Ududu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 1,020
- 556
lakini sasa naona anaongea kwa staha sana tofauti kabisa na kabla hajaenda polisi
Hakika adabu imerudi,kazi nzuri ya polisi wetu
lakini sasa naona anaongea kwa staha sana tofauti kabisa na kabla hajaenda polisi
Aseme ukweli tu kwamba ndiyo wagombea urais wake.
Kwani kuna kosa gani hata wakiwa? Mbona masheikh na wachungaji kadha walikwenda kumshawishi Edward.Aseme ukweli tu kwamba ndiyo wagombea urais wake.
Aseme ukweli tu kwamba ndiyo wagombea urais wake.
huyu ndiye mchungaj tunayemtaka kwanza anamsimamo halafu haogop. Mungu azidi. Kumpa nguvu
anatamba akiwa kanisani kwake tu,maana kuna wasiojielewa wengi hawaoji,mbona akienda polisi anasuga amezidiwa na kutia unyonge,wanasiasa wanaenda wanaenda kwake ili wapate kuungwa mkono na waumin wake maana hawajielewi
Yoote tisa, kumi aseme anaumwa nini bada ya kuulizwa maisha yake binafsi na hela alikozipata.Hivi kasema hawezi kuwasahau au hawezi kuwatupa?!!
Halafu kwenye picha upande wa kulia wa picha (middle right) naona kuna sijui waamini au baadhi ya viongozi wasio kuwa na asili ya Afrika, je wanahusika vipi hapo jukwaani?!
![]()