Kweli mkuu mie siyo level yako mkuu pesa nazotumia kutunza mbwa wangu 3 chakula na maradhi unakula wewe na familia yako miaka miwli.
Mkuu si ujibu tu.
Sheria inasemaje kuhusu umiliki wa akaunts nje ya nchi?.
Mtoa mada kabla hujaleta post humu jaribu kufuatilia angalao kidogo kama kuna kinachoendana na unachotaka kuleta. Hii issue ni marudio tuu unaleta hapa, hii imeletwa humu kipindi cha kampeni halafu nawe ukaibeba kama ilivyo bila kujiuliza, Je international cash transfer ndo hivyo huwa zinafanyika kulingana na hicho kipeperushi ulichoweka!?
Ifike wakati tulete mada ambazo siye wenyewe waletaji tumejilidhisha!!
Hiyo document ni nini haswa? Inamuamlisha nani kufanya nini? Document moja inaenda bank zaidi ya moja? Unajua kweli usiri ulioopo kwenye account ya mteja na bank?
Mateka wa Mbowe lazima watamtetea boss wao.
Mkuu katorosha kutoka wapi kwenda wapi!?
Mateka wa Mbowe lazima watamtetea boss wao.
.Taarifa ilizozipata gazeti hilo kutoka FIU, ilisematayari kila kitu kimemalizika na kilichobaki ni suala hilo, kulipeleka Polisi kwa ajili ya kuchukua uamuzi zaidi wa jambo hilo blah blah blah
.............................Ikiwa FIU watakamilisha uchunguzi wao haraka kama inavyotarajiwa, jeshi la polisi litakuwa na wajibu wa kumkamata na kumfikisha mahakamani kwa tuhuma za usafirishaji fedha isivyo halali
Siku Magufuli akipiga ziara ya kushtukiza pale Billcanas nchi itatikisika. Mbowe ameiba pesa za chama na mabilioni ya lowassa bila ata kuona haya. Pale bills ni ngono inauzwa nje nje mirungi ganja na ndio pesa inayomtajirisha Mbowe.
Kaskazini pesa kwanza mengine baadayezitakuwa ni hela za malipo halali ya kuiuza chadema kwa Lowasa......ndege wafananao huruka pamoja.