Hapo ndio nashindwa kuwaelewa wanawake

Hapo ndio nashindwa kuwaelewa wanawake

Shemehi mbona maneno makali?

Huyu jamaa ni mjinga...huwezi kum treat mdogo wako hivyo hata kama ana tabia mbaya.

Huyu ndiye aina ya watu hawachelewi kuwauza wadogo zao.

Sasa hapa kuna tofauti gani na kumuuza mdogo wake
 
mi sioni ubaya wa mleta mada
kama nia ni dada yako kupata mtu wa maana hakuna sioni ubaya
wengine kujishaua tu humu ndani, mbona Klin kaolewa na machache si wote tunajua kavutiwa na maisha tu
 
Kama hajamvutia je???

Hao alowapanga mtaani wamemvutia na kumpa tulizo la kimahaba

Halafu unajua hr amrlala na wangapi hapo kwa gia ya kuwa "kijana na hajaoa?"

Mwanamke halalwi kwa kuwa yupo na hr analalwa kwa kuwa amevutiwa na kuamshwa mshawasha wake hivyo Usishangae hr anaachwa halafu msukuma mkokoteni anapewa papuchi

Ifike wakati unafanya umalaya wenye tija na manufaa, sasa mvuto ndio nn?.
Panua miguu fumba macho upate unachotafuta ndio mtaji huo mungu aliyewajaharia.
 
Wakuu,

Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie aliemuomba mzigo

Huyo jamaa alimtongoza huyu mdogo wangu na kumuomba wawe wapenzi na kama mambo yakienda vizuri wafunge ndoa maana mshikaji bado hajaoa ni kijana tu.

Kinyume na matarajio binti alimkatalia mshkaji ombi lake na mbaya zaidi akaanza kutangaza kwa mademu wenzie pale kazini jambo ambalo lilimuumiza sana mshkaji

Basi jamaa akamsubiria mwisho Wa probation maana binti alikua hajamaliza hata probation, miezi 6 ilipofika jamaa akapelekewa barua na idara husika kwa ajili ya confirmation.

Hapo ndipo jamaa akamalizia hasira zake Kwa kifupi hakum confirm akasema ame perform below standard.
Ukawa ndio mwisho wake pale, alilia sana akaja kunieleza ishu nzima na kuniomba nimtafutie kazi nyingine

Wakuu, hivi mnamuelewaje huyu mtu? Mtaani alipopanga keshawapa mzigo wajinga kibao tu ambao hawana msaada na maisha yake, halafu kamnyima mtu alieshikilia maisha yake.

Hapo tu huwa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake

p.u.n.g.a. Wewe unataka kumuza mdogo wako kisa kazi...nyie ndo watu hamtakiwi kwenye jamii yetu,..kazi atapata tu sehem nyngne tena MUNGU atamsimamia kwa kuepuka uzinzi
 
Mleta uzi nikuambie tuu,umebaguliwa pahala hapa,hufai wewe nenda zako kwa kifupi unabwaya bwaya kama umekula dengu na mayai ya kuchemsha.
 
Wakuu,

Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie aliemuomba mzigo

Huyo jamaa alimtongoza huyu mdogo wangu na kumuomba wawe wapenzi na kama mambo yakienda vizuri wafunge ndoa maana mshikaji bado hajaoa ni kijana tu.

Kinyume na matarajio binti alimkatalia mshkaji ombi lake na mbaya zaidi akaanza kutangaza kwa mademu wenzie pale kazini jambo ambalo lilimuumiza sana mshkaji

Basi jamaa akamsubiria mwisho Wa probation maana binti alikua hajamaliza hata probation, miezi 6 ilipofika jamaa akapelekewa barua na idara husika kwa ajili ya confirmation.

Hapo ndipo jamaa akamalizia hasira zake Kwa kifupi hakum confirm akasema ame perform below standard.
Ukawa ndio mwisho wake pale, alilia sana akaja kunieleza ishu nzima na kuniomba nimtafutie kazi nyingine

Wakuu, hivi mnamuelewaje huyu mtu? Mtaani alipopanga keshawapa mzigo wajinga kibao tu ambao hawana msaada na maisha yake, halafu kamnyima mtu alieshikilia maisha yake.

Hapo tu huwa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake

Mdogo wk umwone mjinga kwa kukataa kutoa rushwa ya ngono hv uko sawa kweli au uliahidiwa hela so unaumia kuikosa duh ww ni htr zaid ya moto
 
Aîsee najuta kufungua uzi huu,nimekutana na bonge la fa.la,mleta mada ni fa.la
 
Daaaaaaaah,shekhee hv upo vizuri kichwani kweli??!!!!!!!!!
 
Mpe Wewe Matako Yako Basi We Jamaa Mseng_e Sana Dadako Unataka Kumuua
 
Wakuu nashindwa kuwaelewa, huyu binti baada ya kumaliza chuo alikaa mwaka mzima bila kazi, nikaanza kuhangaika magorofa yote ya posta

Niliwafuata watu mbalimbali ili wanisaidie kumpa kazi huyu binti bila mafanikio

Ndipo nikaenda kumuona huyu hr aliekubali kumpokea

Hii yote mnaona haina maana?

Mnaona ni saw a kwa binti kuwapa chiu washenzi mitaani huko wasio na mbele wala nyuma?

Sipati picha
 
hata kama ningekuwa mie nisingekubali..kisa kazi ndo nimvulie nguo kirahisirahisi namna hyo,,hata kama sijampenda toka moyon swez hata kidogo,,,bora niwape washikaji ambao nawapenda from my heart na sio mtu b,se of something,,kama ipo ipo tu ila mwanadamu anaichelewesha.
 
N dogo lako LA damu kabisa budaa au n dogo tu wakitaan uliamua tu kumsave ndio maana unaongea kifoo Sana'a etiii atoe mzigo wake kirahic tu
 
kweli mkuu utakuta kuna wavuta bangi wanakula bure na ngoma watampa...lkn ofsini kashidwa kutoa mzigo..maemu sio wakati mwingine
 
Wakuu,

Nina mdogo wangu Wa kike, ambae amefukuzwa kazi kwa kumnyima bosi wake mzigo ni kwamba hiyo kazi nilimtafutia miimi kutokana na kufahamiana na hr manager aa hiyo taasisi na ndie aliemuomba mzigo

Huyo jamaa alimtongoza huyu mdogo wangu na kumuomba wawe wapenzi na kama mambo yakienda vizuri wafunge ndoa maana mshikaji bado hajaoa ni kijana tu.

Kinyume na matarajio binti alimkatalia mshkaji ombi lake na mbaya zaidi akaanza kutangaza kwa mademu wenzie pale kazini jambo ambalo lilimuumiza sana mshkaji

Basi jamaa akamsubiria mwisho Wa probation maana binti alikua hajamaliza hata probation, miezi 6 ilipofika jamaa akapelekewa barua na idara husika kwa ajili ya confirmation.

Hapo ndipo jamaa akamalizia hasira zake Kwa kifupi hakum confirm akasema ame perform below standard.
Ukawa ndio mwisho wake pale, alilia sana akaja kunieleza ishu nzima na kuniomba nimtafutie kazi nyingine

Wakuu, hivi mnamuelewaje huyu mtu? Mtaani alipopanga keshawapa mzigo wajinga kibao tu ambao hawana msaada na maisha yake, halafu kamnyima mtu alieshikilia maisha yake.

Hapo tu huwa ndo nashindwa kuwaelewa wanawake

Unamaanisha nini ukisema Jamaa ndo kashikilia maisha yake?
 
Back
Top Bottom