Anguko la CHADEMA hili hapa

Anguko la CHADEMA hili hapa

Naona Mahaba yako kwa Zitto Kabwe yanakufanya uandike haya.Ukweli jua kwamba Zitto mpaka muda huu hana Kazi ni Jobless,uwepo wake unaitegemea Mahakama.Kwa kuwa yeye analitambua hilo ndio maana anang'ang'ania na kulilia uanachama wake.
Tumia muda mwingi kutafakari mustakabali wa maisha yako kuliko ya mtu mwingine ambaye anakutumia kama "Kifanyio"na mwisho kutupwa.
Unajisikiaje pale watu watakapokuwa wanakuzungumzia wewe kama unavyomzungumzia Zitto?Kua basi.

Kama unataka kuona kama CDM imekufa pigania Daftari la wapiga kura liboreshwe ,sisi tulioko mtaani ndio tunajua,sio siasa zenu za chuki,ulaghai na unafiki mnazopandikiza kwa watanzania.Siku mambo yakiharibika usifikiri utakuwa salama.Kuwa upinzani sio dhambi.Wote waliopo nchi hii ni watanzania ,na wanahaki ya kuwa madarakani.Hiyo ni haki ya kikatiba.Sio ya kupewa na CCM.
 
Ahsante mku kwa ushauri mzuri.but umekiri mwenywe kuwa ccm imewachosha wananchi.
 
Wenzako wenye akili wanazungumzia katiba ya JMT na nini hatima ya nchi hii wewe bado unaendeleza mambo ya jikoni. Naona pengine katika akili yako unamlaumu MUNGU kukuumba mwanamme badala ya jike ili ufaidi ndio maana matendo yako na tabia ni ya kikanga kanga.
Nakushauri wewe kakate mauno kwenye sherehe za CCM na kupika tuu,ndiko kunakokustahili.
View attachment 150422
View attachment 150428


Sent from my iPad using JamiiForums
bora huyu anayejipikia kuliko wewe unayepikia wanaume wenzio
 
bora huyu anayejipikia kuliko wewe unayepikia wanaume wenzio

Mie hunijui ila yeye tunamjua na ndio maana na picha zake hizo akikata mauno na kujipikia tumeziweka. Ungenifahamu nahakika kijana ungejigonga kwangu nikuwezeshe kuishi mjini. Ukibadili tabia na kujitambua pse ni PM tuone ni njia gani nitakuwezesha kijana.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
nikukumbushe kuwa Taxation is as old as Jesus Christ! Mtaalam Yuda Iskariote alikuwa msomi mkubwa wa sheria ya kodi (taxation), tax accounting, managerial accounting, cost accounting, finance etc! CPA, ACCA, CIA na zaidi! YESU akamweka kama muhasibu na mtaalamu asiyehitaji Internal Control System na kwamba hawezi kufanya window dressing, naye pia alikuwa akikusanya mamia kwa maelfu ya pesa kwa kusaidiwa na akina Zakayo.
 
mbowe anahusika katika hili

....Tafakari !!!

dance+troupe.jpg
 
baada ya kumfukuza zitto, kitila na mwigamba, machadema yaliyobaki hayana elimu, mtu pekee mwenye elimu ni slaa mwenye PHD ya theology ie elimu ya ukatoliki
kuchaba zaidi ni kuondoka na masalio bila unafiki chunguza elimu za viongozi wako wa juu!
 
baada ya kumfukuza zitto, kitila na mwigamba, machadema yaliyobaki hayana elimu, mtu pekee mwenye elimu ni slaa mwenye PHD ya theology ie elimu ya ukatoliki

Mpu-mba-vu wewe, kwako prof. safari na madaktari wengine wa falsafa sio wasomi kwa sababu tu wako CDM
 
Ni jambo la kusikitisha nchi kuwa na aina hii ya vijana ambaye eti amehitimu shahada ya kwanza halafu wala asiitumie kwa lengo lililotarajiwa na mbaya zaidi anadiriki kuandika UPUUZI ambao hata kijana wa darasa la saba mwenye akili nzr hawezi kuandika upumb.a.vu wa aina hii anapata platform ya kuair ujinga wa aina hii..think kama kuna watu huwa wanatolewa mfano ili jamii ijifunze jambo basi huyu ni mmoja wao, nadhani yako mambo mengi kwa jamii yaani, vyama, vijana, wazee, wanasiasa nk ya kujifunza kwa aina ya watu wa sampuli hii! he has no FUTURE!
 
watanzania wamejiandaa kwa kubadili Regime waliowengi jambo hili pengine wameliandika kwa kalamu ya wino wa Damu zao Ila pamoja na mambo mengine c*m inajivunia (TUME ISIYOHURU YA UCHAGUZI)......NDIO maana nadriki kuwa pleased nakusema......
It is enough that the people know there
was an election. The people who cast the
votes decide nothing. The people who count
the votes decide everything.
 
