Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

Majina ya viongozi wapya CHADEMA Moshi

makamanda wa bavicha moshi vijijini ni moto wa kuotea mbali! magamba yataunguzwa vibaya sana na huu moto.
 
hopelesss kabisa, ndio nyie mlio kalili mtwara kuna wamakonde tuuu.. wachaga tuuu ukabila hakuna chochote

Acha hoja hzo kama hao watu hawapo ulitaka iweje? Wapendekezwe kutoka huko.mtwara wabebwe waletwe moshi? Try to be true to yourself
 
Hii timu naiamini sana. Pongezi kwa wote na mtuongoze kwenye ushindi kwenye chaguzi zilizo mbele yetu. Chaguzi za serekali na uchaguzi mkuu.

CHADEMA. Vema
 
Tumia hata macho kufikiria kama akili hazijaamka. Lawama na kukosa kwingine kunakudhalillisha wewe na waliochangia katika kukua kwako. Kwa hiyo wewe ulitaka kina Kamugisha, Mwakingwe, Shiguna, Mwijuma, Mapunda na Kina Segito waende kuwa local leaders Moshi? Kama huna hoja ni bora kuduwaa kulilko kujidhalilisha na ushupavu!.
Khaa!! Basi ajabu sana kuwa na kina kilewo, lema, kiwia, mushi, minja kama local leaders nje ya kilimanjaro
 
M/Kiti Godlisten Malamia,

Katibu Cyprian Minja,

Mwenezi Deo Mushi,

MhazinI Evans Mmasi,

Mjumbe mkutano mkuu Taifa Lucy Owenyi

tupe matokeo ya njombe coz nimezidaka nyepe nyepe kuwa uchaguzi ulikuwa jana 16/08/2014......
TUNAYASUBIRI KWA HAMU,KAMA AMBAVYO LUMUMBA WANAVYO YASUBIRI
 
Wachaga mwanzo mwisho tena wakristo.

Kama kawaida yako Chamviga na mzimu wako wa dini. Unategemea kumpata kiongozi wa CCM kisiwano Pemba akiwa Mkristo?

Kwa takwimu zako, huko Moshi ulitaka Waislamu na Wazulu kwenye nafasi za uongozi wawe wangapi?

Poor you!
 
maislamu yanajua kuandamana patu patu patu, hku yamevaa visubau, yanaxema eti cdm mosh wachaga,walitaka viongoz wawe wahaya?
 
Back
Top Bottom