Katika maisha ya mwanadamu suala la dini halikwepeki. Ikiwa mtu ana dini basi atakutana na changamoto za kidini aidha kutoka wa wale wenye dini moja naye au dini tofauti. Na ikiwa mtu anajiita hana dini vile vile atakumbana na changamoto mbalimbali. Kwa upande wa huyu aliyeamua kutokuwa na dini...
ckuizi anaandika kile anachotaka kusema, kwa mtindo huu hutosikia "mtu mmoja, asiyejua moja, mwenye vihoj, asiyeweza ngoja.......", nadhani ni vyema aendelee kuandika ivo ivo.
haya ni matokeo ya kutokuwa na utashi mzuri wa kisiasa na kuchoka kufikiri muda usio rasmi. Hivi unavosema vijana wa morogoro unamaana gani?, baadhi?, wote?, au vijana wa chama fulani?. Nauliza hivi kwani mimi ni kijana pia na nipo sehemu tajwa yaani Morogoro. Kati ya vitu vinavyoweza kumshushia...
hiyo app ndio ninayotumia kuhabarika hapa kwa kusoma habari na kucomment, ninachohitaji ni jinsi ya kuweza kupost na watu wakasoma kile nilichoandika. Nadhani nimejibu vyema kaka mshana jr.
duh!, hapa alieomba ushauri baada ya kushaurika anaweza changanyikiwa, wengine wanasema usimwamini mtu, wengine mwongozo unatakiwa kufuatwa kwa kukabidhi mali za thamani kwa wale wa mapokezi. Nadhani mtoa onyo yupo sahihi na kwangu nimeelewa hili andiko otherwise liwe limepotoswa. Mosi, inakuaje...
duh!, pole sana....
nahisi tunashare huo hudhuni, ila naona you won't get one unless you change that name "principle gal", majina yana maana sana katika kuinfluence maisha ya mtu, ukiwa ni wa principles ni sheider koz men are always heads of the family, sasa ukiwa na principles u over through...
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.
MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri Huwa Unatumia Biblia Au Kuna Kitabu Kingine? GWAJIMA: Biblia.
MPELELEZI: Soma YAKOBO 4:11. GWAJIMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.