Mke wangu kamtembezea kipigo mchepuko wangu

Mke wangu kamtembezea kipigo mchepuko wangu

Lakini mwisho huwa ni saa nne asubuhi, nilishawahi kushuhudia jamaa mmoja anamtandika makofi mke wake eti kisa kamdanganya saa 8 mchana ktk huyo cku

jamaa anatabia mbaya sana mwenzie anataka kucheza ye anampiga
 
jamaa anatabia mbaya sana mwenzie anataka kucheza ye anampiga

C unajua mtu upo kwny mihangaiko halafu mwenzio anakupigia ili akudanganye, unatoka mbio kuwahi huko alikokudanganyia halafu unamkuta yuko buheri wa afya, unategemea nini kitatokea
 
C unajua mtu upo kwny mihangaiko halafu mwenzio anakupigia ili akudanganye, unatoka mbio kuwahi huko alikokudanganyia halafu unamkuta yuko buheri wa afya, unategemea nini kitatokea

unamtengua mguu ili umpeleke hospital usipoteze muda bure
 
Kwasababu demu wako wa salon yule aliyejichubua kama kachunwa ngozi alinikatisha tamaa.

Nilishamwacha cku nyingi, maana alikuwa anaanzisha ugomvi kila cku ulipokuwa unaenda kumuomba namba yangu
 
Nilishamwacha cku nyingi, maana alikuwa anaanzisha ugomvi kila cku ulipokuwa unaenda kumuomba namba yangu

Sasa leo ukitoka nipitie ili unisindikize salon kwakwe nikatengeneze nywele, tumrushe roho hadi afe na kihoro
 
Sasa leo ukitoka nipitie ili unisindikize salon kwakwe nikatengeneze nywele, tumrushe roho hadi afe na kihoro

Ni mkorofi yule Asha ngedere anasubiri sana kwake, kwa hiyo utachambwa sana pale ukileta ujuaji utaambulia makofi tu
 
Ni mkorofi yule Asha ngedere anasubiri sana kwake, kwa hiyo utachambwa sana pale ukileta ujuaji utaambulia makofi tu

Hapo ndio ulipo haribu,, yaani mwanaume mzima unamwogopa mwanamke loh!!!!!! ngoja mimi nikamchanechane we jiandae kunitolea dhamana.
 
Hapo ndio ulipo haribu,, yaani mwanaume mzima unamwogopa mwanamke loh!!!!!! ngoja mimi nikamchanechane we jiandae kunitolea dhamana.

Ukiongelea kuchanachana ye ndio bingwa sasa anatembea na wembe, halafu mi cmuogopi yeye nakuhurumia tu wewe asije kuharibu hiyo reception
 
Natamani ningejua utunzi kama wewe ili na mimi niwe najaza masredi
 
angekupiga wewe, na ninasisitiza akupige tu, kama kibonde kila siku anasisitiza nazani hamna njia nyingine, amechoka kukuvumiliaaa
 
MPELELEZI:Hebu Soma Biblia Kitabu Cha TITO 3:2.
GWAJIMA:"Kwa Ujasiri" 'WASIMTUKANE MTU YEYOTE,WASIWE WAGOMVI,WAWE WEMA,WAKIONYESHA UPOLE WOTE KWA WATU WOTE.

MPELELEZI: Je Wakati Unapohubiri Huwa Unatumia Biblia Au Kuna Kitabu Kingine? GWAJIMA: Biblia.

MPELELEZI: Soma YAKOBO 4:11. GWAJIMA: Ndugu,msisingiziane,amsingiziaye Ndugu Yake Au KUMHUKUMU Ndugu Yake,huisingizia SHERIA Na Kuihukumu SHERIA. Lakini Ukiihukumu Sheria Huwi Mtenda Sheria Bali Umekuwa HAKIMU.

MPELELEZI: Endelea Mstari Wa 12.

GWAJIMA: Mtoa Sheria Na Mwenye Kuhukumu Ni Mmoja Tu, Ndiye Awezaye Kuokoa Na Kuangamiza, U NANI WEWE UMHUKUNUYE MTU MWINGINE?

MPELELEZI: Umeelewa Maana Ya Maneno Ya Vitabu Ulivyovisoma?Ambavyo Unatakiwa Kuvifuata Na Kuvifundisha?

GWAJIMA: Jamani sioni nguvu zinaniisha jaman,

MPELELEZI: NAKUPA DAKIKA MOJA UKEMEE HALAFU TUENDELEE NA MASHWALI HADI TUIMALIZE BIBLIA, GAFLA Gwajima "CHALI" .... Itaendelea ...
 
Back
Top Bottom