Kwani makubaliano yalikuwaje, in case mwanachma akifia field? Na gharama za kumsafirisha zilitolewa na nani? Je, wewe na Lwakatare si Chadema? Vp mbona husemi vifo vya Mwangosi, Alizona, Wale wa Arusha, Mwambo wa Arumeru na wenachma wengine? Mchango wa Chama ulikuwaje? Ebu tupe majibu ili tujue...