Recent content by marxist

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 27 ya umri wangu sasa nahitaji mchumba wa kumwoa

    Ambaye upo tayari kuwa mpenzi wangu ni PM be serous with ua words nipo iringa vilevile huku ndo kwetu weka hata namba mimi nitaanza kuku text.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    yule jaj mstaf wa mwl anajiita c*m iman na c maslah ndo kwa tarifa kutoka kwa mnyetishaj moja toka lumumba kwa yani tokea mwez wa1 kila got la kada mkuu wa chama limepigwa kumwomba aokoe jahaz...kalaga baho.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015 ameshapatikana

    yule jaj mstaaf wakipind cha mwl.anajiita c*m iman na c maslah ndo kwa taarifa kutoka kwa mnyetishaj moja ambaye yupo pale lumumba kwa yaan tokea mwez wa1 kila goti la kada mkuu wa chama hcho amelipiga kumwomba aokoe jahaz..kalaga baho.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    ndugu yangu na mim nimekusoma kwa upande wataratibu zakusajil kampun ila naomba unibrief juu ya taratibu za biashara yenyewe mfano mim nataka niwe wakala wa bima za vyombo vya moto e.g pikipiki sasa nashndwa nianzeje? nipo iringa(0752344830)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

    tupe matokeo ya njombe coz nimezidaka nyepe nyepe kuwa uchaguzi ulikuwa jana 16/08/2014...... TUNAYASUBIRI KWA HAMU,KAMA AMBAVYO LUMUMBA WANAVYO YASUBIRI
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

    mkuu,hebu tujuze pia na matokeo ya uchaguzi mkoa wa njombe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Telegraph From Iddi Amin Dada kwa Nyerere Kisa cha Vita ya Kagera?

    WB...1dollar was equal to 5 Tshs
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA hili hapa

    "You may fool all the people some of the time, you can even fool some of the people all of the time, but you cannot fool all of the people all the time. "ndo ivo mzee mtela hoja yako is invid and void........embi jarib kutaja sababu za msingi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA hili hapa

    watanzania wamejiandaa kwa kubadili Regime waliowengi jambo hili pengine wameliandika kwa kalamu ya wino wa Damu zao Ila pamoja na mambo mengine c*m inajivunia (TUME ISIYOHURU YA UCHAGUZI)......NDIO maana nadriki kuwa pleased nakusema...... It is enough that the people know there was an...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Falsafa za Mao na Muelekeo wa Siasa za Ushindani Tanzania.

    well said comrade wangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Falsafa za Mao na Muelekeo wa Siasa za Ushindani Tanzania.

    Binafsi kama p.analist,philosophical base ya communism,matured socialism,ni kufanya au kukubaliana kitu as group,japo wenzetu(china),wajanja wanachukua good from left (liberalist policies) good from right(socialist ones) then they combine then they go,ccm ilisahau hilo ndio mnaweza kubaliana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wanawake wote duniani, hasa Wakibongo

    Ndugu wanajamvi Harakati na wanaharakati dhidi ya haki za wanawake isieleweke kana kwamba ni jambo la kutangaza vita dhidi ya mwanamme katika jamii. Tena na tena pengine isidhaniwe kuwa nikulipiza kisasi dhidi ya mwanmme, bali pamoja na mambo mengine All struggles should be rooted in human...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

    , ,.. Nape na Kinana wangekuwa wazalendo mara tuu baada ya mwenyekiti wao kutangaza cabinet mpya could have taken political responsibility
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    Sijawahi kuchangia jamii. Hii kauli ya dr slaa imenifurahisha. Kila la kheri FP(FUTURE PRESIDENT)
Back
Top Bottom