Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

Mi naomba nkushaur kidogo.Humu utadanganywa tu bure cz wk zilizopta kuna mtu alilalamika hapa kwamba ameshachat na wanawake wa tatu bt kila wanapokubaliana kuonana na hao mabint wanaingia mitin na wengine wamemlia hata hela.kama upo serious tafuta namna nyingin utapat tu mke huku utapotezewa muda.

Xawa najua kwani citakuripuka Najua nitampata tuu cause ninamfano mzuri wa myfirind kaoa mke mzuri kupitia humu
 
njoo rombo wako wengi sana japo xmass hii tunawashughulikia kwanza
 
Habari wana jf,
Natanguliza shukulani zangu kwa wana jf wote, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na taasisi moja ya fedha hapa Dar, Nipo serious nahitaji mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, age kuanzia maiaka 24-27, mweusi, mnene kiasi na u refu wa wastani maana mimi ciyo mrefu xana, pia awe mkiristo.


Mke haolewi buda,anaolewa mchumba, so nakushauri utafute mchumba!
 
Yupo sahihi kwa cc christian tunaamin Mungu hampi MTU mchumba bali anampa mke.huyu kataka mke cz anataka kuoa ila angetaka mchumba tungesema bado anahitaj kuchunguza

Ndio nilikocea kuandika nahitaji mchumba!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom