahitaji yataongezeka.vyumba vya madarasa,wasimamizi, nk
 
Mtoa mada nadhani kuna mambo hukuyachunguza
1. Shule nyingi za kata zina wastani wa vyumba vya madarasa 14 hadi 15.Ukivigawa kwa idadi ya wanatahiniwa 35 hadi 40 kwa kila chumba utagundua madarasa yote yatatumiwa kwa mitihani tu.Hiyo itafanya form 1 na 3 kukosa madarasa kwa kipindi chote cha mitihani.

2. Kwa wastani kwa shule moja idadi ya walimu kama 10 hivi hushiriki zoezi la usimamizi wa mitihani.Ikifanyika yote kama unavyotaka wewe ina maana idadi Mara mbili ya hiyo itashiriki kwenye usimamizi.Hapo ina maana form 1&3 watakosa walimu(hawatafundishwa).

3. Kuna masuala matatu ambayo huendeshwa kwa unyeti wa hali ya juu hasa katika mambo ya kiusalama...uchaguzi,mwenge na mitihani Taifa. Kuiweka mitihani yote pamoja inaleta hatari kiusimaizi na kiusalama maana manpower ni issue.

4. Usihofie gharama za uendeshaji kwa zoezi ambalo kwa unyeti wake likiharibika linagharimu zaidi na linaleta hasara zaidi.

Very true, nadhani mtoa mada atajifunza kitu hapa.
 
Back
Top Bottom