Recent content by mary ocma

  1. mary ocma

    Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

    Kwa hyo had picha mliamua kupiga ndan ya hayo masaa mail mlokua mnakimbizana ?//kama ndo hvyo mlikua mnacheza na cjui ni koboko wa mkoa gan
  2. mary ocma

    Nimekimbizwa na nyoka aina ya Koboko

    Mmmmm koboko hakukimbiz dakika tatu mjomba.we unatania tu
  3. mary ocma

    Namtafuta baba yangu anaitwa Gerson Jacob Kasanga

    Huyu aliesema yupo mission Sikonge inawezekana cz namie nipo hapa mission na akina KASANGA WAPO wengi kweli
  4. mary ocma

    Nahitaji mke wa kuoa

    Yupo sahihi kwa cc christian tunaamin Mungu hampi MTU mchumba bali anampa mke.huyu kataka mke cz anataka kuoa ila angetaka mchumba tungesema bado anahitaj kuchunguza
  5. mary ocma

    Nahitaji mke wa kuoa

    Mi naomba nkushaur kidogo.Humu utadanganywa tu bure cz wk zilizopta kuna mtu alilalamika hapa kwamba ameshachat na wanawake wa tatu bt kila wanapokubaliana kuonana na hao mabint wanaingia mitin na wengine wamemlia hata hela.kama upo serious tafuta namna nyingin utapat tu mke huku utapotezewa muda.
  6. mary ocma

    Nahitaji mke wa kuoa

    Asa unavyosema umebanwa human Mda wa kutafut mdada, huku ukimpata utaonana mate sangap? N a kwanzia umeanza primary mpak chuo umeanza na kaz bado tu hujaona????????au ndomo.....
  7. mary ocma

    Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

    Makontena haya bwana yataenda na wengi.labda hyo nyumba inauzwa ilipie kodi hahahaaaaaaaa
  8. mary ocma

    Moshi wa bangi ukeni

    bado unga sasa
  9. mary ocma

    Unatumia maneno gani au ishara gani kuomba unyumba kwa mwenzi wako

    kama mnaish wote unakumbushia game zuilizopta unashaanga anasogea zro dst
  10. mary ocma

    Texts ninazozipokea kutoka kwa michepuko wkt huu kuelekea x'mass na mwaka mpya.

    ok tumejua unamihera ndo mana wanakuomba had rak nane gafla.hakuna mtu anaweza omba fanya hvyo akat mmeachana.Acha kujipaisha
  11. mary ocma

    Mbowe kukamatwa kwa ufisadi

    asa pesa zake mwenyew akamatwe, majizi ya escrow mmeyafumbia macho akat hela ni za serikali.. ..kweli tz mambo yanafanyika kinyumenyume
Back
Top Bottom