Nafasi za kazi (job vacancies) sasa kwenye simu za mkononi

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Kwa Teknolojia ya simu ya mkononi na mtandao sasa wajuzi mbalimbali wanaweza kupata kazi kwa urahisi kuliko ilivyokuwa awali.

Huduma ya KAZImobile inasaidia makampuni kusambaza habari za nafasi za kazi kwa urahisi nchini kote Tanzania. Pata kazi uliyokuwa unatafuta kwa urahisi sasa.

Kujiunga ni Rahisi sana.

Andika neno KAZI( acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotafuta halafu utume kwenda 15522.

Mfano: Kama unatafuta kazi ya SECRETARY andika KAZI SECRETARY na utume kwenda namba 15522.

Punde utaanza kupokea nafasi za kazi uliyoomba. Kujitoa Andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na neno ONDOA na utume kwenda 15556.

Ukitaka kupata kazi bila kujiunga andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na herufi S (acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotaka na utume kwenda 15522.

Gharama ya kujiunga(ambayo hutozwa mara moja) ni shilingi 250 tu pamoja na VAT, na kila kazi utakayotumiwa utachajiwa shilingi 150 tu pamoja na vati.

Masharti na vigezo kuzingatiwa.


The Available Job Vacancies:

Accountant
HR
Public Relations
Journalism
Business Administration
Social Science
Cashier
Finance
Banking
Graphic Design
Nursing
Doctor
Clinical Officer
Electrical Engineer
Electrical Technician
Electrician
Auto Electrical
Mechanical Engineer
Mechanical Technician
Auto Mechanics
Civil Engineer
ICT
Chemical and Processing Engineer
Driver
Secretary
Typist
Office Attendant
Receptionist/Customer Care
Sales and Marketing
Administration
Public Administration
Teacher
Sociology
Social Work
Printer

And many many others !!!
 
Asante bwana mie nilishaanza long ila mbona huwa hawatoi email adress za mwajiri always wanaweka P.O.Box only:confused2:
 
nashukuru kwa kutupunguzia kazi ya kununua magazeti
haijapunguza... inakuchagiza kununa ili uelewe vema mahitajii ya kazi.... lakini nawapongeza waliokuja na hiyo huduma... japo ina kwikwi:becky:!!
 
Asante sana. Tunakushukuru kwa kutuunga mkono. Kuhusu maombi kwa njia ya email huwa yanakuwepo kutokana na matakwa ya waajiri. Labda ni bahati mbaya hujawahi kupata nafasi ya kazi ya aina hiyo. Lakini inapokuwapo alama ya @ huwa inawekwa kama (a) kutokana na kwamba gateway nyingi huwa zinatruncate alama ya @.

Maoni yako yanakaribishwa wakati wowote. Unaweza tembelea tovuti yetu ya www.kazimobile.co.tz kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom