unachosema ni kweli tupu,ila naamini asilimia ya ujuha bado ni kubwa kuliko werevu na ukomavu,bado watanzania hawafundishwi na hali yao ya maisha.Bado wanakubali uongo wa CCM na pengine kudhani kuwa umaskini na hali zao duni zinaletwa na Mungu.:israel:
Vipi coverage ya hizi decorder za TING ikoje?, Maana hawa startimes hawafiki nchi nzima pamoja na matangazo ya kujinadi mengi.Mnaojua tafadhali nifahamisheni,mimi niko Tanga!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.