Burton Mwakatumbula
Member
- Jul 27, 2012
- 54
- 8
Mkuu ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata nikitaka kusajili COMPANY LIMITED na je gharama zake ni shilingi ngapi?Mimi ndiye Singo ambaye member Qsm ametoa ushuhuda wa kumsajilia jina la biashara(bisinessname).Business name nitakufanyia 40,000/=Tshs only,gharama ikijumuisha na gharama ya brela ambayo ni sh 6000/=tu,ndani ya week mbili kazi inakamilika na unapata Certificate of Registration.
Pia ninauzoefu wa kuandaa Memorundum and Articles of Association ya kampuni ya aina yoyote ile ilimradi tu haipingani na Companies ACT 2002
SPECIAL FEED BACK :JF MEMEBERS NILIOWASAJILIA BUSINESSNAMES NA COMPANY LIMITED 2013-2014
(nime nukuu my own thread kwa ambao hawajaweza kuisoma)
Gharama za usajili wa Company Limited by Shares
capital 200,000---------not more than 500,000 = Tsh 111,200(registration,filling fee +stamp duty)
'' 500,000---------not more than 1,000,000 = '' 141,200 ''
'' 1000,000------- '' 2000,000 = '' 161,200 ''
'' 2,000,000------ '' 3000,000 = '' 181,200 ''
'' 3000,000------- '' 5000,000 = '' 211,200 ''
'' 5000,000------- '' 10,000,000 = '' 241,200 ''
'' 10,000,000----- '' 30,000,000 = '' 262,200 ''
above 30,000,000 na kuendelea = '' 361,200 ''
NB; Gharama hizi ni kwa mujibu wa Brela, pia ikiwa umewasilisha vitabu vitatu(Memorandum and Articles of Association),ukiwasilisha vitabu zaidi ya viatatu, bei yake itaongezeka sh 5000,kwa kila kitabu ( for stamp duty)
Malipo yangu
nitakuchaji 180,000 ,mpaka unapata Certificate of Incorporation. Kazi niatazokufanyia itajumuisha kuandika barua ya Company Name Search(kwa kawaida majibu hutoka baada ya siku tatu) ,kuandaa vitabu vitatu(Memorandum) ambavyo vinagongwa na wanesheria sehemu 6 ambazo Directors mmesaini kugawana share za company, maelekezo ya ujazaji wa form itayoambatana na vitabu na gharama za ufuatiliaji mpaka document ina kamilika ambayo kwa uzoefu wangu ndani ya week mbili usajili unakuwa umekamilika.
kama vitabu mtataka viwe vingi gharama zangu zitaongezeka kidogo,sababu gharama za printing na binding zitaongezeka,pia gharama nitazowalipa wanasheria zitaongezeka