Recent content by marymarymary

  1. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Bia gani hii?

    MMMH SIO UPARENI
  2. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Bia gani hii?

    HATA MIE NILITAKA KUULIZA ULIKUWA WAPI?
  3. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Bia gani hii?

    ITAKUWA BALIMI
  4. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

    bibi gani tena
  5. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Harakati za ndugu Ali Hapi si za kizalendo

    nadhani hili linaanzia kwa jpm nikisikiliza hata wakati anahutubia lazma aanze kwa kuwaponda wapinzani ndo aendelee na hotuba ninachoshangaa kinachowafanya wabague wapinzani ni nini? hii nchi ni ya watanzania wote ni aibu sana badala ya kushikamana kufanya kazi tuijenge nchi yetu kina gambo...
  6. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

    yeah unaweza kujikuta wewe ni baba wa hao watoto wa5 bila kufahamu maana huwezi kupeleka ugali wa mwanao tu wakati kua 4 pale wana njaa
  7. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Kumbe anayemwendekeza Chid Benz ni huyu..!! Kalapina amtaja!!

    akiacha ngada na sisi tunaacha kumssakama
  8. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Anataka nimpe mimba azae na mimi ila ni mkubwa kwangu

    sababu za kutaka mimba yako ni nini jipange mkuu unaweza kupata madhila ya kukuchefua sana hukuo mbeleni ukajuta kuzaliwa
  9. marymarymary

    JamiiForums Tanzania wizi startimes: Mfanyakazi mmoja aliniuzia betry ya startimes wizi

    aisee mimi siwezi kabisa kuhangaikia kitu nikizunguka mara mbili tatu natafuta cha mkato
  10. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    sure thing mi nilishafunga ac yangu crdb nilienda jumamosi moja tukapigishwa foleni ya kutisha kisa network nilivyofika dirishani baada ya masaa 4 taller ananiambia niende dirisha la pili eti kitambulisho hakitambuliki wakati ndo cha mwajiri wangu aliyenitilia huo mshahara bahati nzuri...
  11. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    nbc za huku daresalame foleni hakunaga
  12. marymarymary

    JamiiForums Tanzania wizi startimes: Mfanyakazi mmoja aliniuzia betry ya startimes wizi

    wacha unoko wewe hata wewe unaiba muda wa bosi wako kila mtz ni mwizi kwa njia moja ama nyinginewe
  13. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Tumemruhusu Rais Magufuli kuikanyaga demokrasia, ameset 'precedence' hata kwa marais wajao

    ndo tushirikiane kuambizana cha kufanya nadhani ndolengo la mleta mada hii
  14. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Miss natafuta wa JF audanganya umma

    umekula ban au looooooooh
  15. marymarymary

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    nina hasira ngoja nitulie sana hii imepigilia msumari wangu wa mwisho sitaki kusikia kitu kinaitwa ccm nadhani kuna siku nitauwawa kwa ajili ya ccm i swear today
Back
Top Bottom