"You may fool all the people some of the
time, you can even fool some of the
people all of the time, but you cannot
fool all of the people all the time.
"ndo ivo mzee mtela hoja yako is invid and void........embi jarib kutaja sababu za msingi
 
Jifunze kuandika basi, MSUKULE ahhhh, samahani - MASALIA.
Ndugu yangu Sikonge , hii tukana tukana hii haimsaidii mtukanaji, haimsaidii mtukanwa wala haisaidii third party. Kama ndio hivyo ya nini basi! huoni ni bora kama unamuona mtu kakosea wewe umsahihishe badala ya wewe kuongezea kosa juu ya kosa? any way ni maoni yangu tu lakini.
 
Last edited by a moderator:
Nasema hapana,mwenye macho haambiwi tazama,akili za mwenzio changanya na za kwako.

CCM inajenga nchi,hebu tazama hawa watendaji wanavyochapa kazi.

Viongozi wa CCM wanahangaika na kuzifahamu kisha kuzitatua kero za wana nchi,hawa wenzetu wao ni helikopta tu,mwanzo mwisho.Tutafika?

Wapinzani wanapotosha watanzania na hasa vijana.

Miundombinu ni moja ya Ilani za CCM kwa mwaka 2010,Tumeweza na bado sehemu chache tu.

Amani na Umoja ndio nguzo kuu ya watanzania chini ya CCM,wapinzani hawawezi kuleta amani,wapinzani hawana mashiko.Hivi Zambia wamepewa wapinzani,je kipi cha maendeleo ya haraka kimeletwa?si wana hifadhi kubwa kuliko zote Afrika?wapinzani hawana nia nzuri,wa vyama vyote tu iwe CDM au CUF ama hiyo UKAWA.

Tutavunja muungano au tuunde serikali 3,za nini?,kwa maslahi ya nani?,aah wapi!Somalia imeharibika vibaya sana,South Sudan na ile Sudan ya Khartoum leo zinatamaniana tena,ipo wapi Urusi ya sasa?sasa hata mmarekani ana sauti mbele ya Urusi hii na sio ile ya USSR.

Kama koti la muungano ni kero basi kero hizo zinatibika,maana hata koti likiw ana kiraka dawa ni kukata vipande vitatu?hapana,dawa ni kulishona pale tu penye jeraha na ndio tunachotaka.

UKAWA,wanatumia fedha kwa fujo,walikuwa wapi wakati wa kukusanywa kwa maoni ya Tume ya Warioba?,umaarufu kwenye mambo nyeti ya nchi ni ujinga.

Nchi haiwezi kuongozwa na mission town,nchi inapaswa kuongozwa na watu makini.Lazima tuseme tu ukweli na hata wakitukana tutapambana nao.

Hapana,lazima tujenge Muungano imara wa nchi 2 tu.Maoni ya watu 350,000 sio ya watanzania Milioni 44.Hapana nasema hapana.

Haya na tuachane na hayo sasa,twendeni tukajenge nchi.

Hongera Mhe Katibu Mkuu Kinana,hujataka kukaa ofisini na kucheza na karatasi,umeamua kuchapa kazi.

CCM NDIO NJIA KUU.
 
Mtera Mwapamba ni mchumia tumbo, ukibisha, uniambie ulikokuwa a unakuja kwenye baa ya chini ya bango ukiwa na kiongozi wa vijana wa ccm wilaya ya Temeke, huku ukilamba lamba miguuu ya wakubwa haikuwa njaa?connection yako na Mwigulu inajulikana na ulianza kujaribu kumshawishi kiongozi wa bavicha akakutosa, njaa hizo una lala ukiota chadema ife angalia unachokiwaza kisije kikageuka
 
Back
Top Bottom